Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naomba kwa kuwa tayari dalili zinaonesha nchi nzima mmechukua kwa kishindo majimbo yote kuanzia udiwani, ubunge na Magufuli kashinda kwa zaidi ya asilimia 120% basi tufungulieni mitandao tuendelee...
65 Reactions
162 Replies
13K Views
Watanzania wenzangu kuna barua inasaambaa kwenye mitandao ya jamii inayodai kwamba mimi nimempongeza Rais kwa ushindi wa Urais.Barua hiyo ni fake na ipuuzeni. Kamwe siwezi kumpongeza kwa uchaguzi...
16 Reactions
60 Replies
6K Views
Na: McWenceslaus 31/10/2020 Wapinzani sikieni, Ujumbe mshikeni, Iloletwa na wageni, Ndicho chenu kishikeni. Wambieni Mabeberu, Na Robert Amstardamu, Nchi yetu ipo huru, na CCM ndio Nuru...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanzania mpya itakayo kuwa na maendeleo bora ya kidemokrasia yanayo jali haki ya kila mtanzania tunahitaji kugusa maeneo yafuatayo. 1. Katiba mpya. 2. Kufuta jeshi la polisi na kuunda huduma ya...
2 Reactions
0 Replies
757 Views
Mitandao ya kijamii ni eneo pana na lenye kuweza kuwekwa picha mbambali za video iwe za miaka ya nyuma, miaka hii au hivi karibuni. Kwasababu la kiusalama inawezekana kabisa kuzuia mitandao...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Generally ni Tanzania kuwa kama Ulaya Arusha kuwa Calfonia Kigoma kuwa lango la biashara Maziwa Makuu Mbeya kuwa Chicago Dar kuwa Birmingham Tabora kuwa Toronto Zanzibar kuwa Dubai Dodoma kuwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amemtumia salamu za heri kwa rais mwenzake wa Tanzania John Pombe Magufuli kwa kushinda uchaguzi uliomalizika hivi punde. Rais Kenyatta amesema kuchaguliwa tena kwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
1965-Mwalimu JK Nyerere alishinda kwa kura 2,520,904 sawa na asilimia 96.46 1970- Mwalimu JK Nyerere alishinda kwa kura 3,220,636 sawa na asilimia 96.7 1975- Mwalimu JK Nyerere alishinda kwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi la Zanzibar limekiri kumshikilia Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Bw. Nassor Mazrui na vijana wengine 33 wakiwatuhumu kuwa na mabomu na kushiriki harakati mbalimbali za...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA. Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa: 1...
212 Reactions
312 Replies
28K Views
Kesho majira ya saa nne asubuhi viongozi wakuu wa CHADEMA na ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari. Yatafanyika Makao Makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa Kinondoni. Stay tuned!
18 Reactions
141 Replies
13K Views
Yani kuacha Magufuli na Lissu, unakuja kugundua kuwa mshindi aliyeshika nafasi ya tatu kati ya hao 15 ni kura zilizo haribika. Yani zaidi ya kura laki mbili ziliharibika. Ni kura nyingi kuliko za...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Huyu ni Mzee aliyeingia bungeni huko Marekani toka miaka ya 89 yaani huwezi kumtofautisha na mzee Wassira kwa kung'ang'ania cheo. Huyu ndiye mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje kwenye bunge la...
4 Reactions
64 Replies
6K Views
Moja kwa moja kwenye Mada nitasalimia baadae. Binafsi nilikuwa moja ya wasisimamizi wa uchaguzi katika nafasi kubwa ya "OBSERVER MKUU" kwenye uchaguzi huu hivyo nilikuwa nakagua karibu kila kituo...
31 Reactions
130 Replies
8K Views
JPM alipoingia madarakani alisema ataua vyama vya upizani hawakumuelewa, wakapiga kelele bila tafakuri Kumbe JPM alimaanisha kwa utendaji wake ifikapo 2020 hakuna atakaekuwa na Sera za kueleza kwa...
9 Reactions
42 Replies
3K Views
KATIBU MWENEZI wa CCM, Ndg. Humphrey Polepole, amewashukuru Watanzani kwa kukipa chama hiko kura nyingi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kupelekea kushinda kwa kishindo. Aidha ametoa ratiba...
8 Reactions
70 Replies
8K Views
Nimefurahi sana aliyekuwa mbunge wa Iringa, Msigwa Peter kuangushwa chini, Alikuwa na dharau sana ukimfata Kumueleza Shida akusaidie kama Mwananchi. Aliutumia ubunge kama Kitega uchumi cha...
8 Reactions
39 Replies
3K Views
Wasalaam wajumbe! Mimi ninashangaa sana wanaodai kuwa ooh sijui maandamano yatavuruga amani ya nchi, kwani maandamano si yapo kikatiba na yameruhusiwa kabisa pale mtu anapohisi kua haki yake...
12 Reactions
70 Replies
4K Views
Na: McWenceslaus 31/10/2020 Wapinzani sikieni, Ujumbe mshikeni, Iloletwa na wageni, Ndicho chenu kishikeni. Wambieni Mabeberu, Na Robert Amstardamu, Nchi yetu ipo huru, na CCM ndio Nuru...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…