Kwa ujumla sitaki kujikita zaidi kuelezea juu ya namna gani utendaji kazi mzuri wa serikali ya awamu ya tano umeweza kuleta mabadiliko katika ukusanyaji mapato, kudhibiti mianya ya rushwa na...
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema mabadiliko katika #Sheria ya Madini hayakuwa na nia ya kuwaonea Wawekezaji, bali yalilenga kuweka mazingira yenye kutoa taswira yenye uwiano katika mgao...
JUMAMOSI, MACHI 02, 2013 07:00 NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
*Aagiza polisi iwachukulie hatua stahiki wahusika
*Awataka wakuu wa mikoa, wilaya kusimama kidete
RAIS Jakaya Kikwete...
Aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Ndugu Charles Tizeba ametajwa kuitia serikali hasara ya zaidi ya Shilingi Bilioni 5 kutokana na uamuzi wake wa kusitisha zoezi la utoaji leseni za...
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Afya Ulimwenguni, Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema WHO haijapokea taarifa yoyote kutoka Tanzania juu ya hatua zinazochukuliwa na serikali kuhusiana na janga la...
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la leo, msafara wa waziri wa mambo ya ndani mh. Nahodha umepigwa mawe na vijana wa huko tunduma. Kisa ni kwamba vijana hawakufuruhishwa na kitendo cha kumuona...
Hatimaye Kikwete Afanya Kweli
Aagiza Nyumba za Serikali Zilizouzwa Zirejeshwe
Na Mwandishi Wetu
Rais Jakaya Kikwete ameanza mchakato wa kuhakikisha nyumba za serikali zilizouzwa kwa...
Mhadhiri wa Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. James Jess amefariki dunia ghafla akiwa nyumbani kwake Tabata Jijini Dar es Salaam mchana wa leo.
Aidha, Dkt. James Jess alikuwa...
RC RUVUMA APANDWA NA JAZBA, AMKUNJA MTUHUMIWA: Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme aliposhindwa kuzuia jazba yake na kumkunja mtuhumiwa wa wizi wa mafuta ya dieseli lita 700 anazodaiwa...
Rais Magufuli amesema kuwa Rais ni kazi ngumu sana kwa sababu wewe unaweza kupanga mipango hii kumbe wenzako nao wana mipango mingine.
Rais Magufuli amewataka viongozi wa CCM wamsaidie kufuatilia...
Mkristo unamwambia Askofu Mwamakula kuwa asichanganye dini na siasa?! Hujui kuwa kesi ya Yesu ilikuwa ni ya kisiasa? Hujui kuwa kesi ya Mtume Paulo ilikuwa ni ya kisiasa? Hivi haujui kabisa kuwa...
"Siku hizi kila kosa mtu anakamtwa tu bila hata ya kibali na hakuna mtu anayepinga na ukipeleka hoja hiyo mahakamani kuwa ulikamatwa bila sheria haitazingatiwa," Dkt James Jesse, Mhadhiri Chuo...
Kwa mujibu wa mchakato wa utafiti wa kisayansi, bila kuchukua vipimo kwa ajili ya kuthibitisha usahihi wa rai (hypotehsis) kwamba Tanzania kuna UVIKO ni vigumu kukanusha usahihi wake.
Taifa...
President Cyril Ramaphosa has appointed members of the Presidential Economic Advisory Council with effect from 1 October 2019.
The Council was announced by President Ramaphosa in the State of the...
Kama zama hizi ambazo dunia haina tena ukoloni, ubaguzi kama ule wa Afrika ya Kusini na ukandamizaji mwingine.
Je, hawa Mabeberu anaopambana nao Magufuli ni akina nani?
Tunaomba Mataga mtutajie...
Nchi yetu sasa inaanza kupitia kipindi kigumu sana kama ilivyotabiriwa na wale tulioitwa waleta taharuki. Hakika ni kipindi cha buriani. Kwa tuliofuatilia kwa kina tabia za gonjwa la korona...
Aliyekuwa Waziri wa Kilimo kabla ya uteuzi wake kutenguliwa na Rais Magufuli, Dkt. Charles Tizeba ametoa ushauri kwa viongozi kukubali kukosolewa ili kuweza kufanya mambo kwa usahihi na...
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema kuna changamoto kubwa ya biashara nyingi kufungwa na hili ni kutokana na Serikali kutotumia Wanataaluma katika kukusanya kodi.
Mafanikio...
Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!
Covid...