Wadau wa JF habari!
Kama ikitokea hawa wanawake wakatambua kua wamekosea na kuomba radhi nashauri wasamehewe. Jambo hili limetukwaza wengi ila kama watakiri makosa wasamehewe na tuwapokee...
Usiku wa tarehe 27/11/2020 nilimsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akitoa taarifa ya kikao cha Kamati Kuu kuhusu wabunge wa vti maalumu wa chama chake alioishia kuwavua vyeo vyao...
HALIMA MDEE NA MWENZAKE 18 WAMEJIMALIZA KISIASA.
Habari za siku za mwisho wa wiki Wajumbe wa JF,
Hakikaki katika kitu ambacho hua naamini kwenye maisha yangu ni kwamba njia ya mkato kwenye...
Wasalaam,
Nmetafakari sana juu ya mambo kadhaa ya chaguzi zetu hasa hili la Viti maalumu vya CHADEMA na kuona iko haja ya NEC kutolea ufafanuzi juu ya mambo yafuatayo;
Vinginevyo naona kama...
Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the...
Hii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo.
Inatajwa kuwa CHADEMA kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake.
Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.
Kwangu mimi katika yote yaliyozungumzwa kiapo cha mbunge ndio kimenipa tafakuri.
Spika Ndugai baada ya kuwaapisha wabunge 19 wa Chadema kwenye viwanja vya bunge alisema kanuni zinamruhusu...
Miaka mitano iliyopita niliandika uzi kuhusu jimbo hili baada ya kutomuona mgombea wa wakati huo akifanya kampeni za nguvu...
Julius Mtatiro toka mafichoni Segerea inakwenda
Leo narudia tena...
Na Humphrey Shao, Msakuzi, Dar es Salaam
Ikiwa imepita mwezi mmoja tangu Watanzania waweze kumpa ridhaa ya kuongoza tena kwa miaka mitano tena hapa nchini huku mambo yakiwa ni tofauti kwa Rais...
Ibara ya 68 ya katiba inasema hivi;
Kila Mbunge atatakiwa kuapishwa katika Bunge kiapo cha uaminifu kabla hajaanza kushiriki katika shughuli za Bunge; lakini Mbunge aweza kushiriki katika...
Taasisi moja ya utafiti ya nchini Denmark imechambua hoja za Prof. Kabudi na serikali ya Dr Magufuli juu ya matumizi ya fedha za msaada kupigana na COVID-19. Tanzania inadai maombi ya siku tatu...
Rejea tena kichwa cha mada hapo juu.
Muda unakimbia kwa kasi na mengi yanatokea na kupita, kumbukumbu huwa zinabaki.
Huenda sina kumbukumbu za kutosha, lakini kwa kadri ya 'hansadi' zangu...
CHADEMA na ACT Wazalendo tunautangazia umma na wanaopinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu kushiriki Maandamano ya Amani kesho Jumatatu ya Tarehe 2/11/20. Madhumuni ya Maandamano ni kudai kurudiwa...
Nimesoma kitu kinachoitwa TAARIFA KWA UMMA iliyotolewa na Tume ya Taifa ya uchaguzi, iliyosainiwa na Mkurugenzi wake Dkt Mahera, tarehe 27/11/2020, naomba maswali yafuatayo uyajibu Dkt Mahera:-...
Spika Ndugai alisema kanuni za bunge zinaruhusu mbunge kuapishwa nje ya ukumbi wa bunge jambo muhimu ni lazima mbunge aape mbele ya Spika wa bunge.
Mwenyekiti wa Chadema ambaye ni mbunge mstaafu...
Mdee, Matiko na Bulaya (MMB) wakiamua kuanzisha chama chao cha siasa baada yakutimuliwa CHADEMA, moto wa chama hicho hautakuwa wa mchezo. Usitake kupima nguvu ya wanawake!
Zitto Kabwe baada ya...
Taifa letu tangu limepata uhuru limekuwa likitawaliwa kwa misingi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sheria za nchi yetu
Ndio maana hatuoni nchi hii ikiendeshwa kwa presidential...