Q Quinine Platinum Member Joined Jul 26, 2010 Posts 25,175 Reaction score 60,544 Dec 26, 2025 #1 Bado haijaisha, usicheze na kanisa Katoliki.
Dumas the terrible JF-Expert Member Joined Jan 20, 2021 Posts 5,457 Reaction score 11,334 Dec 26, 2025 #2 Hahaha Mwendo wa Spana tu mapaka Jezebel aliwe na mbwa! 😁😁😁
KEKO JUU JF-Expert Member Joined Jan 30, 2025 Posts 613 Reaction score 1,903 Dec 26, 2025 #3 Tena wafanye mapema coz ni laana kubwa kuwa mmoja wa uchafuzi ule
Khanji kapoor JF-Expert Member Joined Oct 19, 2024 Posts 3,796 Reaction score 9,765 Dec 26, 2025 #4 Nilimwambia dada angu ajiepushe na huo uchafu akajifanya yy anapenda pesa kilichomkuta aliacha makaratas ya kura yanapeperuka akanyoosha goti kupigania uhai wake🤣🤣 saa sita mchana ananipigia simu nikamchukue amebana sehemu
Nilimwambia dada angu ajiepushe na huo uchafu akajifanya yy anapenda pesa kilichomkuta aliacha makaratas ya kura yanapeperuka akanyoosha goti kupigania uhai wake🤣🤣 saa sita mchana ananipigia simu nikamchukue amebana sehemu