Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu ni matumaini yangu kuwa mu buheri wa afya , nami ni mzima kabisa . Naomba kuzama ndani ya hoja yangu juu ya Mgombea wa CHADEMA na ACT-Wazalendo mheshimiwa sana na mwenye ilimu kuwaliko...
7 Reactions
45 Replies
5K Views
Anaandika Askofu EMMAUS BANDIKILE MWAMAKULA.... TUNDU LISSU YUKO SALAMA KWA KIASI GANI? Nayaandika haya kama Askofu! Ndiyo! Askofu aliye katika Msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
11 Reactions
20 Replies
5K Views
Kwa uzoefu na uelewa wangu hadi sasa Chadema wanafanya vizuri ukilinganisha na Chama cha Mapinduzi CCM, wanachotakiwa ni ku focus kwenye maeneo yafuatayo. Wawe na tallying center zaidi ya moja...
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Ukiona watu walivyofurahi mwishoni mwa hotuba ya Mgombea mwenza wa Nafasi ya urais kwa tiketi ya CHADEMA unapata hisia za matumaini ya ukombozi wa watu toka makucha ya CCM.
29 Reactions
39 Replies
6K Views
Habari wana JF, poleni kwa majukumu. Leo ningependa kuzungumzia jambo ambalo kwa hakika limeniweka njia panda. Tunajua uchaguzi na mambo yote kuhusu uchaguzi kwa sasa yapo moto kwa kuwa...
15 Reactions
86 Replies
7K Views
Tuna Jambo Letu Kesho Saa 8 Mchana Uskose wakiweka uongo tunaweka ukweli wote
6 Reactions
74 Replies
7K Views
Wakuu miaka ya nyuma kidogo kunako Timu ya Taifa ya Brazil Almaarufu wapiga samba kulitengenezwa kilichokuja kuwa moja ya kombinesheni hatari, makini na kali kuwahi kutokea katika ulimwengu wa...
1 Reactions
0 Replies
735 Views
Nakupongeza Dkt. Lazarus Chakwera kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Malawi. Kwa niaba ya Serikali na Watanzania wote naahidi kuendeleza uhusiano wetu wa kidugu, kirafiki na ujirani mwema...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu ameomba viongozi wa dini wawaombe waumini wawachague wagombea kutoka chama...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Ukiwasikiliza na kusoma makala za Tundu Lissu na CHADEMA ni dhahiri wanatoa ujumbe kuwa eneo la Kanda ya Ziwa lisingestahili kuwa na chochote, naam wanaichikia Kanda ya Ziwa na...
13 Reactions
163 Replies
12K Views
Amini usiamini, Tanzania itakuwa kwenye taharuki kubwa ikiwa Tume itapuuzia kuendesha uchaguzi huru na wa haki. Nikimaanisha kuwapa haki mawakala wa vyama vyote haki ya kuingia vituoni na kuwapa...
24 Reactions
94 Replies
8K Views
Haya yamejiri jana usiku wa tarehe 6/10/2020 Mlandizi katika semina ya ndani ya viongozi na wagombea ubunge, udiwani na wanachama wa CHADEMA wa majimbo mawili ya uchaguzi Kibaha mjini na vijijini...
55 Reactions
110 Replies
12K Views
Mantiki ya kisiasa inaonyesha Dkt. Hussein Mwinyi ana weledi, busara na nidhamu za kuulinda muungano bila nongwa yoyote, aidha ni mwaminifu na myenyekevu anayeshauriwa na kusikiliza, kwa sifa hizo...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Ukipita mtandaoni kwenye kurasa zinazoendeshwa na vyama vya upinzani katika kipindi hiki cha kampeni, utaona mambo makubwa mawili. Jambo la kwanza utaona majigambo kwamba wanapendwa na kila mtu...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
UONGOZI WA RAIS MAGUFULI UMELETA UWIANO KATI YA UWEKEZAJI WA KIMKAKATI NA HUDUMA ZA JAMII Ni habari njema katika utekelezaji wa sera za maendeleo ya Taifa pale nchi yetu ya Tanzania inapoingia...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dkt. Hussein Ali Mwinyi,ameahidi kupambana na vitendo vyote vya ubaguzi ndani ya jamii pindi akipata ridhaa ya kuongoza Zanzibar. Amesema ili...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1) inasema hivi nanukuu "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi itakayofuata mfumo wa vyama vingi" mwisho wa kunukuu Tumekuwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Dalili za mvua ni mawingu,kuwa CHADEMA haitaweza kupata wabunge zaidi ya watatu,maana kisiasa wamekabwa kila kona. Mwaka 2015 ni muungano wa Ukawa ndio uliwasaidia wakapata wabunge wengi. Mwaka...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa Ofisa wa NEC amesema kuwa Lissu kazuiwa kufanya kampeni lakini hajazuiwa kazi za chama. Anaruhusiwa kufanya shughuli za Chama isipokuwa kufanya kampeni za urais, Ubunge na udiwani...
1 Reactions
4 Replies
934 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…