Bila kumkamata huyu, siri za kutekwa Kibanda hazitajulikana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bila kumkamata huyu, siri za kutekwa Kibanda hazitajulikana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Manyerere Jackton, Mar 15, 2013.

 1. M

  Manyerere Jackton Verified User

  #1
  Mar 15, 2013
  Joined: Dec 11, 2012
  Messages: 2,358
  Likes Received: 672
  Trophy Points: 280
  Wadau, mimi nilishajua kuna siku nitakufa.

  Lakini kabla sijafa nasema bila Polisi na Usalama wa Taifa kumkamata mtu anaitwa Joseph Ludovick, hawatakaa kamwe wajue kilichojificha kwenye sakata la kumteka na kumuumiza Kibanda.

  Huyu mtu ni muhimu sana kumnasa na kumhoji. Liwalo na liwe.

  Amini, naawaambia. Mkitaka kujua, unganisheni alichodai kimemtokea usiku ule alioumizwa Kibanda. Akadai alipata taarifa za kuumizwa Kibanda kupitia redio ya upepo akiwa polisi usiku wa manane.
   
 2. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2013
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,745
  Likes Received: 987
  Trophy Points: 280
  Hakika siku moja mambo yote yatakuwa hadharani na utawala wa kidikteta utaisha.
   
 3. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2013
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,842
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mh!Huyu Joseph Ludovick ni nani katika jamii yetu ya Kitanganyika?
   
 4. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2013
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,373
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hebu mkuu funguka zaidi. Huyu Joseph Ludovick ndo nani hasa. Tukiweza kujua kazi au nafasi yake katika taifa hili tunaweza kupata mwanga wa jinsi gani anaweza kuwa mtu muhimu katika kesi hii.
   
 5. aye

  aye JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2013
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 2,027
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 180
  mkuu tufafanulie vizuri hii habari
   
 6. M

  Manyerere Jackton Verified User

  #6
  Mar 15, 2013
  Joined: Dec 11, 2012
  Messages: 2,358
  Likes Received: 672
  Trophy Points: 280
  Hii mashine ya kazi. Inawezekana yeye hakushiriki moja kwa moja kwenye hili jambo, lakini akihojiwa anaweza kutoa mwelekeo wa picha kamili.

  Kama wana usalama wanaingia humu JF, waamini maneno yangu.
   
 7. The Fixer

  The Fixer JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2013
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 1,363
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mapya yaibuka kuteswa kwa Kibanda
   
 8. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2013
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Funguka kidogo bana, tujue tunaanzia wapi?
   
 9. Lisa Rina

  Lisa Rina JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2013
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 1,838
  Likes Received: 2,207
  Trophy Points: 280
  Yupo magogoni na yeye uyo jamaa?
   
 10. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2013
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,567
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Humu ndani siyo kuingia tu wanashinda humu,siku hizi utendaji mkubwa wa polisi unaanzia kupata source JF'
   
 11. C

  CT SCan Mchina JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2013
  Joined: Mar 13, 2013
  Messages: 1,245
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mengi tutaendelea kusikia mpaka kufikia 2015. JOSEPH LUDOVICK ni nani Jamani?
   
 12. t

  tenende JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2013
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Polisi hawana mpango wa kumkamata mtuhumiwa. Sasa ni muda wa kusaka mkenya atakayejirengesha. Halafu kova atoe taarifa kama shujaa wa kukamata wahalifu!
   
 13. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2013
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,508
  Likes Received: 798
  Trophy Points: 280
  Angalia vizuri video ya Lwakatare yule aliyekuwa anapewa maagizo ndio mashine yenyewe ya Mbowe, au muulize Shonza.
   
 14. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2013
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,567
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Lakini mkuu Manyerere usijekuwa kama Mzee Mwanakijiji,anaanzishaga vitu vingine halafu anatuacha hewani
  hivyohivyo'Funguka ueleweke'
   
 15. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2013
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,729
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Kwani huyu ni usalama wa taifa kama akina Ighondu? Kama ni hao sahau kukamatwa kwake labda angekuwa kiongozi wa Chadema.
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Mar 15, 2013
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 160
  Mshirika wa Ramadhani Inghondu
   
 17. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #17
  Mar 15, 2013
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,873
  Likes Received: 3,208
  Trophy Points: 280
  Mkuu hebu tuelezee kwa undani kidogo. Alisemea wapi? Ni jina lake halisi? Tunaomba ufafanuzi kidogo. Unajua hii issue inabidi waandishi wote wawe kitu kimoja.
   
 18. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #18
  Mar 15, 2013
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,450
  Likes Received: 1,046
  Trophy Points: 280
  makini kidogo jamani jana Shonza alikuwa aki mention mr. L kila mara isije ikawa tunachotwa kwenye propa tena
   
 19. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #19
  Mar 15, 2013
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,842
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mimi nilifikiri mmeleta hoja ya maana kumbe huu -----!

  Kuna vidio nyingine zaidi ya ile iliyotolewa?
   
 20. M

  Manyerere Jackton Verified User

  #20
  Mar 15, 2013
  Joined: Dec 11, 2012
  Messages: 2,358
  Likes Received: 672
  Trophy Points: 280
  Kamwe siwezi kuingia mitini kwa jambo ambalo linahusu uhai wetu sote.

  Someni hii post yake, halafu muone namna alivyochangamka kutaka kujionyesha kuwa hahusiki.


   
Loading...