Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu wanaforum; Natumaini hamjambo na wengi wenu mnaendeleza gurudumu la kujenga taifa letu pendwa Tanzania. Pia tunamshukuru Mungu kwa kutupatia uhai na tunaweza kuanzisha threads humu, Amen...
0 Reactions
47 Replies
10K Views
Watanzania tarehe 28 mwezi huu ndio siku ya kufanya maamuzi ya msingi, lakini pia ndio siku ya kuadhibu wanasiasa ambao wanaojali matumbo yao tu, sio wananchi. Fikiria muuza kahawa, mama ntilie...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Afisa Habari msaidizi wa ACT Wazalendo , Dotto C. Rangimoto amefikishwa mahakama ya Kisutu kwa tuhuma ya kusambaza maudhui ya ngono kwenye mtandao wa Twitter akitumia jina la James Michael...
6 Reactions
50 Replies
7K Views
Leo Tarehe 07/10/2020 Mheshimiwa Boniface Jacob anatarajia kuendeleza Kampeni zake za Ubunge Jimbo la Ubungo katika Kata ya Makuburi. Muda ni Kuanzia Saa 8:00 Mchana, Mtaa wa Kibangu viwanja...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nakuomba si kwamba wewe ni dhaifu bali your strength hata watoto wameiona. Nakushauri simama hizo siku 7 kwani katika nafsi zao wana hofu kuu wapo tayari kufanya lolote ili kukuzuia. Kila mtu...
42 Reactions
159 Replies
12K Views
*WAPINZANI WALITAKA MABADILIKO BILA KUBADILIKA* Fuatana nami *Joseph Yona* Maendeleo ya nchi yeyote huletwa na kikundi cha watu wachache au mtu mmoja kwa niaba ya watu wengine. Mfano maendeleo ya...
1 Reactions
1 Replies
913 Views
Poleni sana na uchovu wa jioni Uchaguzi huu,ilikuwa inatosha sana kwa Rais Magufuli (Mola amuongoze njia ya sawa na ampe maisha mema) apewe nafasi ya kuendelea kwa awamu ya pili, kwa yeye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kichwa ha habari kinavojieleza hapo juu, msaada tafadhali. Tunaeleka mwaka wa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge pamoja na madiwani. Ipo haja sasa kwa Watanzania kukaa na kupima licha ya kwamba...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Tanzania ni taifa ambalo uchumi wake umeonekana ukikua kwa kasi sana na hii ni kutokana na uwepo wa serikali yenye viongozi imara. Ni dhahiri kuwa serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt. John...
0 Reactions
4 Replies
810 Views
Baada ya mapema leo polisi kuzuia msafara wa Tundu Lissu eneo la Kiluvya, hatimae wameondoka na kuacha uendelee na safari na Lissu amesema ataendelea na safari yake kama ilivyopangwa na atakutana...
63 Reactions
161 Replies
22K Views
Mkurugenzi wa uchaguzi katika Tume ya Uchaguzi ameonya wagombea wote wanaotoa lugha za uchochezi, matusi na vitisho kwamba watafutwa na kuondolewa kwenye uchaguzi. Dkt. Mahera amesema Tume yake...
6 Reactions
148 Replies
15K Views
NEC isipomuegua Tundu Lissu, ni go-ahead ya kuipoteza CCM Zanzibar. Je, muungano utasalimika? Na, Robert Heriel Jambo kubwa linaloendelea katika vichwa vya wafuatiliaji wa masuala ya kisiasa ni...
5 Reactions
50 Replies
8K Views
Jana Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, ndugu Zitto Zuberi Kabwe, alipata ajali mbaya ya gari baada ya gari la Mgombea Ubunge kuigonga gari yake kwa nyuma. Mungu ni mwema, Zitto pamoja na...
13 Reactions
12 Replies
2K Views
Mgombea ubunge wa jimbo la Sengerema alivyokuwa kwenye mkutano katika kijiji cha Mchangani kasema changamoto zingine atazimaliza kwa pesa yake mwenyewe, kwa kuanzia atatoa mifuko 200 ya saruji...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Jiji la Mwanza latoa Tsh. bilioni 2.75, uchaguzi Nyamagana CCM kupeta Serikali imetumia zaidi ya Tsh. Bilioni mbili (2) kuwawezesha kiuchumi wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais wetu ni mtu mwenye utu ni mtu wa watu na mkristo halisi leo amepigia simu Zitto Kabwe aliyepata ajali hapo jana na kumtakia maendeleo mema apone haraka aje wajenge nchi. Pia rais...
14 Reactions
144 Replies
12K Views
Na Mackdeo shilinde Wana-Ubungo nawasalimu kwa jina la Yesu kristu wa Nazareth na Mtume Muhammad (SAW). Binafsi Ni miongoni wa vijana ambao tunafatilia kwa umakini wa hali ya juu, siasa na...
5 Reactions
96 Replies
10K Views
Mbinu pekee ya CCM kushinda Uchaguzi huu ni miujiza tu, hali yao si tu ni mbaya bali ni dhooofuli hali. Jionee mwenyewe.
19 Reactions
80 Replies
9K Views
Tukiwa tumebakiwa na wiki tatu tu Watanzania tupige kura kuchagua Rais, wabunge na madiwani. Licha ya kuwa na wagombea 15 wa kiti cha Rais lakini mpaka sasa wenye nguvu ya ushawishi ni kutoka...
58 Reactions
122 Replies
11K Views
Nikiwa kama mwananchi mzalendo, nimetafakari sana athari tutakazozipata kutokana na ahadi zinazotolewa katika majukwaa ya siasa hasa katika kipindi hichi cha kampeni. Baadhi ya wanasiasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…