Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa ufupi ni kwamba WHO inaitaka Tanzania kushirikiana na mataifa mengine kupambana na Covid 19 kwa kutumia kanuni za Kisayansi. Wanaeleza mchango wa Tanzania katika kupigania umoja siku za huko...
9 Reactions
49 Replies
4K Views
Amekiuka msimamo wa nchi anaweza kutuletea corona ya ajabu-ajabu. Kazi ipo mwaka huu.
31 Reactions
138 Replies
17K Views
Maisha na kazi za kujuana, ipo siku mtajutia nafasi hizo mnazo peana kwa kile kinacho itwa connection. Acheni MUNGU abaki kuwa MUNGU ipo siku atatukumbuka na sisi tusio na chochote na Wala hakuna...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Mode naomba ukurasa huu ubaki hapa kwenye jukwaa la saisa. Maana ajira ni tatizo kwa vijana na serikali kwa ujumla. Tujadiliane kwa details pia namna gani incubator ya SIDO Dar inaweza kuwa...
5 Reactions
30 Replies
6K Views
Tumeaminishwa na kuimbiwa nyimbo na mapambio miaka yote kuwa gesi ya Mtwara ndiyo suluhisho. Nakumbuka kuna watu walipoteza maisha na jeshi letu liliweka kambi kule. Kwa anayejua ni kitu gani...
14 Reactions
140 Replies
19K Views
Teodoro Nguema Obiang Mangue ni makamu wa pili wa rais wa Guinea ya Ikweta - na wakati huo huo ni mtoto wa rais. Baba yake, Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, ametawala nchi hiyo tangu mwaka 1979...
2 Reactions
48 Replies
7K Views
Tuna kundi kubwa sana kwenye jamii yetu ya watu kupenda kubishana bila kuwa na data zozote wala ushahidi. Kubishana ni hobby ya watu wengi hivyo tusishangae wakati mwingine hata kwa viongozi kuna...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Nipo kwenye Group moja linaitwa Group la Afya likiwa limeanzishwa na Bwana Mmoja anaitwa Mwanyika. Kwa maelezo yake ni Daktari. Anaweza kuwa na nia nzuri ya kusaidia watu kwa ushauri na wakati...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Watanzania hatujawa na desturi ya kuwa na sauti moja katika kudai haki zetu, kila mtu hudai kivyake, wasanii hudai haki zao kivyao, madaktari hudai haki zao kivyao nk. huku kada zingine zikisema...
8 Reactions
81 Replies
6K Views
Ili taifa liwe na mwelekeo thabiti lazima kile kilicho ndani ya katiba kiheshimiwe. Ndio maana misingi ya utawala na hata utungaji wa sheria za nchi zetu lazima zirandane na katiba ya JMT. Kile...
11 Reactions
99 Replies
6K Views
Ukweli ni mchungu, Ndugu zangu wa Mbeya hasa wanyakyusa nyinyi ni wachafu Sana kuanzia mazingira na majumbani Waliofika Mbeya au Rungwe ni mashahidi wa haya yafuatayo: Tukuyu uchawi umetamalaki...
12 Reactions
150 Replies
17K Views
Raisi Magufuli aliagiza Halimashari za vijijini kuhama kutoka makao makuu ya Wilayana kwenda nje ya miji. Na leo nimeona Majaliwa akisisitiza hilo. Kwa mtazamo wangu naona jambo hili...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mabibi na mabwana habari za kusikitisha kutokea pande za Igusule, Nzega mkoani Tabora, ni kuwa Diwani wa pande za huko tokea chama pendwa CCM ametutoka ghafla. Marehemu alipata matatizo ya...
6 Reactions
62 Replies
8K Views
Taasisi za Sekta ya Afya na Vyuo vya afya nchini vimetakiwa kushirikiana kwa pamoja ili kuboresha tiba asili ambayo imekuwa na mchango mkubwa katika kupambana na magonja ya kuambukiza na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TAKUKURU MKOANI SONGWE YAMFIKISHA MAHAKAMANI MKURUGENZI,NA ALIEKUWA FUNDI MSANIFU WILAYA MBOZI KWA MAKOSA YA KUISABABISHIA SERIKALI HASARA ZAIDI YA MILIONI 24 NA KUMDANGANYA MUAJIRI WAO Takukuru...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Askofu Mwamakula atazindua kampeni kubwa ya "Matembezi ya Hiyari" katika Jiji la Dar es Salaam katika Mwezi Februari 2021 katika siku na tarehe itakayotangazwa. Kampeni hiyo inalenga kuuhamsisha...
10 Reactions
37 Replies
3K Views
Katika hili, BOT ni kama wamelala, tena usingizi wa pono, kwani bado ziko taasisi za kifedha zinazokaa na kadi za Benki za wateja wanaoenda kuomba mikopo kama moja la shariti la kupewa mikopo...
3 Reactions
87 Replies
9K Views
Mbunge wa viti maalumu, Felister Njau amepewa siku saba kuthibitisha kauli yake aliyoitoa bungeni kuhusu kukamatwa kwa mabegi matano ya kura wakati wa uchaguzi mkuu 2020. Felister ametakiwa...
26 Reactions
83 Replies
11K Views
Mabibi na mabwana heshima kwenu. Siku baada siku tumekuwa watu wa kupokea taarifa za tanzia za watu wazito wazito. Jana huyu, yule nk na leo hivyo hivyo. Si kuwa wale kina wenzangu na miye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini za Mchana ndugu zangu. Kama haitowakwaza tuungane pamoja kuchambua " siasa ya vyama na maendeleo ya vijana .'' Ungana nami; Joel J Kituu. DHANA YA CHAMA. Awali tuanze kuchambua nini...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…