Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Gambo kumbuka ulipokuwa na DC na baadae RC. Je, matendo yako yalikuwaje? Uliwafanyia nini watanzania? Karma imekuwahi sana, haijataka ichelewe. Na bado utaendelea kukiona cha moto...
3 Reactions
9 Replies
298 Views
Rais Samia akishiriki Halfa ya Utoaji Tuzo za Wasanii wa Uchekeshaji Tanzania Ukumbi wa The Super Dome Februari 22, Dar es Salaam. Pia soma: Pre GE2025 - Rais Samia kuwa mgeni rasmi wa kwenye...
7 Reactions
95 Replies
5K Views
Nimemsikiliza Mheshimiwa Warioba, amesema kuwa vijana wetu waliouawa na Iddi Amin ni wachache kuliko watanzania waliouawa na utawala wa samia kwa kutumia majeshi yetu. Taarifa ya jambo hili...
23 Reactions
60 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Mh. Pamoja na kwamba kuna usemi: don't judge book by its cover, uhalisia ni kwamba wakati mwingine umbile la nje la kitabu linaakisi yaliyo ndani. Kwa binadamu mavazi yako yanaakisi hadhi yako...
1 Reactions
6 Replies
284 Views
Heshima ya Mzee Wasira kwa jamii na kwa chama haijawahi shuka, Mzee akiongea unaona Nuru, unaona mwanga unatapa uchungu wa kuilinda amani ya Tanzania yetu. Sisi vijana tunategemea tuambiwe...
0 Reactions
62 Replies
893 Views
Wakuu, Jaji Warioba ameendelea kuonyesha busara zake. Kama mpaka Spika na Bunge lake wanatoa tuzo kwa Rais, kusifia utendaji wake bora, chombo hicho kitakuwa na uhuru? Jaji Mkuu na Spika kutwa...
18 Reactions
27 Replies
996 Views
Mmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma? 99% ya wanachama wapya wa CHAUMMA ni wana CHADEMA walioondoka CDM kwa njaa zao... LAKINI ndani yao wamepandikizwa mashushushu...
30 Reactions
103 Replies
5K Views
Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali, amewataka Wakristo, hususan waumini wa Kanisa Katoliki, kutimiza wajibu wao wa kusimamia haki, amani na uadilifu, hasa katika masuala...
12 Reactions
19 Replies
571 Views
Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema jeshi la polisi haliajiri waliopata divisheni 1 kulingana na majukumu halisi ya askari watarajiwa. Huwezi kuajiri divisheni one akalinde benki na...
15 Reactions
177 Replies
13K Views
Updates za maandamano yasiyo na kikomo Tanzania. Twende pamoja Mbagala tarehe 25 Desemba 2025 saa 1 jioni Kawe tarehe 25 Desemba 2025 saa 2 usiku Kahama jioni ya tarehe 25 Desemba 2025...
10 Reactions
69 Replies
2K Views
Naingia moja kwa moja. Kila awamu ina mazuri na madhaifu yake. Leo ntaeleza kwa kifupi mazuri machache ya Kila awamu na madhaifu angalau moja. *JK I – Amefanikiwa sana kutuweka pamoja...
0 Reactions
15 Replies
396 Views
Jeshi la Polisi Tanzania limewashukuru wananchi kwa ushirikiano katika kulinda amani wakati wa Sikukuu ya Krismasi na kusema kuwa hali ya usalama nchini imeendelea kuwa shwari. Polisi wamesema...
3 Reactions
12 Replies
387 Views
Ukifuatilia kwa umakini maelezo ya mashuhuda na manusura wa mauaji ya Watanganyika yaliyofanyika kwa siku 3 mfululizo kuanzia tarehe 29 Oct, ni dhahiri mauaji makubwa ya holela yalifanywa na...
9 Reactions
30 Replies
743 Views
Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Mwanamfalme wa Saudi Arabia Dodoma, 23 Disemba,2025 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud...
2 Reactions
58 Replies
999 Views
HOTUBA YA MWISHO YA MWANAHARAKATI ALIYETEKWA MBELE YA WATEKAJI; DUNIA HUSAHAU HARAKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kabla sijasimulia haya yote mimi Mtibeli nikakumbuka wakati Fulani...
5 Reactions
14 Replies
565 Views
Friends and Our Enemies, Ukimsikiliza warioba kwa umakini sana utabaini wazi wazi kuwa ni muendelezo wa drama za TEC na Mfumo kristo mara baada ya kufeli kwa harakati zao za kutumia GENZ katika...
2 Reactions
262 Replies
4K Views
Hello! Yaani tunao uzoefu, watu kabisa wanatia kura fake ndani ya masanduku ya kura na wanaonekana wazi wazi, sasa hawa ndio wanaoharibu uchaguzi wa haki. Sasa wanapita wanasiasa wakitwambia...
2 Reactions
9 Replies
385 Views
Lipo kundi la vijana la propaganda mitandaonu lililotumwa maalum kubeza, kukejeli na kufubaza harakati zote za ukombozi wa Tanganyika zinazoongozwa na Gen Z Hili ni kundi mchanganyiko lenye uelewa...
16 Reactions
59 Replies
1K Views
Kilichokuwa kiwe uchaguzi mkuu Tanzania kwa mujibu wa katiba yake, kimepita na yaliyotokea sote tunayafahamu! Bado taifa halijatulia, bado fukuto lipo, la dhuluma, la maumivu, la ukatili mkubwa...
46 Reactions
101 Replies
3K Views
Anaandika Godbless J Lema TAARIFA ZA UONGO NA MATESO NA MAUAJI YA RAIA. Mwaka 2011, jijini Arusha, kulitokea sakata zito la mauaji yaliyosababishwa na Polisi kufuatia maandamano ya wananchi...
13 Reactions
19 Replies
762 Views
Back
Top Bottom