Yule mbunge wa Milele wa Mbeya Mjini, Mh Joseph Mbilinyi ambaye pia aliwahi kufungwa jela kwa kesi ya Kisiasa, leo amefika Kata ya Ilomba kuomba kura zake mwenyewe lakini pia ameomba zingine kwa...
Mwenye macho anatazama mwenyewe na mwenye akili anajua anachokifanya.
Nchi lazima iwe imara kwa katiba ,bila katiba nchi inakuwa dhaifu Sana
Ni ukweli nchi bado ni dhaifu na ndo maana mtu moja...
Mgombea urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharrif Hamad amesema akifanikiwa kuingia Ikulu atahakikisha watu wanaojishughulisha na biashara ya dawa za kulevya wanadhibitiwa ili...
Sio siri wafuasi na wanachama wa CHADEMA walijitutumua kuonyesha chama chao kipo hai na hili walilikomalia zaidi pale Lissu aliporejea toka Ubelgiji na kisha kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa...
Waziri Mkuu Kasim Kajaliwa amebomoa Ngome ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mbunge anaye maliza muda wake Freeman Mbowe kwa kusema hai ilikosa Mbunge kwa muda wa miaka kumi na tano.
Ameyasema...
Suala la mawakala ni muhimu Sana kwa vyama vya upinzani. Toeni elimu kwa mawakala wenu na ikibidi wachagueni walio watiifu na waadilifu kufanya shughuli ya kusimamia kura zenu. Kila Mara vyesi...
Mara kwa mara watu binafsi, taasisi za dini na za kiraia na viongozi wetu wa kisiasa wanekuwa wakituasa watanzania kuwa wazalendo kwa nchi yetu, japo wengi waneshindwa kutofautisha kati ya nchi na...
Hili genge liitwalo ccm limefanikiwa kutugawa na sasa tumegawanyika vipande vipande. Kuna ambao wanaona nguo, tshirts, kofia, khanga, lift, chakula na fadhila nyingine ni muhimu sana kwao kwa sasa...
Kwenye nchi nyingi kuelekea kipindi cha uchaguzi, siku ya uchaguzi na hata baada ya uchaguzi kuna mambo mengi hutokea. Mojawapo ya mambo hayo ni mashambulizi/udukuzi ya mifumo ya teknolojia ya...
Ndugu Wana bodi kitendo Cha serikali ya CCM kuanza kulipa madeni ya wafanyakazi na kuwapandisha madaraja inadhihirisha wazi kuwa huu Ni ukiukwaji wa maadili na kanuni za uchaguzi mkuu...
KAWE INA HESHIMA TAYARI, INAHITAJI MAENDELEO
Je, ni kweli Kawe inahitaji heshima?
Jimbo la Kawe ni moja kati ya majimbo muhimu sana hapa Dar es Salaam.
Kule Masaki na Oysterbay wanakaa watu...
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema iwapo atachaguliwa atahakikisha anazifanyia kazi changamoto zinazowakabili wawekezaji wa sekta...
Leo Tarehe 09/10/2020
Mheshimiwa Boniface Jacob* anatarajia kuendeleza Kampeni zake za Ubunge Jimbo la Ubungo katika Kata ya Ubungo.
Muda ni Kuanzia
Saa 8:00 Mchana, Mtaa wa* *Ubungo...
Niko hapa nikiendelea kukusanya viashiria vyovyote kuwa vyombo muhimu vya nchi vimekubali mabadiliko yanayoenda kutokea katika Uchaguzi Huu.
Nimekaa nikatafakari. Waliomshauri Magufuli amualike...
Wanabodi, mambo sio mambo huko kusini naona sasa Salum Mwalimu ameanza kutumia Ngekewa kama ya Lissu huko Nachingwea kwa kuanza kujaza wafuasi barabarani na viwanjani.
Siku saba za Lissu likizo...
Imedhihirika wazi kuwa Chadema ilikuwa kichwani mwa Dr slaa. Dr slaa aliibua vijana wengi wenye uwezo wa kujenga hoja na zikaheshimika. Kina John Mnyika na kina walikuwa wamewiva kweli.
Mbowe...
CCM kupitia mgombea wake wa urais Sasa wanatumia janja janja ziara na ugeni wa kitaifa kufungua miradi na kuomba kura. Ratiba ya Magufuli inasema ana pumziko kwa muda wa siku 10 na kuendelea...
Uchaguzi wa mwaka huu umekosa mvuto tofauti na uchaguzi wa mwaka 2015 ukipita mitaani na vijiwe vya kahawa hapa Dar unaweza kuzani hakuna uchaguzi watu wengi wanapiga stori za Simba na Yanga tu...
Mwasisi wa Taifa letu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika uhai wake alitoa hotuba nyingi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali, ndani na nje ya nchi. Moja ya hotuba zilizovuta hisia...