"Sasa kwa wale "Kwa wale wanaochokolewa masikio kuvunja amani ya nchi hii niwasihi acheni mara moja, amani ikichafuka haichagui" Amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akizindua jengo la Taaluma na Utawala pamoja na Bweni la Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS) ya Chuo Kikuu cha Dar es...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema serikali imeanza mazungumzo yenye dhamira ya kuboresha maslahi, ikiwemo makazi na posho kwa askari wote nchini, ili kuboresha...
Tangazo rasmi kutoka Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuhusu Taifa hilo kuzuia visa za kuingia Marekani kwa Watanzania isipokuwa katika hali na mazingira machache wakati Serikali ya Samia...
Salaam!
Nimelazimika kutoa ushauri huu ambao unaweza kuonekana kama ni kuharibu kazi za wahusika wa kufanya usafi Katika nyumba ya ndugu Chuma.
Haiwezekani mlipwe pesa nyingi kwa vyeti na...
Nenda mtaani uliza ni chama gani kikubwa cha upinzani Tanzania utajibiwa ni CHADEMA.
Uliza tena ni ipi sera yao kubwa kwa sasa, huwezi kupata jibu.
Unfortunately hata ukiuliza kwa member na...
Upande wa juu wa mawingu, wingu kubwa limetanda msiyemtaka kaja.
Makonda anajulikana kwa uzalendo wake na kupanga mikakati ya kisasa ya kulitetea Taifa. Makonda ni mwamba kabisa hakuna aisye mjua...
Toka enzi za kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi kumekuwa na utaratibu wa kupokezana vijiti kwa kuangalia pia dini ya mgombea mfano: akitoka mkristo anaingia muislam na kigezo cha pili ndiyo watu...
Wanabodi,
Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Miongoni mwa sifa...
Nipo hapa napata Moja baridi na Moja baridi nchi jirani huku nikofuatilia ITV HABARI kupitia YOUTUBE, huyu mtangazaji wa ITV anayeitwa Asiraji Mvungi, ameripoti Kwamba Tume ya Jaji Chande...
Madeni ya umma barani Afrika yanaendelea kuwa changamoto kubwa kwa nchi nyingi, huku viongozi wa bara wakitafuta suluhu endelevu ya mgogoro huu unaokua kwa kasi.
Mwezi Mei 2024, Umoja wa Afrika...
Wanaohusika na usimamizi wa mnara kampuni ya TTCL katika kata ya Misughaa wawajibike.mwezi mzima mnara hausomi😪😪.
unatumia nishati ya solar wakati huu wa Mawingu ndo haufanyi kazi kabisa ...
https://youtu.be/tDVpmZ0SUe0?si=vTrRwFzHt2jxBNwL
Hatimaye mshiriki wa usaliti kwa CHADEMA kwa mlango wa nyuma kujihusisha na kinachoitwa maridhiano ajulikana.
Ni Odero, mgombea uenyekiti wa...
Ijumaa Kareem!
1. Mara nyingi watu waovu hutumia maandiko kupotosha Jambo Fulani au kuhalalisha uovu Fulani.
2. Sio Kila mamlaka inatoka kwa Mungu.
3. Zipo Mamlaka za kihalifu ambazo chimbuko...
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameamua kuweka wazi mambo ya siri ya Kangi Lugola baada ya kutumbuliwa.
IGP Sirro alikuwa akiripoti kila siku juu ya tabia yake ya kuwatukana Polisi...
Kizazi chetu kina GMO nyingi sana-Genetically Modified Organism au kiswahili tungeweza kusema labda ni viumbe ambavyo vimebadilishwa vile vinasaba na kwa sababu hiyo wanaishi nje ya vinasaba vyao...
Hakuna watu ninawaonea huruma kama wateule wa rais hasa mawaziri.
Anayeteua amechanganyikiwa sawa na wale anaowateua.
Simbachawene aliongea anayopaswa akaishia kutemwa.
Kwa utawala huu, hata...
More on the way......
Siandiki sana good news zinakuja.....
In a few days....Siku chache tu au masaa machache...
Anzeni countdown....
Siandiki sana nitaharibu....
Siri ni namba