Watu 243 wakiri makosa, walipa fidia ya Sh35 bilioni

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Waziri wa Katiba na Sheria nchini Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kiasi cha Sh35.07 bilioni kimepatikana baada ya washtakiwa mbalimbali kukiri makosa.

Dodoma. Waziri wa Katiba na Sheria nchini Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kiasi cha Sh35.07 bilioni kimepatikana baada ya washtakiwa mbalimbali kukiri makosa.

Profesa Kabudi ameyasema hayo bungeni mjini Dodoma leo Jumatano Aprili 28, 2021 wakati akiwasilisha bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2021/2022.

Amesema wizara kupitia ofisi ya Taifa ya mashtaka imeendelea kutekeleza zoezi la makubaliano ya kumaliza kesi za jinai chini ya utaratibu wa washtakiwa kukiri makosa yao kwa mujibu wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali namba 11 ya mwaka 2019.

Amesema katika kipindi cha Julai 2020 hadi Machi 2021, kesi 192 zilihitimishwa kwa njia hiyo.

Amesema jumla ya washtakiwa 243 walikiri makosa na kulipa serikalini kiasi Sh35,07 bilioni kama fidia pamoja na faini kutokana na makosa ya uhujumu uchumi.

“Zoezi hili ni endelevu na fedha hizi zimewekwa katika akaunti maalum iliyoko Benki Kuu ya Tanzania,” amesema.
 
CAG kasema hakuna sheria ya matumizi sijui kuidhinisha hizo pesa, haijatungwa sheria ya kukiri na kukusanya.
Sasa mlamaganda aliyebugi, akiwa prof wa sheria atufafanulie hilo, siyo kutuambia ni endelevu kwa sheria zipi?? Tamko la mwendazake??
Na hilo limeleta mianya ya kubabimbikiana kesi na rushwa za maajabu. Ref Prof wa Usa River na meno ya tembo ya plastic.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Waziri wa Katiba na Sheria nchini Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kiasi cha Sh35.07 bilioni kimepatikana baada ya washtakiwa mbalimbali kukiri makosa.

Dodoma. Waziri wa Katiba na Sheria nchini Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kiasi cha Sh35.07 bilioni kimepatikana baada ya washtakiwa mbalimbali kukiri makosa.

Profesa Kabudi ameyasema hayo bungeni mjini Dodoma leo Jumatano Aprili 28, 2021 wakati akiwasilisha bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2021/2022.

Amesema wizara kupitia ofisi ya Taifa ya mashtaka imeendelea kutekeleza zoezi la makubaliano ya kumaliza kesi za jinai chini ya utaratibu wa washtakiwa kukiri makosa yao kwa mujibu wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali namba 11 ya mwaka 2019.

Amesema katika kipindi cha Julai 2020 hadi Machi 2021, kesi 192 zilihitimishwa kwa njia hiyo.

Amesema jumla ya washtakiwa 243 walikiri makosa na kulipa serikalini kiasi Sh35,07 bilioni kama fidia pamoja na faini kutokana na makosa ya uhujumu uchumi.

“Zoezi hili ni endelevu na fedha hizi zimewekwa katika akaunti maalum iliyoko Benki Kuu ya Tanzania,” amesema.
Hasara yake tumeiona sisi huku chato
 
Funny enough wamelipa cash, na hela ikawekwa bank sasa kwa nini wasingefanya inter/intra bank transfers????

Hapa something is fishy. Na hizo hela kwa nini zisipelekwe Hazina mnaziweka kwenye special account kwa nini?

Je zimepata Baraka ya CAG au ndio mmeamua kuzifinya wenyewe??? Haya ndio mahela Kayafa alikuwa anajichotea tu. Haiwezekani kunakuwa na hela Zina akaunti tofauti na Ile ya Mahakama why???

