Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mfumo wa chama kimoja unaendekeza tabia ya kuoneana aibu na huruma. Yanayoendelea pale Unguja utadhani awamu iliyopita iliongozwa na upinzani kumbe walikuwepo CCM peke yao barazani na Serikalini...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
Ni mmoja wa Tanzania ambao siasa za Tanzania wanazijua A to Z. Aliwahi kutoa siku saba kwa majambazi kusalimisha bunduki na majambazi wakasalimisha silaha, silaha zikachomwa kama kuni. Alipoibua...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
CAG na TAKUKURU Watanzania wanapenda sana kushindanisha. Vijiwe vingi utakuja mijadala nani zaidi kati ya DC na DED, Waziri na RC, CAG na DG-PCCB, nk. Wanaweza hata kushindanisha hata visivyo na...
49 Reactions
132 Replies
14K Views
Tunaingia miaka mingine mitano ya awamu ya tano na tumeanzia pale tulipoishia. Tumbua tumbua inaendelea......kwanini wateule niwagumu kumwelewa anayewateua? Kama ubadhirifu huu unaotajwa kila...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Aliuliza kuhusu Bodi ya Korosho inadaiwa kufanya korosho ufisadi wa bilioni 30 ila serikali haijatoa tamko, serikali inasemaje kuhusu ubadhirifu huo hasa kwa mikoa ya Mtwara na Lindi Waziri mkuu...
2 Reactions
39 Replies
6K Views
Leo asubuhi nimetoka home Bukoli na kwenda zangu Katoro ili kuwaona washikaji,kama ilivyoada ikanilazimu nizame vijiwe vya kahawa ili kupata story mbili tatu za wadau. Story kubwa ni kijana ambae...
5 Reactions
75 Replies
8K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi, amesema hatua anazochukua hazilengi kumtafuta wala kuonea mtu, bali zinalenga kuleta nidhamu katika matumizi ya fedha za...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Sasa ni dhahiri Tundu Lissu ni Mcha Mungu. ========== TUNDU LISSU: Ndugu wananchi wa Tanzania, tumsifu Yesu Kristo, Bwana asifiwe, mwanakondoo ameshinda, Assalam Aleykum Warahmatullah...
34 Reactions
142 Replies
15K Views
Katika zawadi nzuri aliyotupatia Rais na Serikali ya muhula huu wa awamu ya Tano ni kuanzisha wizara inayosimamia TEHAMA. Uchumi wa dunia na wa nchi yetu unabebwa na TEHAMA kutokana na sababu...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Kila mkuu wa mkoa nchini ameagizwa kujenga viwanda vipya 100 katika kipindi cha mwaka mmoja kinachoanzia Desemba 2017. Akizungumza na wakuu wa mikoa wapya walioapishwa juzi Ikulu jijini Dar es...
7 Reactions
361 Replies
36K Views
Kwa jinsi Husein Mwinyi anavyoshindwa kuvumilia juu ya vitendo vilivyofanywa na watawala, sikusudii watawala wa kiarabu, nawakusudia hawa tuliopigania uhuru pamoja na kuahidi kuleta maendeleo...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo amesema sera ya ujenzi wa viwanda inatekelezwa kwa vitendo na mpaka sasa kuna jumla ya viwanda 1,280...
6 Reactions
75 Replies
6K Views
Kiongozi mwandamizi hana gari binafsi yakutembelea amekalia kutumia gari ya umma kufanya shughuli za Kiserikali na shughuli za familia bila kujali masaa ya kazi kwa madreva na wasaidizi wengine...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na...
19 Reactions
138 Replies
11K Views
Salaam Wakuu, Kwenye Mitandao ya Kijamii (hasa Twitter), kuna habari (picha) zinasambaa kwamba ni Miili ya watu iliyotupwa Baharini huko Pemba Wakati wa Uchaguzi Mkuu Tanzania 2020. Picha...
12 Reactions
42 Replies
9K Views
Hi! Straight kwenye mada. Mkuu wa Polisi nchini na Mkuu wa Majeshi wanapiga salute kwa Mbunge na Mkuu wa Wilaya ? Yaani IGP Simon Sirro na Mkuu wa Majeshi Venance Mabeyo wanampigia salute DC...
2 Reactions
72 Replies
16K Views
Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi. Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya...
10 Reactions
81 Replies
6K Views
Duru toka Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa zinatabanaisha kuwa Mkoa wa Morogoro huenda ukagawanywa na kuwa mikoa miwili kwa maana ya Mkoa wa Morogoro na Mkoa wa Kilombero...
31 Reactions
127 Replies
25K Views
Mheshimiwa Rais heri ya sikuu za mwisho wa mwaka. Leo nina ombi moja kubwa kwako kama kijana ninayependa kutunza utu wako na image yako takatifu mbele ya jamii maana kuna tumaneno tumeanza...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Siku hizi baadhi ya wakuu wa mkoa na Wilaya nyuma yao kuna vijana au kijana mwenye miwani meusi ambaye kwa tafsiri ya mkao wake nahisi ni mlinzi. Si wakuu wote wa Wilaya Wala mkoa wenye watu nyuma...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…