Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watanzania ni mabingwa wa kufuata mkumbo Chadema hawashiriki uchaguzi na hata zoezi la kuboresha taarifa za wapiga kura na kuandikisha wapiga kura wapya hawajashiriki Sasa hiyo No Election...
16 Reactions
102 Replies
2K Views
HUKO INSTAGRAM KUANZIA JANA KUMEWAKA KILA POST YOYOTE UTAKAYO GUSA HAIJALOSHI INAHUSIHANA NA NINI UKIFUNGUA COMMENT 99% WATU WOTE UNAKUTA WAMECOMENT "NO REFORM NO ELECTION" HATA KAMA POST ZA KANGA...
26 Reactions
59 Replies
2K Views
IMAMU wa Msikiti wa Masjid Noor uliopo chini ya BAKWATA Bariadi, Mkoani Simiyu, Sheikh Yakubu Saburia, ameeleza kuwa amani ya nchi haipaswi kuhubiriwa kwa misingi ya itikadi za kisiasa au vyama...
5 Reactions
65 Replies
2K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, amesema Jeshi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani. Amesema hayo leo Juni 9, Jijini Dar es Salaam wakati wa...
4 Reactions
104 Replies
5K Views
Huko lumumba hakuna watu wenye Akili? Hadi wanakuja na msemo huu wa hovyo? Yaani unasema kabisaa kuwa ikifika kipindi cha uchaguzi tutakuwa tunatick Tu Kwa upande wa CCM hii imekaaje? Kuna haja...
3 Reactions
25 Replies
973 Views
Jumapili tarehe 18 Januari, 2026 Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo itakutana jijini Dar es salaam ikiwa ni kikao chake cha kwanza baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015. Katika kikao hicho...
3 Reactions
9 Replies
245 Views
Zitto Kabwe akihojiwa na Edwin Odemba katika kipindi cha medani za siasa, amesema anaheshimu faragha za watu wote. Hii ni baada ya kuhojiwa kama yupo tayari kuitangazia dunia kuwa anaupinga...
9 Reactions
182 Replies
9K Views
Licha ya upinzani mkubwa wa sera na mipango mikubwa ya Chadema ni wazi CCM ni mshindi mpaka sasa Kwa sababu hawa Chadema wenye wafuasi wengi hawatashiriki uchaguzi. CCM Wana Hela za kutosha...
6 Reactions
37 Replies
1K Views
Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA John Mnyika akiongea katika mdahalo uliofanyika kidigital kupitia mtandao wa Zoom mapema leo.
2 Reactions
7 Replies
210 Views
Rais Samia kushiriki Uzinduzi wa Hema la Mwamposa leo Julai 5, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe - Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/NZ57idJKHwQ?si=S2Y-6Mx9OoOrpMT6 Uzinduzi...
5 Reactions
277 Replies
14K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tanganyika, John Heche, amesema leo saa nane mchana watatuma ujumbe kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari, akisisitiza kuwa nchi inahitaji uongozi thabiti huku...
18 Reactions
71 Replies
3K Views
Watu waliouwawa Oct 29 sio wale waliochoma moto vitu, hili suala la kusingizia walichoma vitu ni la kupumbaza tu, kwanza kuchoma vitu adhabu sii kifo. Adhabu ya kuchoma vitu adhabu sii kifo...
5 Reactions
8 Replies
226 Views
Mtangazaji machachari wa kituo cha runinga cha Clouds Media Sam Sasali akimuhoji Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika Mdahalo wa The Cafe Talk...
12 Reactions
66 Replies
4K Views
Unajua hata kama unanufaika na mfumo basi tambua tu kwamba Kuna maisha Duniani na hupita na kufuatiwa na nyumba ya milele katika usingizi wa umauti. Kweli unaandaa press kwa Kodi za Wananchi...
8 Reactions
11 Replies
658 Views
1. CDF 2. IGP
6 Reactions
12 Replies
297 Views
Maelezo yake yalijaa vitisho mwanzo mwisho. Pia alionekana kulazimisha watanzania waamini kuwa bandari inapata faida baada ya kununuliwa na DP World. Hiyo faida ya bandari siyo ya watanzania, ni...
22 Reactions
49 Replies
3K Views
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Bajeti ya Serikali ya 2025/26 itakayosomwa kesho Juni 12, 2025 ni bajeti ya uchaguzi kwa sababu Serikali imeanza safari ya kugharamia uchaguzi wake...
8 Reactions
76 Replies
4K Views
Pia anatajwa kama kiongozi wa UVCCM kata ya Kindai, Singida. Ushahidi huu hapa Je ni nani anayemtuma na anataka nini?
14 Reactions
74 Replies
3K Views
Gazeti la "The Wall Street Journal " la New York la tarehe 11/06/2025 limesema Rais Samia anatumia Madaraka yake vibaya. Britanicca
41 Reactions
154 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…