Kama mlikuwa na ruzuku mmekumbwa na magumu ya kisiasa; je, baada ya uchaguzi itakuwaje?

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Mlikuwa mnapokea ruzuku milioni 360 kwa mwezi, peza hizi mmezipokea zaidi ya miaka mitano. Uchaguzi umefika mmekuwa na magumu ya kisiasa hadi majukwaa ya mgombea urais yanakuwa ni meza za wauza mitumba.

Uchaguzi wa mwaka huu hamtapata wabunge 70+ ambao kwa hakika walikuwa wanawletea ruzuku kwa ajili ya kuendesha chama,kama mmejitahidi sana mtapata wabunge wawili tu.

Je, Chadema itaweza kuishi kama Cck bila ruzuku? Maisha ya makamanda ambao wao chama ni kama mtaji yatakuwaje?
Au bora mmkose ruzuku kuliko kutafunwa na wajanja wachache?

Je, Chadema na makamanda waliogeuza chama mtaji,mtaishi bila ruzuku baada ya uchaguzi?


View attachment 1592728View attachment 1592730
 
Back
Top Bottom