Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, ameahidi kuimarisha biashara katika mkoa wa Tanga, kufufua viwanda vilivyokufa pamoja kutoza kodi rafiki kwa wafanyabiashara...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli leo anaendelea na kampeni zake katika Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo atanadi Sera na ilani za Chama...
4 Reactions
85 Replies
9K Views
Kuna 'Mgombea' Mmoja hivi (bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni...
64 Reactions
295 Replies
23K Views
Tanzania: Laws weaponized to undermine political and civil freedoms ahead of elections 12 October 2020, 11:19 UTC Tanzanian President John Magufuli’s government has built up a formidable arsenal...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Katibu mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Dkt Idrissa Muslim anawatangazia Walimu, Wanafunzi na Wananchi kua, Wizara itazifunga Shule zote za Zanzibar kuanzia tarehe 24/10/2020 na...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Kiukweli kuomba kuongeza mkataba wa kazi ni tofauti na kuomba kazi kwa mara ya kwanza. Rais Magufuli ana sifa nyingi za ziada katika kinyang'anyiro cha urais ukilinganisha na washindani wake...
9 Reactions
52 Replies
5K Views
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Jimbo la Karagwe, Mkoani Kagera, Ndg. G.M. Kitonka Mhe. Dk. Wilson Charles Mahera, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dodoma, YAH: KUENGULIWA...
5 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama yupo anaetutakia amani na nchi yetu kwenye kipindi hiki basi atusaidie kuifanya Tume ya uchaguzi isiyumbishwe na wanasiasa wote. Afande Sirro ni msomi sana na muelewa, Maaskofu na Masheikh...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
====== Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imesema vyama vya Tanzania Labour (TLP) na United Democratic (UDP) ambavyo vilitangaza kumuunga mkono mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John...
14 Reactions
138 Replies
16K Views
"Tumevumilia sana, na IGP amevumilia sana, kuanzishwa sasa mtashangaa watu watapigwa mabomu kule ambako wameambiwa waache kwenda na polisi, nadhani mliona jana wamepigwa mabomu kule Nyamongo’’ Dkt...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu bado tunaendelea kuwaletea taarifa za Mh Tundu Lissu kutoka popote anapopita kuomba kura. Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika. ========= Mgombea Urais wa Jamhuri ya...
23 Reactions
71 Replies
11K Views
Leila Sheikh mwanahabari na mtetezi wa haki za wanawake, wakati akishiriki mjadala wa waandishi wa habari uliotayarishwa na radio DW Kiswahili leo mchana ametoa matamko ambayo hata NEC wala...
14 Reactions
182 Replies
24K Views
Nimepata Taarifa NIMEFUNGIWA kufanya KAMPENI siku saba kuanzia tarehe 12-18/10/2020. Hukumu ilikuwa imesha andikwa kabla ya KIKAO cha Maadili. TUTAWEKA WAZI USHAHIDI tulio uwasilisha. NJIA moja...
10 Reactions
129 Replies
17K Views
Leo nitazungumza sana siasa za Ubunge. Ukicheza vibaya hasa katika siku kumi za mwisho unaweza kuambulia 0 na ukicheza vizuri unaweza kushinda sana. Siasa ni sawa na masomo ya darasani hasa kwa...
0 Reactions
5 Replies
889 Views
Machaliii wa RCHUNGA wanapotoka mererani wale wana Apolo huwa ni msimu wa mavuno kwa machangu wote wa Arusha... Pesa kitu gani bwana hasara roho... Kipindi hiki machangu huhamishia mapenzi feki...
50 Reactions
113 Replies
13K Views
Na; Makame Ali Makame 11/10/2020 Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi amebainisha mara kadhaa dhamira yake ya kulinda na kuheshimu Katiba yetu kama Mkataba maalum baina yake na wananchi wote...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Itifaki imezingatiwa, Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekua nikijiuliza hili swali kwanini tusitumie simu zetu za mkononi kupiga kura, hii itaokoa muda , gharama na ile adha ya kuwataka watu...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mgombea urais chama cha demokrasia na maendeleo Tundu Lissu leo akiwa Singida amesema Magufuli aache kudanganya sisi siyo washamba kama yeye, kitambulisho cha biashara ndogo huwezi kutumia kukopa...
65 Reactions
180 Replies
15K Views
Mhe. Ester Amos Bulaya (MB) Jimbo la Bunda Mjini ameteuliwa kuwa Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni. Awali nafasi hii ilikuwa ikiongozwa na mhe. Tundu Lissu mara baada ya kushambuliwa...
28 Reactions
76 Replies
8K Views
Habari wakuu, Kampeni meneja wa CCM uchaguzi huu ni nani? Nayaona makosa mengi mno kwenye uchaguzi kipindi hiki. Kwa maeneo waliyofanya kampeni mpaka sasa hivi, watu wameshasahau kilisemwa nini...
6 Reactions
75 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…