Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Mahakama ya Tanzania litaendelea kuwawezesha Wafungwa na Mahabusu kusikiliza mashauri yao...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Shangazi wa Taifa Maria, pole sana kwa harakati zako za kupigania haki, na Tanzania yenye demokrasia ya kweli, maendeleo kwa watu na kupinga ufisadi na ubadhirifu na kila aina ya dhulma nchini...
21 Reactions
57 Replies
2K Views
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema katika kulinda maslahi ya wakulima wa Mbaazi na dengu nchini Tanzania, Serikali...
1 Reactions
4 Replies
509 Views
Viongozi wa dini wameingia mtengo wa watawala wa nchi ama kwa makusudi ama kwa kutokujua. Tangu enzi na enzi viongozi wa dini walitumika kuwakemea watawala wa nchi na kila walipokemea nchi...
3 Reactions
5 Replies
224 Views
Nilidhani MO29 imetoa funzo kwa serikali hii haramu, lkn inavyoonekana bado wamekaza mafuvu huku wakimtegemea Mafufu kuwahadaa wananchi. Juzi juzi wamemteka Mwambe. Bila ya familia ya Mwambe...
2 Reactions
8 Replies
239 Views
Wengi kama siyo wote tunajua kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu ni ya kisiasa na ya kutengenezwa. Uchafuzi sasa umepita na wenye kushindishwa kwa nguvu wameshinda. Kuna sababu gani ya...
2 Reactions
5 Replies
191 Views
..RC Mtaka anadai Kariakoo haiwezi ku-survive bila ya uwepo wa Wakinga. ..sikiliza mahojiano yake hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=USgtsZ6LwvY
1 Reactions
0 Replies
159 Views
Kichwa cha habari kiko wazi. Kwa sasa, wengi wa watanganyika wanawalaumu polisi kwa mauji kiasi cha kuanza kuonekana kama waliua wao peke yao. Je, nani aliwapa silaha na amri ya kuua? Je, nani...
3 Reactions
3 Replies
147 Views
JohPombe Magufuli Jiwe, Nikiri. Najua hutasoma barua hii. Najua wafuasi wako wataisoma. Naandika kwa hasira na uchungu. Yote ni kutokana na uliyotufanyia. Uliachia maumivu. Wapo wanaoumia tokana...
9 Reactions
33 Replies
820 Views
Inawezekana ni kweli kuna watu magangwe lakini yeye aliye na risasi (mwenye kutumia bunduki) ndiyo gangwe zaidi? Maana wapo magangwe wa ngumi na kupigana hovyo lakini akikutana na mtu mwenye...
11 Reactions
67 Replies
5K Views
MO29 imeharibu kabisa atmosphere ya Nchi yetu. Tanzania haitakuja kuwa kama zamani, although serikali Ina push tuwe kama zamani. Mange Kimambi huwezi mdharau huyu dada,bila yeye kusingekuwepo na...
3 Reactions
18 Replies
536 Views
Political comentator maarufu Instagram , DJ Bwakali, ameelezea kustuka kwake kwa kitendo cha Kikwete kutolaani mauaji yaliyofanyika Oktoba29. Niliwahi kuliongelea hilo hapa mtandaoni, sasa dunia...
15 Reactions
16 Replies
492 Views
Gambo kumbuka ulipokuwa na DC na baadae RC. Je, matendo yako yalikuwaje? Uliwafanyia nini watanzania? Karma imekuwahi sana, haijataka ichelewe. Na bado utaendelea kukiona cha moto...
3 Reactions
9 Replies
298 Views
Rais Samia akishiriki Halfa ya Utoaji Tuzo za Wasanii wa Uchekeshaji Tanzania Ukumbi wa The Super Dome Februari 22, Dar es Salaam. Pia soma: Pre GE2025 - Rais Samia kuwa mgeni rasmi wa kwenye...
7 Reactions
95 Replies
5K Views
Nimemsikiliza Mheshimiwa Warioba, amesema kuwa vijana wetu waliouawa na Iddi Amin ni wachache kuliko watanzania waliouawa na utawala wa samia kwa kutumia majeshi yetu. Taarifa ya jambo hili...
23 Reactions
60 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Mh. Pamoja na kwamba kuna usemi: don't judge book by its cover, uhalisia ni kwamba wakati mwingine umbile la nje la kitabu linaakisi yaliyo ndani. Kwa binadamu mavazi yako yanaakisi hadhi yako...
1 Reactions
6 Replies
284 Views
Heshima ya Mzee Wasira kwa jamii na kwa chama haijawahi shuka, Mzee akiongea unaona Nuru, unaona mwanga unatapa uchungu wa kuilinda amani ya Tanzania yetu. Sisi vijana tunategemea tuambiwe...
0 Reactions
62 Replies
893 Views
Wakuu, Jaji Warioba ameendelea kuonyesha busara zake. Kama mpaka Spika na Bunge lake wanatoa tuzo kwa Rais, kusifia utendaji wake bora, chombo hicho kitakuwa na uhuru? Jaji Mkuu na Spika kutwa...
18 Reactions
27 Replies
996 Views
Mmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma? 99% ya wanachama wapya wa CHAUMMA ni wana CHADEMA walioondoka CDM kwa njaa zao... LAKINI ndani yao wamepandikizwa mashushushu...
30 Reactions
103 Replies
5K Views
Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali, amewataka Wakristo, hususan waumini wa Kanisa Katoliki, kutimiza wajibu wao wa kusimamia haki, amani na uadilifu, hasa katika masuala...
12 Reactions
19 Replies
571 Views
Back
Top Bottom