Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

https://x.com/barakawamb/status/2007413291476238344?s=20
1 Reactions
26 Replies
860 Views
Katika sayansi ya siasa na usalama, jaribio la kupindua serikali ni kamari ya hatari zaidi ambayo kikundi cha watu kinaweza kuicheza. Kanuni isiyo rasmi ya mchezo huu inasema: "Kama unataka kupiga...
6 Reactions
54 Replies
1K Views
Akizungumza Leo huko Kigoma, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Rais Samia hafanyi Utani na Amedhamiria kumkomboa mkulima wa Tanzania Kupitia Kilimo Cha Umwagiliaji. Waziri Bashe ameyasema...
9 Reactions
592 Replies
24K Views
Huyu binti alipitia kipindi kigumu kama cha Lisu na Chadema kwa ujumla. Alipitia vipindi vigumu kama vya Lisu.
1 Reactions
5 Replies
240 Views
Baada ya rais wa nchi kubwa sana kukamatwa na marekani kumeshinikiza serikali haramu kumuachia mmarekani aliyeshikiriwa kinyume cha sheria. Watu wajinga na wapumbavu huwa ni dhaifu sana kuliko...
1 Reactions
1 Replies
214 Views
Taarifa Ikufikie popote ulipo, kwamba, Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concor amefika Hotel Desderia ya Jijini Mbeya na kukutana na Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo. Habari...
10 Reactions
74 Replies
5K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Balozi huyo amefika kumuona Bwana Sugu baada ya kuruhusiwa kutoka Hospitali, ambako alilazwa akiwa Mahututi kutokana na kipigo cha Polisi wa Tanzania...
52 Reactions
201 Replies
9K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @chadematzofficial Bara John Heche @hechejohn amesema Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu ni tunu ya taifa huku akishinikiza kuachiwa kwa...
5 Reactions
5 Replies
355 Views
Unaweza usione uzito wa kauli hii leo. Tuendelee kiwaamini hawa wavaa kaundasuti, wavunja tofali wa vichwa (badala ya akili) na wazee wa shuruti bila sheria kwamba watakulinda. Dawa ya jeuri ni...
8 Reactions
15 Replies
445 Views
"Ni ubatili na dharau kubwa kwa Watanzania kuyaita maridhiano sasa katika mazingira ambapo serikali iliamua kwa makusudi kuwapuuza wananchi, vyama vya siasa na wadau wa demokrasia juu ya hitaji la...
2 Reactions
2 Replies
204 Views
Kitendo cha watu kuchagua kiongozi wao ni jambo kubwa sana (Sacred). Ukiiba uchaguzi umepanda mbegu ya Uasi na mgawanyo ndani ya Taifa. Siku si nyingi Watanzania mitaani watakuwa na Silaha...
2 Reactions
4 Replies
179 Views
Haya ni maombi maalum kwa Marekani wafanye kama walivyofanya kwa Maduro. Watume vikosi vyao viwachukue Samia na Mafwele walioongoza kumteka na kumshikiria Thadei Kweka ambaye ni raia wa...
9 Reactions
33 Replies
586 Views
Mke Mdogo wa Ndugai, ndio anayetambulika na Serikali Ila kihualisia na mke mkubwa anafahamika na Serikali nikimaanisha wanamjua na anajulikana na viongozi wa Serikali. Ilibidi wakae nae...
16 Reactions
114 Replies
8K Views
Anawaonea wanyonge, aje huku kama hakunya mkojo. Anawaonea wanyonge akina Venezuela, jaribu hapa uone cha mtema kuni. WHO ARE YOU, WHO ARE YOU, WHO ARE YOU
20 Reactions
49 Replies
935 Views
Ndugu zangu Watanzania, Siku yaja Siku za Mbeleni ambapo Wanaomtukana Matusi Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu. Watalia na Kububujikwa...
0 Reactions
55 Replies
791 Views
Jambo lililo dhahiri, na kwa mafundisho ya kiimani, shetani huwatumia wanadamu kufanikidha malengo yake. Sio wote waliopo makanisani au waimbao Bwana Bwana, au wenye majina ya Kikristo, ni waumini...
1 Reactions
1 Replies
219 Views
Kuitumikia kwake serikali na viongozi fisadi na akakubali kuteuliwa nyadhifa mbalimbali serikalini akiyajua yoooote haya na kukaa nayo kimya ni wazi alikuwa ananufaika na huo uozo!! Nivyema...
2 Reactions
36 Replies
1K Views
Back
Top Bottom