Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WAMILIKI wa hospitali na zahanati binafsi mkoani Mwanza wameingia katika mvutano mkubwa na mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF) kuhusu makato ya fedha wanazokatwa kila mwezi zinazotokana na...
10 Reactions
71 Replies
10K Views
Kesho Jumatano, Novemba 25, 2020, CHADEMA kupitia uongozi wa juu wa Chama, kitazungumza na Umma wa Watanzania kupitia waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari, katika mkutano utakaofanyika Ofisi...
13 Reactions
164 Replies
16K Views
Tulisafirishwa usiku wa manane kama mateka wa kikoloni tukiwa tumefungwa pingu mikononi, tukapandishwa kwenye Tipa la wazi la kubebea kokoto kutoka Gereza la Singida hadi Gereza Kuu la Isanga...
7 Reactions
30 Replies
5K Views
Nasisitiza kuwa Halima Mdee na wenzake maarufu kama Covid 19 hawajawahi kuwa wabunge wa bunge la 12. Kwa mujibu wa ibara ya 78 ya katiba ya nchi, kipengele cha 3, majina ya watu yaliopendekezwa...
17 Reactions
38 Replies
4K Views
Naomba tu kuelimishwa uhusiano wa ukuu kati ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM na mbunge/waziri kupitia CCM. Naingia ibadani Mungu awabariki sana. Maendeleo hayana vyama!
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Baniani mbaya kiatu chake kizuri na usione vyaelea vimeundwa. Unapoona mtu anatoka kwenye chama kidogo kama Chadema na kwenda chama dola na moja kwa moja anapata uteuzi wa Rais basi elewa chama...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umetolea ufafanuzi malalamiko ya wadau wake mkoani Mwanza. Watoa huduma wamekumbushwa kuzingatia miongozo na mkataba kati yao na mfuko. Kikao kitaitishwa ili...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nchi kwa mwenendo huu utalaaniwa na hatuwezi fanikiwa. Uhuni, na ujambazi kwenye siasa haushindi kamwe. Unakua ushindi wa muda mfupi sana. Mwisho wa siku, haki hutawala. Hujuma ambayo CCM na...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Siasa za Tanzania zinazidi kuwa ngumu kila uchwao. CCM ilidhani uimara wa chama nikushinda uchaguzi wakasahau hata ushindi wa uchaguzi ni sayansi. Leo hii wanawake wa CHADEMA walioteswa bila...
2 Reactions
1 Replies
665 Views
Sarakasi zote zinazotokea ndani ya CHADEMA sababu kubwa ni Tundu Lissu. Chama hiki pendwa kilikuwa na uwezo wa kupata hata wabunge 150 wa kuchaguliwa lakini kutokana na kuweka mgombea urais wa...
17 Reactions
60 Replies
6K Views
  • Closed
ALERT CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:- Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19 Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na...
41 Reactions
209 Replies
22K Views
Mheshimiwa Rais Magufuli leo acha niwashitaki hawa viumbe wawili Polepole na Bashiru kwako. Hawa ndio watu wanaofanya leo uchaguzi unakuwa mgumu kwako kutokana na mbinu yao ya ushawishi...
23 Reactions
27 Replies
4K Views
Niseme wazi binafsi sikusitushwa sana na usaliti uliofanywa na akina mdee kwani ni kawaida na ni historia ya kale tukianzia kwa Adam na Eva. Tumeona nguvu ya Mwanamke ilivyoyumbisha nguvu ya Dr...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhmi ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 16 Januari, 2017 amefanya uteuzi wa Wabunge wawili wa Bunge la Jamhuii ya Muungano...
1 Reactions
261 Replies
46K Views
Viti Maalum vya wabunge Wanawake vimewekwa ili kulipa fursa kundi hilo la jamii kwenye ulingo wa siasa. Mantiki yake ni kuwa, katika vurugumechi za siasa, wanaume huwazidi wanawake kutokana na...
8 Reactions
93 Replies
7K Views
Muda huu Baraza la Wanawake wa CHADEMA muda huu wanatoa juu ya wenzao 19 walioapishwa kuwa Wabunge Viti Maalum, tazama LIVE hapa chini.
9 Reactions
52 Replies
7K Views
Wiki hii ulimwengu wa siasa nchini umetekwa na CHADEMA. Tukio la wanachama wake 19 wakiongozwa na aliyekuwa mwenyeketi wa BAWACHA Halima Mdee kukiasi chama na kwenda kuapa Bungeni kama wabunge wa...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Ole wenu CHADEMA!! Mtihani huu uliopo CHADEMA ndio utakaoamua msitakabali wa Chama hicho, ama Chama kiendelee kuwepo kikiwa na nguvu ileile ama kuzikwa rasmi ikiwa hekima haitatumika kuamua...
5 Reactions
126 Replies
9K Views
Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Pius Msekwa amedai uamuzi uliofanywa na Spika wa Bunge Job Ndugai wa kumvua Ubunge aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu uko...
10 Reactions
101 Replies
12K Views
Kutokana na haya yanayotokea chama kina jumla ya Wabunge 20 hii inamaanisha kitapata ruzuku kutokana na idadi hiyo ya Wabunge. Ikiwa bado wataendelea kuwa Wabunge hao 19 hiyo ruzuku chama...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…