Leo kwenye kampeni za CCM kumetokea kituko ambacho ni dhahiri sasa kina Polepole wameshajua jinsi ya kuchota akili za Mgombea wao ni kutengeneza matukio hata ya uongo ili kumfurahisha kwa vile...
Haya sio Maneno yangu, ni Maneno ya muumini mmoja wa Kakobe ambaye ni memba wa jf, aliyasema siku nyingi kwenye issu nyingine humu kuwa mama yangu na baba yangu hadi sasahivi wanasali kwa kakobe...
Augustino Chiwinga
0756810804.
Kibaraka ni mtu anayetumiwa kuhujumu mtu,jamii, au Taifa kwa manufaa au maslahi ya mtu au kikundi kinachomtuma.
Vibaraka wapo kila nchi na hapa Tanzania tunao...
Wanabodi,
Kwa muda mrefu kumekuwepo mgongano na mkanganyiko kati ya uandishi wa habari kama taaluma, na waandishi wa habari kujihusisha na siasa, au kwa kuwa wanachama, washabiki, wafuasi, hadi...
Wanabodi,
Hili wimbi la viongozi wa vyama vya upinzani, kujitoa vyama vyao na kujiunga CCM, kimenipelekea kujiuliza baadhi ya maswali, jee kuhama huku ni kiashiria kuwa
CCM sasa imebadilika...
Tanzania: Withdrawal of individual rights to African Court will deepen repression
The Tanzanian government has withdrawn the right of individuals and NGOs to directly file cases against it at the...
Huu Uzi ni wa ushauri kwa CCM kuwa kwa vile juhudi za kuwa na Tume Huru ya uchaguzi zinaonekana sio za utani wakati huu, hivyo uwezekano wa kuondoka madarakani au kutopata 2/3 majority Bungeni ni...
Jana kulikuwa na tukio kubwa sana la kampeni la Chama cha Mapinduzi kwenye uwanja mkubwa wa Mkapa.
Kilichotokea baada ya tukio hilo picha zinajieleza haina tofauti na kilichofanywa na WCB kule...
Leo katika vyuo na vyuo vikuu Mkoa wa kilimanjaro kumefanyika kampeni ya kutosha ilioongozwa na Diwani Juma Raibu ambae amepita bila kupingwa katika kata yake
Wanavyuo kutoka Muco,Stefano...
Mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, ametuma salamu zake kwa Democrat Union of Africa (DUA) ambacho kimefanya mkutano wa uchaguzi huko nchini Ghana.
DUA ni ushirika wa vyama vya siasa vya...
Ndani ya CCM kuna makundi mwili, CCM asili na CCM maslahi
Hawa asili bado wana damu ya uzalendo na fikra pana kwa kiasi chake, ni wazee na hekima yao iliyopunguka sana bado wanafanya mambo kwa...
Azimio la bunge la Marekani liliotolewa tarehe 17/09/2020 lenye jina la "Urging the Government of Tanzania and all parties to respect human rights and constitutional rights and ensure free and...
Mara baada ya Mgombea wa CCM kusema yeye ni Darasa la Saba. Kisha Bulaya Esther Amos kuibuka na kusema kati ya Wagombea wote ubunge jimbo la Bunda, yeye tu ndiye ana elimu ya juu.
Utafiti katika...
In response to the arrest of opposition leader Zitto Kabwe, leader of the Alliance for Change and Transparency (ACT), along with seven other officials of the party, Seif Magango, Amnesty...
Yaani napita mitaani kila kona na hata kwenye maofisini hasa ofisi za umma katika watu 10 ninaowakuta 1 au 2 ndio wanapotezea CCM.Mitandao yote ya kijamii tukianzia humu JF, FB,Tweeter,Watsaap na...
Juzi nimeona clip ya Lissu akiwa Kariakoo akinunua maparachichi pilipili hoho na nyanyachungu, nikajiuliza hivi kweli mtu unatoka Kimara kwenda Kariakoo kununua parachichi na nyanyachungu? Huko...
Kwenye mikutano yake mingi ya kampeni, amesikika akisema tangu JPM aingie madarakani ameharibu uhusiano wa kidiplomasia na mataifa jirani na hata yale mbali, jambo ambalo limekuja kuthibitika sio...
Mjadala wa uhalali na umuhimu wa kitambulisho cha Ujasiriamali umeibuka upya baada ya Lissu kukikosoa vikali na hapo hapo Magufuli kukitetea kwa nguvu zote.
Kuna maswali ya msingi ya kuhoji na...
Hakika usije ukathubutu kushindana na aliyejaaliwa , pamoja na vikwazo vya kila namna ikiwa ni pamoja na uchawi , lakini Mh Lissu anazidi kuungwa mkono.
Haya hapa ni mapokezi yake alipokuwa...
Nimeviona vitambulisho.
Kitambulisho hakina Jina la mmiliki.
Kitambulisho hakina picha ya mmiliki.
Kitambulisho hakina saini ya mmiliki wala aliyekitoa.
Kitambulisho hakina 'expiry date'...