Vitambulisho vya Wajasiriamali bila Jina, Picha, Anuani, Sahihi wala 'finger prints' ni sawa na kutokuwa na mwenyewe

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Nimeviona vitambulisho.

Kitambulisho hakina Jina la mmiliki.
Kitambulisho hakina picha ya mmiliki.
Kitambulisho hakina saini ya mmiliki wala aliyekitoa.
Kitambulisho hakina 'expiry date'.
Kitambulisho hakina anuani wala sehemu ya kufanyia biashara.

Je, wafanyabiashara watashindwa kuazimana au kutengeneza vitambulisho vya bandia?

Je, kikipotea kitatangazwa vipi au mhusika atapewa kingine kwa utaratibu upi, kwa gharama ile ile au atatoa nyingine.

Je, ni vigezo gani vimetumika kutambua huyu mjasiriamali mtaji wake hauzidi milioni 4, ni kwa kuangilia bidhaa zake kwenye meza au alivyoshikilia mkononi.

Maswali ni mengi kuliko majibu.
 
Mh enheee, oooh. Mh.
χιμπατζηδες.jpeg
 
Nimeviona vitambulisho.

Kitambulisho hakina Jina la mmiliki.
Kitambulisho hakina picha ya mmiliki.
Kitambulisho hakina saini ya mmiliki wala aliyekitoa.
Kitambulisho hakina 'expirly date'.
Kitambulisho hakina anuani wala sehemu ya kufanyia biashara.

Je, wafanyabiashara watashindwa kuazimana au kutengeneza vitambulisho vya bandia?

Je, kikipotea kitatangazwa vipi au mhusika atapewa kingine kwa utaratibu upi, kwa gharama ile ile au atatoa nyingine.

Je, ni vigezo gani vimetumika kutambua huyu mjasiliamali mtaji wake hauzidi milioni 4, ni kwa kuangilia bidhaa zake kwenye meza au alivyoshikilia mkononi.

Maswali ni mengi kuliko majibu.
Cha muhimu ni hiyo namba ya kitambulisho uliyoiona!
 
Dawa ni kuazimana leo unatumia kesho natumia
 
Ww Na Mleta Uzi Wote Ni Vichwa Vya Panzi...Jina La Mmiliki Ni Namba inayoonekana, Sio Kila Kitambulisho Lazima Kiwe Na Sahihi, Umiliki wa Kitambulisho Sio Sahihi Bali Namba Maalumu, Picha ya Nini? Idadi Ya Wajasiliamali Wote Tz Hii Unawaju? Angalia Vitambulisho Vyote Vya Bank, Nida, Au Nec kama Vina Sahihi Ya Mtoaji, Anuani Ya Rais Tamisemi Inajulikana
 
Mkuu utaambiwa umetumwa na mabeberu wanaovionea wivu vitambulisho vyetu!! Kama walivyotuonea wivu na radda yetu ileee!
 
Nimeviona vitambulisho.

Kitambulisho hakina Jina la mmiliki.
Kitambulisho hakina picha ya mmiliki.
Kitambulisho hakina saini ya mmiliki wala aliyekitoa.
Kitambulisho hakina 'expiry date'.
Kitambulisho hakina anuani wala sehemu ya kufanyia biashara.

Je, wafanyabiashara watashindwa kuazimana au kutengeneza vitambulisho vya bandia?

Je, kikipotea kitatangazwa vipi au mhusika atapewa kingine kwa utaratibu upi, kwa gharama ile ile au atatoa nyingine.

Je, ni vigezo gani vimetumika kutambua huyu mjasiliamali mtaji wake hauzidi milioni 4, ni kwa kuangilia bidhaa zake kwenye meza au alivyoshikilia mkononi.

Maswali ni mengi kuliko majibu.
Mkuu unamaanisha vitambulisho gani mbona hujaeleweka
 
Ww Na Mleta Uzi Wote Ni Vichwa Vya Panzi...Jina La Mmiliki Ni Namba inayoonekana, Sio Kila Kitambulisho Lazima Kiwe Na Sahihi, Umiliki wa Kitambulisho Sio Sahihi Bali Namba Maalumu, Picha ya Nini? Idadi Ya Wajasiliamali Wote Tz Hii Unawaju? Angalia Vitambulisho Vyote Vya Bank, Nida, Au Nec kama Vina Sahihi Ya Mtoaji, Anuani Ya Rais Tamisemi Inajulikana

Kichaa kama ww ni janga la taifa
Standard 7 siwez kubishana na ww rudi shule chiz
 
Back
Top Bottom