Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Poleni wanachama tajwa kwa yaliyowapata na hongeleni wengine kwa ushindi. Baada ya kushindwa uchaguzi chama tajwa kiliitisha maandamano yasiyo na kikomo. Maandamano hayo yalifeli kwasababu...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
KUYABHULA ni neno la kinyamwezi linalomaanisha namna mchawi anavyojiumbua mwenyewe baada ya kula nyama ya mtu. Nilidhani KUYABHULA hutokea baina ya mtu na mtu kumbe hata kisiasa mchawi anaweza...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari za Leo?, Nimatumaini yangu kuwa hamjambo. Naomba kumzungumzia huyu Mgombea wa CHADEMA, mheshimiwa T.A.Lissu, nimejaribu kuhudhuria kampeni zake kama Mara nne hivi lakini hakuna...
31 Reactions
314 Replies
22K Views
Wanaohusika na Internet tunaomba mturejeshee internet jamani. Kumbukeni wengine wanasoma online, wengine wanafanya biashara online, wengine internet ndio chakula chao. Naombeni sana mturudishie...
56 Reactions
266 Replies
25K Views
2020 Elections Chapter sasa imefungwa. Kazi ya ujenzi wa utaifa iendelee! December 9, 2020, taifa letu litasherehekea miaka 59 ya uhuru. Katika hicho kipindi cha miaka 59, waasisi wa taifa hili...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Mahakama ya Kisutu imewafutia mashtaka aliyekuwa Kamishna wa TRA, Harry Kitilya na maofisa wa benki ya Stanbic, Shose Sinare na Sioi Solomon, hata hivyo wamekamatwa tena na kurudishwa mahabusu...
6 Reactions
250 Replies
53K Views
Habari wanaJF, Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Ukurasa wake wa Twitter amekandia kitendo cha Aliyekuwa Mgombea Urais kupitia Chama cha CHADEMA, Edward Lowassa kufika Ikulu mchana wa leo na kumwaga...
32 Reactions
316 Replies
43K Views
Honestly, hata mimi ningekuwa kwenye nafasi ya CHADEMA, ningepata shida sana kuamua hatima ya mbunge Aida Khenan na madiwani wake 10 na wengine watano toka maeneo mengine ambao "inadhaniwa...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 wafuasi wa CHADEMA walitamka waziwazi hawamtambui Dr.Magufuli kama Rais na badala yake walimtambua Lowassa kama "Rais wa mioyo yao" Kwanini Tundu...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Leo Rais Mteule wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi anaapishwa kuyatwaa Rasmi madaraka ya kuingoza Zanzibar akimrithi Dr. Ali Mohamed Shein. Kwa sasa tayari wananchi na viongozi wameshawasili ikiwemo...
8 Reactions
52 Replies
9K Views
Najua fika kuwa mlitegemea hili anguko ila mlifanya siasa kwa mazoea kwa kudhania kuwa Tanzania ya 1995- 2015 bado ni ile ile. Hapana kabisa Tanzania ya leo sio kama hiyo mliodhania na...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Tumesikia madai mazito aliyotoa Makamu Mwenyekiti wa Chadema na aliyekuwa mgombea urais wa Chadema, Tundu Lissu ya kutishiwa kuuawa, hadi ikamlazimu kukimbilia ubalozi Wa Ujerumani na kuomba...
11 Reactions
43 Replies
4K Views
Viongozi wa dini wa aina ya shehe wa Darisalama Alhadi Musa Salum, Kadinali Pengo, Gwajima nk. Naona Sasa mioyo yenu imetulia mmepata amani ya moyo baada ya mlichokipambania kutimia. Naona baada...
10 Reactions
18 Replies
2K Views
Haya sasa, uchaguzi mdogo kabla hata ya uapisho. --- Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita kimepata pigo baada ya madiwani wake wawili wateule kufariki dunia kwa nyakati tofauti wakati...
14 Reactions
89 Replies
14K Views
Baada ya vituko vya tume za NEC na ZEC ,sasa wamekuja na mtego wakutaka kutushirikisha kuhalalisha wizi wao Naomba vyama hivi viwili na wakimjumuisha rungwe (Chauma) na NLD sio mbaya wafanye...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Tangazo la kuita Waheshimiwa Wabunge kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Kumi na Mbili.
1 Reactions
40 Replies
4K Views
KWA WALE WAFUATILIAJI WA SIASA ZA MAGEUZI NCHINI TANZANIA ZA KUTETEA HAKI SAWA NA KUPINGA UFISADI. Baada ya kufatilia siasa za upinzani tangu mwaka 1995 hadi leo hii...
10 Reactions
80 Replies
8K Views
Hii njia nimeiona ndio suluhu ya kuondoa malalamiko kwa juu ya mawakala kufukuzwa au kuzuiw kufanya kazi. Sheria ya uchaguzi ya Tanzania ibadilishwe tuwe tunapiga kura kwa njia ya posta...
1 Reactions
10 Replies
944 Views
Katika dunia hii ya teknolojia, alternatives to communication zinajitokeza kila uchao. Kwa sababu za kisiasa tu TCRA imeamua kuminya upatikanaji na upashanaji wa habari kwa waTanzania. Hili ni...
13 Reactions
37 Replies
3K Views
Ndugu zangu tangu baada ya uchaguzi nchi yetu inapitia kipindi kigumu watu wanauawa kinyama mchana kweupe kwa sababu za kisiasa , kuchomeana makazi na kutekana. Kibaya zaidi wenye mamlaka wanadai...
23 Reactions
43 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…