Cha kushangaza kwa nini wapokee cash? Maana watu walikuwa wanakiri makosa wanairudisha Hadi bilioni tano, akina Kitilya nadhani ilikuwa bilioni tatu, hiyo ni pesa inajaa kirikuu kwa pesa ya Madafu. Walizipokea cash kwa nini????

Hapa ofisi ya DPP ichunguzwe sana kale ka-dpp kamekaa kinoko kumbe kajizi.
 
Asilimia 90 ya izo kesi ni za kubambikiwa, marehemu dikiteta magufuli motto wa milele ukuunguze huko ahera.
Yule SHETANI alikuwa na roho mbaya sana ndio maana hata maiti yake ilifichwa wiki 3 wakiwa wanaogopa kutangaza.
 
Ingependeza sana kama fedha hizo zingefanyiwa Special Audit kujua kiasi kilichokusanywa chote kilikuwa deposited?

Ofisi ya DPP iligeuzwa 'Mradi wa Kimkakati'
Umelinenea vizuri, mradi wa kimkakati!

Everyday is Saturday................................:cool:
 
Asilimia 90 ya izo kesi ni za kubambikiwa, marehemu dikiteta magufuli motto wa milele ukuunguze huko ahera.
Punguza ujuaji ewe mtanganyika!

Hebu weka takwimu zilizothibitishwa za hizo kesi za kubambikiwa?

Majizi mnaoibia nchi mtaendelea kushughulikiwa usiku na mchana bila simile!

Vinginevyo muokoke!
 
Usimpangie Mungu majukumu.ukimkuta anaongoza malaika utaweka wapi uso wako.
Eeeenh Heee,

Hapo nitaamini kweli Mungu ni mwema wa rehema, asiye na kikomo cha kusamehe!

Lakini nitamshangaa sana Mungu nikimkuta yule jamaa aliyelazimika kumla kuku wa jirani kwa kuwa hakuwa na kitiu cha kumpa uhai, akihangaika na akina Rusufeli!

Lakini pamoja na kumshangaa kwangu, najua uamzi ni wake. Hapangiwi.
 
Punguza ujuaji ewe mtanganyika!

Hebu weka takwimu zilizothibitishwa za hizo kesi za kubambikiwa?

Majizi mnaoibia nchi mtaendelea kushughulikiwa usiku na mchana bila simile!

Vinginevyo muokoke!
Asa kama mdude kafungwa kwa kesi ya uhujumu, mpaka unashindwa sijui ucheke au ulie, yule mwanahabari mlangira alihujumu nini mpaka mkaua mama yake kwa msongo wa mawazo? Wanyampara wa ahera lundikeni kuni za kutosha kwenye maiti ya marehemu dikiteta magufuli mpaka maji ayaite mayii.
 
Funny enough wamelipa cash, na hela ikawekwa bank sasa kwa nini wasingefanya inter/intra bank transfers????

Hapa something is fishy. Na hizo hela kwa nini zisipelekwe Hazina mnaziweka kwenye special account kwa nini?

Je zimepata Baraka ya CAG au ndio mmeamua kuzifinya wenyewe??? Haya ndio mahela Kayafa alikuwa anajichotea tu. Haiwezekani kunakuwa na hela Zina akaunti tofauti na Ile ya Mahakama why???

Cha kushangaza kwa nini wapokee cash? Maana watu walikuwa wanakiri makosa wanairudisha Hadi bilioni tano, akina Kitilya nadhani ilikuwa bilioni tatu, hiyo ni pesa inajaa kirikuu kwa pesa ya Madafu. Walizipokea cash kwa nini????

Hapa ofisi ya DPP ichunguzwe sana kale ka-dpp kamekaa kinoko kumbe kajizi.

Wait what is this? Umesoma kabla ujapost? Kwa io we tatizo ni cash tu? Unaweza kutupa japo ushahidi kidogo kuhusu izo cash?Ulikua utaki walipe fidia kisha waachiwe ili magereza kusiendelee kujaa? Chadema are so stupid!
 
Back
Top Bottom