Uchaguzi 2020 Uwanja wa Mkapa umeharibika waandishi kimya

DIUNATION

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
2,586
1,709
Jana kulikuwa na tukio kubwa sana la kampeni la Chama cha Mapinduzi kwenye uwanja mkubwa wa Mkapa.

Kilichotokea baada ya tukio hilo picha zinajieleza haina tofauti na kilichofanywa na WCB kule Sokoine, Mbeya.

Tofauti ni kuwa kule Mbeya kelele za kulaani zilikuwa nyingi ila kwa Jana kimya kila mtu anaogopa.

2584960_JamiiForums349166887.jpg
 
Jana kulikua na tukio kubwa sana la kampeni la chama cha mapinduzi kwenye uwanja mkubwa wa mkapa.Kilichotokea baada ya tukio hilo picha zinajieleza haina tofauti na kilichofanywa na WCB kule sokoine Mbeya.Tofauti ni kua kule Mbeya kelele za kulaani zilikua nyingi Ila kwa Jana kimyaaaa.Kila MTU anaogopa.
Wao ndiyo waliyoutengeza hivyo kama wameuharibu wao bado wao ndiyo watakaourekebisha. Acha majungu.
 
Jana kulikua na tukio kubwa sana la kampeni la chama cha mapinduzi kwenye uwanja mkubwa wa mkapa.Kilichotokea baada ya tukio hilo picha zinajieleza haina tofauti na kilichofanywa na WCB kule sokoine Mbeya.Tofauti ni kua kule Mbeya kelele za kulaani zilikua nyingi Ila kwa Jana kimyaaaa.Kila MTU anaogopa.
Kwa makusudi majukwaa yalikuwa empty ila watu wakalazimishwa kukaa kwenye pitch

Kuhusu waandishi nadhani hakuna anataka kuwa azory Agwanda
 
Back
Top Bottom