Leo katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV Prof. Mukandara alikuwa anaelezea kuhusu Matokeo ya awali kuhusu utafiti wake/wa REDET.
Prof. Mukandara anasema kuwa katika utafiti wake...
Spika Ndugai amesema haya,
Katika maisha yangu sikuwahi kuwaza wala kuota kama nitakuwa Mwanasiasa, Mbunge na hata Spika ni Mungu tu ambaye katika uumbaji wake hutujua na kutupangia safari kadri...
Nalifananisha bunge la Ndugai linaloanza leo sawa na lile bunge la katiba baada ya UKAWA kususia wakiongozwa na Prof. Lipumba.
Tutegemee mambo mengi mazuri na mengi ya kushangaza lakini zaidi ni...
Mbunge mteule wa Jimbo la Mtwara Vijijini kupitia chama cha CUF, Shamsia Azizi Mtamba amesema hakupata kauli yoyote ya kumzuia kuapa kuwa Mbunge.
Amesema ana baraka zote kutoka kwa Chama chake na...
Kuna Jambo zito linatengenezwa na hawa waliokuwa wanajinasibu wapinzani haswa wa Vyama vya CHADEMA na ACT WAZALENDO.
Kitendo cha wao kuanza kukimbilia nje ya Nchi ama kwenye Balozi zilizopo hapa...
Prof. Adelardus Lubango Kilangi amekuwa mtu wa kwanza kuteuliwa na Rais John Magufuli kwa kipindi cha muhula wa pili wa Uongozi wa Rias Magufuli.
Prof. Kilangi ameteuliwa na kuapishwa kuwa...
Wakuu Mimi niko mkoa wa Mara huku sirari mpakani na Isibania jirani kabisa na Kenya.
Kwa utafiti Wangu Mkoa huuu wagombea wa CCM kwenye majimbo yote wana kazi ngumu sana kuliko mikoa yote hapa...
Kwanza nianze kwa kusema kuwa, Katika vitu ambavyo CCM kwa sasa wanatamani vitokee, ni kupata wabunge wa upinzani japo wachache ili kuondoa dhana ya Bunge kuitwa Bunge la CCM-Bunge la chama...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Godblessema ameachiwa muda huu baada ya kukamatwa na polisi Kenya hapo jana.
=======
Mbunge wa zamani wa...
Hii kitu huwa inanisumbua kidogo naomba kusaidiwa.
Muda wa Dkt. Mohamed Shein kulikuwa na Makamo wa pili wa Rais Balozi Seif Ally Eid lakini hakukuwa na Makamo wa kwanza wa Rais.
Hivyo hivyo...
Nakumbuka sababu zilizotolewa za kusitisha Bunge live ziilikuwa ni pamoja na maelezo kuwa awamu hii ni awamu ya kubana matumizi na hivvyo Bunge live halitakuwepo tena kwani ni gharama kubwa na pia...
Kibaha. Diwani mteule wa CCM kata ya Kikongo Kibaha vijijini Fatuma Ngozi pamoja na wajukuu zake wawili wamefariki baada ya kuungua kwa moto wakiwa ndani ya nyumba.
Nyumba ya diwani huyo imeungua...
Awali niliamini Job Ndugai atapita bila kupingwa kwa sababu hana mpinzani.
Kumbe nilikosea, amepigiwa kura za ndiyo na Hapana.
Ikumbukwe jimboni kwake Kongwa, Ndugai alipita bila kupingwa...
Naombeni kuwajua wabunge nane wa Upinzani na majimbo wanayotoka.
Na je vyama vya ACT-Wazalendo na CUF wamechukua hatua gani au msimamo upi juu ya ushiriki wa wabunge wao katika Bunge?
Uchaguzi mmeshinda inavyoonekana, na tayari alisha apishwa Rais.
Sasa acheni hizi sarakasi za kufukuzana na wapinzani, Lissu anadai kuna njama dhidi ya uhai wake, acheni hàyo. CCM ni chama...
Wahenga wanamisemo mingi sana ya kufundisha, kuonya, kufariji, kukemea na kukupa dira. Miongoni mwa misemo hiyo, Kuna msemo mmoja, "ukiona mwenzio ananyolewa, wewe tia maji".
Msemo huo una maana...
Kuna mambo yanayoendelea kwa wananchi wa jimbo la babati mjini kama tu CCM watafanya makosa na kurudisha jina la Pauline Gekul. Wananchi wengi wanasema wamemchoka Paulina nakusema bora hata Esta...
Balozi huyo ameandika:
Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted...
Aida Khenan mbunge mteule wa Nkasi amesema, yeye ni mbunge pekee aliyetangazwa na katika mkoa wake amepata madiwani 10.
Lakini amesema amesikia kwenye mitandao kuhusu msimamo wa chama chake...