Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimekuwa nikifuatilia kauli za viongozi wetu hivi karibuni, hususan hotuba ya Waziri Mkuu ya leo (29 Disemba 2025) kule Bunju. Kuna narrative mpya inayojengwa kwamba kulikuwa na mpango wa kuzuia...
2 Reactions
2 Replies
165 Views
Hawa Vijana , Sijui wamepatwa na nini. Walikuwa wakiweka maandiko mazuri ya kudai haki na kuelimisha . Ila kwa sasa ni Kama kuna kitu hakipo sawa. Vijana kweli tumefika hatua hii ya kununulika...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Wanachotaka nini? Tukae kimya? Tusijadili masuala ya taifa letu? Waibe mali za umma, wateke watu , wajipe vyeo wao na familia zao huku sisi tukiwa kimya? Basi wawaue wote wanaokosoa wabaki wao...
8 Reactions
42 Replies
651 Views
Baada ya machafuko ya Octoba 29 ndiyo nikagundua kuwa kumbe tangu nchi ipate uhuru marais wote wa Tanzania walikuwa ni Wakatoliki na waislamu. Hii iliwezekana vipi, ni bahati mbaya tu au...
1 Reactions
3 Replies
186 Views
Tanzanians marked their Independence Day under lockdown, with heavy security, social media restrictions, and unsanctioned gatherings outlawed to stifle expected protests. Recent deadly violence...
9 Reactions
31 Replies
775 Views
Wakati wenye mamlaka wakiwa busy kuponya majeraha ya MO29, kwa kuyakanusha na kupindua taarifa za ukweli; wenye dunia yao huko duniani, hawachoki kuitafiti dunia na ku shape geopolitics kulingana...
18 Reactions
206 Replies
4K Views
Wakuu, Mwaka 1974, Rais Idi Amin kupitia Tangazo la Kisheria Na. 2 la mwaka 1974 alianzisha Tume ya Uchunguzi kuhusu Watu Waliopotea nchini Uganda, ikiwa ni jitihada ya kuchunguza matukio ya...
0 Reactions
15 Replies
407 Views
Wana JF nafikiri wengi mnakumbuka kasha ya mchele mbovu iliyotokea miaka ya tisini. Nasikia ndiyo iliyosababisha kifo cha mkemia mkuu wa wakati huo, nasikia kampuni iliyo husika na kashfa hiyo...
5 Reactions
85 Replies
15K Views
UDSM-Rais mstaafu, JK Mzumbe-Rais wa Zanzibar mstaafu, Ali Mohamed Shein SUA- Jaji Joseph Warioba UDOM- Jaji mkuu mstaafu, Prof Ibrahim Juma Ardhi University- Jaji Mohamed Chande Muhimbili-...
0 Reactions
10 Replies
326 Views
Leo tarehe 28/12/2025 Dr Samia atakuwa kabakiza miaka 4 na miezi TU kuendelea kuwa IKULU MLIO nae msituringie πŸ€£πŸ˜‚mkiongozwa na Bashite
0 Reactions
38 Replies
625 Views
Hamjambo! Kwa yeyote anayejua anijibu Hilo swali hapo juu. Itapendeza wafuasi wa chaumma wakiwa mstari wa mbele kujibu. Natanguliza shukrani
1 Reactions
8 Replies
320 Views
Aiseeh! 1. Mungu mwenyewe anajua. Na yeye ndiye ataamua. 2. Moyo usinifanyie hivyo. Nimejikuta katika Hali ya kupatwa na simanzi nilipoiona video ya Jovin Yule kijana aliyembeba mhaini mwenzake...
4 Reactions
20 Replies
710 Views
Askofu Bethania Mpembwa wa Kanisa la Neema ya Kitume Tanzania, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam, amesema kuwa Vijana wa kizazi cha kuanzia mwaka 2000 (Gen Z) ni...
1 Reactions
9 Replies
201 Views
Prof Baregu amewataka waliokuwa wajumbe wa tume ya katiba Prof Kabudi na Polepole kutosahau msimamo wao ndani ya tume. Amesema baada ya tume kuvunjwa, yeye pamoja na Warioba, Kabudi, Butiku na...
4 Reactions
48 Replies
5K Views
My people, Kumekuwa bado na mijadala ya hapa na pale kuhusiana na je Tanzania kuna amani? Na wengine wakisema hakuna haki au wanasema haki kwanza,au amani ni tunda la haki Haki huja baada ya...
3 Reactions
42 Replies
584 Views
We huoni aibu watu duniani kote wanakunyooshea vidole kwa mauwaji, utekaji na utapeli wa haki za watanzania kwasababu hili suala ni ujinga
2 Reactions
22 Replies
369 Views
π—­π—œπ—”π—₯𝗔 𝗬𝗔 π—žπ—œπ—žπ—”π—­π—œ Pwani na Dar es Salaam Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. πŸ“† Jumatatu - Desemba 29, 2025. πŸ•°οΈ Kuanzia Saa 3 Asubuhi. Lengo la Ziara: 1...
0 Reactions
6 Replies
439 Views
Mpaka sasa Mpina ameshakosa sifa ya kugombea urais. Ushauri , Kama anaweza aende kisesa akagombee ubunge . Ila naona wazi Chaumma wanaenda kuwa Chama kikuu cha upinzani.
0 Reactions
13 Replies
779 Views
GT Sikiliza mwenyewe inasikitisha sana. Mwanaume ananaingizwa chupa hii serikali ya samia ni ya kishetani. Na hao wanaoitetea ni vichaa wasanii wana haki ya kutengwa kabisa.
3 Reactions
25 Replies
568 Views
Huu ni WITO kwa kiongozi mkubwa wa chama Cha upinzani nchini Tanzania. TAFADHALI zungumza na WENZAKO kitaifa.uwape ramani mnaelekea wapi? For 2026?
0 Reactions
8 Replies
272 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…