Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema Tanzania inahitaji kuwa na kiongozi anayeweza kuunda Serikali na mwenye uwezo wa kupambana na...
Kamati ya bunge la Marekani la seneti ya mambo ya nje imeisihi tume ya uchaguzi Tanzania kujirekebisha, kuondoa makosa yaliyofanyika ndani ya miaka 5 iliyopita, kuacha kumshitaki Lissu kwa hoja ya...
Nimeshangaa kuona kwamba wengi wa wanachama wa CCM pamoja na viongizi wao wamekuwa wakiwashambulia watu wa upinzani kila wanapotoa maoni juu ya miradi kama SGR, ndege za ATC, mradi wa umeme wa...
Je, kuna hujuma za muda wa kukamilika mradi unaofanywa na makandarasi?
Reli ya TAZARA ilipitia njia ngumu Sana yenye milima na mabonde mengi. Lakini mradi ulichukua muda mchache Sana.
Ilijengwa...
Leo Mgombea wa kiti cha Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ADC, Bi Queen Cuthbert Sendiga ameendelea na Mikutano yake katika wilaya ya Liwale.
Habari picha akiongea na wananchi wa...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imezitaka Kamati za Ulinzi na Usalama zilizo kwenye mipaka ya nchi ziwadhibiti raia wakigeni kushiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu.
NEC imesema...
Ndugu zangu wapinzani najua sana ukikosoa tu, cha kwanza unapata jina la ubatizo mtakatifu kuwa ni mamluki, umetumwa na mengine mengi. Ndugu zangu hata Mungu kama wewe ni msomaji wa Biblia utaona...
Kama Watanzania walivyotegemea viongozi wa CHADEMA wasingeweza kukaa kimya kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu, uliopangwa kufanyika Jumatano, tarehe 28/10/2020. Hii inatokana na ukweli kwamba Mgombea...
Wakuu,
Huu ni Waraka namba moja wa chama. Bado ntaweka hapa namba mbili. Na nitakuwa na-update kila kinachojiri.
Sisi tunahukumiwa kwa lipi? - Ndugu James Mbatia
“Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu...
Kiongozi wa chama ndugu Zitto Kabwe amepata ajali mida hii huko Kigoma kusini akiwa na watu wengine wanne jumla watu 5 wote wazima japo kiongozi ana majeraha anapelekwa hospitali habari zaidi...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally amefafanua sababu za viongozi wa Upinzani kuikejeli na kuitukana CCM.
Akizungumza na wazee Afisi Kuu Zanzibar, tarehe 05 Oktoba, 2020...
MKINIPA KURA ZA KUTOSHA OKTOBA 28, NA NIKAWA RAIS NITASIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA"
MUSOMA- MARA
Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF...
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama mwanadamu anayo mapungufu na hivyo ni haki kwa mtu ye yote kutofautiana na misimamo au mitazamo yake. Lakini si...
Mkurugenzi Mtendaji Mstaafu wa CRDB Dkt Charles Stephen Kimei ambaye alijitosa kutafuta tiketi ya kuteuliwa kuwa mgombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia CCM na kupata kura 178 huku mshindi Ndugu...
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Wananchi wameendelea kuwa na imani kubwa na mfumo wa stakabadhi ghalani kwa kuendelea kupeleka mazao yao.
Wananchi mbalimbali wameonekana wakipeleka Korosho zao...
IMF wametoa pesa kwa nchi 38 masiki kabisa, yaani inasikotisha sana na kumba wanatawala hao CCM miaka yote hio.
====
IMF approves aid for world's 28 poorest countries
The announcement, which...
Siasa ni gharama kwa hiyo ili chama cha siasa kiweze kufanikisha malengo yake lazima wanachama na wafuasi wake wajitolee kwa hali na mali.
Kwenye uchaguzi mkuu kama huu ambao chama kinahitaji...
Habari za wakati huu;
Nimeandika uzi huu ili kumpa jibu la herufi kubwa kaka yangu mheshimiwa wakili msomi Paskali ambaye pia alikuwa Mtia nia Ubunge Jimbo la Kawe.
Kwanza kabisa nimesikitishwa...
Hii hoja haijawalenga Sana wale wenzangu na mimi ambao Wao wamechanjwa chale za vyama vyao
Sasa karibu katika mjadara!
Najua kuna wale ambao liwe jua ama mvua Wao ni CCM Tu, lakini kuna wengine...
Naomba wabobezi wa siasa za uchaguzi mnipe tafsiri ya kura za huruma.
Kuna watu walidai Tundu Lisu anatafuta kura za huruma na sasa baada ya Trump kuugua Corona baadhi ya Wamarekani wanadai Rais...