Ukiondoa mzee wa kujikomba kutafuta uteuzi, ni kama machawa wa humu jf wametokomea au kufilia mbali. Machawa mabingwa wa kujikomba, kupongeza, na kushambulia watu mko wapi?
Mkutano wa Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki (EALS),uliokuwa umepangwa kufanyika Zanzibar ,Tanzania kama sehemu ya tamasha la kuadhimisha miaka 30 ya EALS umehamishwa kutoka zanzibar hadi...
Deusdedith Soka amepotea kimzaha mzaha. Miaka ya nyuma alitoweka Ben Saanane kama utani mpaka leo hatujawahi kumuona tena.
Je ndio washamalizana na Soka?
Pia soma
Soka yupo wapi? Tuambieni kama...
Leo tunakwenda almost mwezi wa saba, kijana Deusdedith Soka ma wenzie wamepotezwa. Umma ulipiga kelele mwanzoni, leo umekaa kimya.
Chama chake nacho kimejikalia kimya, hakihangaiki tena na kijana...
Abdalah Kassim Hanga alikubalika sana kwenye siasa za Zanzibar.
Alikuwa na akili nyingi na alikiwa msomi kuliko Abeid Karume.
Hivyo watu wa Zanzibar walimkubali sana. Na alionekana anafaa kuwa...
Hulka za viburi na ujeuri za viongozi wakuu wa chadema, mathalan Lisu na heche, vinalandana na kushabihiana kabisaa na ukaidi usio na faida wa viongozi kama vile Zelensky na Hayatollah Khemenei...
Wewe endelea kuvishwa Fulana na kofia za SSH, huku ukipewa Fanta take away na ubwabwa uliochacha
Jamani hata kama Wanaccm ni Wajinga ndio iwe hivi kweli? Kwamba hakuna Wanaccm wengine na ni...
Wakatoliki na VIJORA wapi na wapi?! Yaani hakuna hata shati moja la UWAKA wala kitenge cha WAWATA?!
Sasa ngoja WAKATOLIKI wenyewe watoke wakiongozwa na MAPADRI na MAASKOFU kama walivyoandamana...
πͺππππ₯π π ππ¨π¨ ππ’π‘ππ’ππ π ππ¨π§ππ‘π’ ππππ πͺπ π ππͺππππ₯π.
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameongoza mkutano kazi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu na Viongozi Waandamizi wa Serikali uliofanyika, Januari 12...
Mwanamitandao Maarufu Clemence Mwandambo (Baba Yenu Mwandambo) amesema kwa sasa yeye ni kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) lakini ndani yake ana roho ya upinzani
Ameeleza kuwa yeye ni mzalendo...
Anandika John Heche kuwa;
"Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwasasa kimegeuka kuwa kama shule ya msingi.
Wakati UDASA wana kongamano lao leo, Dupsa walinialika pia kwa kongamano.
Ajabu ni kwamba...
Vyombo vya dola , naomba jifunze kutoka Iran, Mwanzo maandamano yalikuwa ya amani , wakaachwa wiki nzima yakiwa salama,
Nilianza kulalamika kuwa Iran wanaanza kuwa wazembe , Baadae maandamano...
Haya ni maoni ya Askofu Benson Bagonza wa KKKT Dayosisi ya Karagwe kuhusu Matukio kadhaa ya uvunjifu wa Haki za Binadamu wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Adai Uhuru wa Demokrasia...
Kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi visiwani Zanzibar, Balozi Ali Karume amesema amesema chaguzi zinazofanyika visiwani humo haziendani na misingi ya chaguzi zinazotegemewa kufanyika na kuonya...
Pengine tumekuwa tukishindwa kuelewa historia kamili ya mapinduzi ya zanzibar ya January,12 1963.
Wengi tulidhani mapinduzi yaliongozwa na Hayati Abeid Amani Karume.
Namsikia mjane wa Marehemu...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia anataka kuwafanya na kuwawezesha watanzania wote Waishi Maisha mazuri na ya heshima na staha Utafikiri wapo Washington au New York City Marekani ,au Amsterdam...
GT
Huyo dada na genge lake naona bado hawajatosheka na uhuni wao. Cha kusikitisha media kama ITV inashadadia upumbavu kama huu.
Kwa nini nasema hajapigwa.
1. Kwa kawaida kama sehemu ya jicho...
Kweli Rais Samia hana washauri..
Katambi hana uwezo wa kuongoza wizara kama hii ambayo Igp na watumishi wa wizara hii wanatakiwa kulipoti kwake.
Mbaya zaidi mpaka sasa nchi hii haijatulia...
That is called natural law. Ni uwezo wa binadamu kufahamu kuwa kipi ni sahihi na kipi kibaya.
Mpaka sasa Watanzania wameshatambua kuwa rais Samia hawafai. Maana hakuna anachowasaida zaidi ya...