Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

KWA MANTIKI YA KISHERIA DC KIHONGOSI AMEKOSEA, LAKINI KWA MANTIKI YA WAJIBIKAJI YUKO SAHIHI Na Elius Ndabila 0768239284 Jana na leo kuna mjadala mkubwa juu ya uhalali wa Mh DC wa Arusha Mh...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Hamad Chande amesema ili kupunguza athari za mafuriko kwa sasa, kipande cha Mto Msimbazi cha Jangwani kinafanyiwa usafi wa mara kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katibu Mkuu atakuwa na kazi ya; 1. Kuandaa uchaguzi wa ndani unaotarajika kufanyika 2022:kuchagua viongozi katika ngazi zote;matawi,kata,wilaya,mkoa na Taifa. 2. Pia atakuwa na jukumu la...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mbunge Godwin Kunambi amesema jambo la utoaji wa Haki ni gumu na linahitaji umakini mkubwa kwenye maamuzi Ameeleza hayo Bungeni ambapo amegusia Sheria za utakatishaji Fedha na Uhujumu Uchumi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nikushukuru sana Rais kwa kuniamini na kuniteua kuwa Waziri, wakati nakuja Watu waliniuliza utavaa nguo zako za mitumba au utavaa kitu kipya, lakini leo nimetia suti mpya, maana hata hiyo mitumba...
8 Reactions
189 Replies
18K Views
Habari zenu ndugu zangu. Ningependa kujua kama kuna wanufaika wowote wa mikopo kutoka bank ya wakulima ya TADB hasa kwa wakulima binafsi. Naandika hivi baada ya kukutana na Wadau mbalimbali...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kawaida JF ndo kisima changu pekee cha kuchota maarifa elimu na Mambo mengine mengi mno ya msingi, hivyo mniwie radhi kwa swali langu lingine hili.leo nataka kujua sheria za Vita zikoje maana...
0 Reactions
4 Replies
904 Views
Jambo la msingi nililoliona kwenye hotuba ya Freeman Mbowe jana ni ukweli kwamba tunaongozwa na wabunge ambao hatukuwachagua. Kwa mfano Babu Tale Kigwangalla, January nk nk walipigiwa kura na...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Waziri wa Katiba na Sheria nchini Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kiasi cha Sh35.07 bilioni kimepatikana baada ya washtakiwa mbalimbali kukiri makosa. Dodoma. Waziri wa Katiba na...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Nadhani tunahitaji kuwapa nafasi wamama wetu kwenye Wanawake wako smart sana,pia wanashaurika na kusikiliza.upigaji wao siyo wa kutisha sana kama wa wanaume.Namshauri Mh.Raisi ikimpendeza...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Kijana Justine Emmanuel ambaye ni mkazi wa Wilaya ya Ngara mkoani Kagera amefikishwa mahakama ya Wilaya ya Misungwi kwa tuhuma za kutoa lugha chafu dhidi ya Rais Magufuli. Inadaiwa siku ya Juni...
4 Reactions
185 Replies
19K Views
Ndugu yangu Ali, As-salamu alaykum. Nakuandikia barua hii ya wazi kwa upendo wangu wa kikamaradi kwako. Nafsi yangu imenisukuma kufanya hivyi kwa muda mrefu lakini msukumo zaidi uliniingia jana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NIPO DODOMA NAPUMZIKA, NIMESTAAFU SINA PRESHA- BULEMBO "Nimejifunza vitu vingi tangu nimeteuliwa na Rais, dhamira yangu hasa ninapoelekea kwenye kustaafu nasema wenzetu wanaoendelea kutafuta...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Ilianza tetemeko Kagera, alikwepa wajibu wake kama Comforter in Chief kwa kuwasimanga wananchi kuwa yeye hakuchaguliwa ili alete Matetemeko. Kukaja tishio la njaa wakati flan - akawatolea...
94 Reactions
203 Replies
23K Views
Kwa sababu Tanganyika iliondolewa kwenye uso wa ramani ya dunia basi kile kinachoitwa " mambo yasiyo ya Muungano" kipo Zanzibar pekee na vinavyobaki vyote ni vya muungano. Ndio maana Prof Mbarawa...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
SIKU 40 BILA MWAMBA: ULITUHESHIMISHA SISI WANYONGE NA MASIKINI,PUMZIKA KWA AMANI JPM. Katika awamu ya nne ya Rais Mstaafu Kikwete kurudi nyuma hadi Azimio la Zanzibar, Matajiri na Wafanyabiashara...
9 Reactions
66 Replies
6K Views
Tunahangaika sana mara kero mara mauaji mara kulazimishana mtafaruku mkubwa sana ,nahisi ni bora sasa iamuliwe tu na Wabunge tunao wengi sana wakutosha na ziada,tuondoe lile utata Jamhuri ya...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
RAIS KAWAPA KITENDAWILI MOROGORO WAKITEGUE. Leo 00:58hrs 14/02/2021 Je, wakazi wa Morogoro ni wavivu kushindwa kuzika wapendwa wao hadi wapate msaada kwa Abood!?basi lenyewe analolitoa kwenda...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imesema ipo tayari kubadili sera na sheria ya vyombo vya habari kulingana na maoni ya wadau wa tasnia ya habari nchini. Hayo yameelezwa na katibu...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…