Tunaendelea na visa na viroja vya Rais mstaafu JPM.
Baada ya kisa cha kumtimua Balozi Ombeni Sefue usiku na kisa cha kumpa masharti Yahya Msigwa aliyekuwa Rais wa TUCTA kuwa atulie asimsumbue...
Wakuu
Naona hawa watangazaji wa Kenya wanaendelea kupeleka moto
Mtangazaji wa Radio 47, Mbaruk Mwalimu, amezua mjadala mzito baada ya kutoa kauli za kejeli dhidi ya Watanzania, akidai kuwa nchi...
Ombi kwa Chadema ingefaa na ingeleta maana kitaifa kuwajali wale bodaboda .
Kama itakuwa vema zile pesa mlizokusanya kule shinyanga muwagawie kama kifuta jasho hata kama ni 500 muwape itawajenga...
Nilitegemea waandishi wa habari leo kuamkia kwenye offce za msajiri wa vyama vya siasa kufanya nae mahojiano kuhusu kauli ya Marry Chatanda kuifuta chadema na huyu mama kakiuka katiba ya 1977...
Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, ametoa kauli kali kuhusu mfumo wa utawala na mgawanyo wa madaraka, akisema kuna hatari ya mamlaka muhimu za dola kujikita...
Kama kweli tunataka kutokomeza Utekaji na mauaji Kwenye Nchi hii ni vema tukaanika kila kitu bila kufichaficha.
Mafwele ametangulizwa mbele lakini kikosi chake kina wakina nani wengine?
Je RPC...
Tume iliyoundwa leo nina mashaka kama itakidhi haja. Haitaweza kumuhoji Samia Suluhu wa Makunduchi.
Mzee Mwanakijiji kasema;
1. Haiwezi kumhoji Rais kutokana na kuhusika kwake
2. Haina...
Polisi na Msajili wa vyama vya siasa wanapata kazi ngumu kudhibiti CHADEMA. Watamuambia nini Mzanzibari anayewatuma kudhibiti CHADEMA?
Nawaelewa maumivu wanayopitia.
Moja haikai mbili haikai...
Watanganyika tunaonewa sana. Kwanza kabisa taifa letu lilimezwa na sasa halijulikani lilipo. Tanganyika imemezwa. Tunadanganywa eti kuna Tanzania bara na Zanzibar.
Alafu tunaumizwa sana. Maana...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini bila kujua ni kama "imequalify" Ripoti ya Ex Jaji Mkuu Mstaafu,Mzee Chande.
RIPOTI ilisema kuwa "Mapinduzi" ya Oct 29 yalipangwa na na kufadhiliwa na...
Yazindua Wito wa 5 wa Ufadhili wa Kichocheo
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo (UNDP), kupitia Mpango wa Ubunifu wa FUNGUO, imehitimisha kwa mafanikio Hafla ya Tuzo za...
Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu akihojiwa na Wasafi FM leo Mei 20, 2026, amezungumzia mamlaka ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu utoaji wa faini kwa vyama...
NI kawaida lazima mwenye mkoa wake wa DSM aje atuambie hadharani au safari anaona aibu maana siyo kwa aibu hii .
Atakuja tu msubiri anajiandaa kupangilia uwongo wa kutukuka
Mnamjua au niwatajie...
Mbunge wa Geita, Joseph Musukuma kuhusu ubovu wa barabara na kilio cha wananchi:
"Jana kuna gari imepasua matairi pale kwenye Mlima Saranda... mtu mmoja akanitumia message ile gari ilivyo na...
Magufuli alimtumbua Makonda ili kujitenge mbali na uchafu wake sidhani kama Samia atakubali kuwa mnyonge kwa Marekani kama mtangulizi wake.
Nategemea Samia badala ya kumtumbua Mafwele atamteua...
Kila siku bei zinapanda. Mafuta yakipanda, nauli inapanda. Nauli ikipanda, chakula kinapanda. Chakula kikipanda, maisha yote yanakuwa magumu. Halafu ukiuliza sababu unaambiwa “kuna vita ya Iran na...
Katika kikao cha Bunge kilichofanyika leo Mei 22, 2026, Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ametoa mchango wake kwenye Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa mwaka wa fedha...
"MV Bukoba was a passenger steamer that sank in Lake Victoria, 30 kilometers from Mwanza, Tanzania on May 21, 1996, killing nearly 1000 people. The boat transported passengers and cargo between...