Mama Dr Samia suluhu Hassano, nina tumah u mzima wa Afya, na umemaliza Eda ya kifo cha mumeo salama salimini.
Nina uhakika mwenyezi Mungu Baba Wa Mbinguni atakuwa amepokea dua zako ulizokuwa...
Mwanajamvi na mwana JamiiForum ulioko Afrika Mashariki...! Kijana ndio nguzo ya Taifa lolote dunia Je? Kijana wa Afrika Mashariki una nini juu ya taifa lako na pia watu wengine wanapenda kujua...
Kwanza Mimi sinaga marafiki wanaovaa makatambuga
Arusha united state
Huu upuuzi upo kwenye kichwa cha Kila kijana ambae amezaliwa ukanda ambao ilikua yote ni Arusha ya zamani
Sasa vijana huu wehu...
Wanabodi
Hili ni bandiko la swali kuhusu neno "zazwa" na neno " zuzu".
Naomba kuanza na usaidizi wa AI
neno zazwa mazwazwa na neno zuzu, mazuzu
Maneno haya yote mawili yanatumika kuelezea mtu...
Kibanda: Nakujibu swali lako uliyosema tufanye nini. Sisi kama taifa lazima tuseme turejee katika misingi. Na pili tufanye kile ambacho Baba wa Taifa na Mwanzilishi alisema 'tujisahikishe'. Na...
Mwenendo na kauli pamoja na vitendo vya Aliyekuwa RC wa Tabora, ndugu Paulo Chacha, havionyeshi kama mtu huyo anazo akili timamu
Amefanya madudu mengi mno, lakini hill la kumshitaki Msichana kwa...
Uongozi wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear limited unatarajia kuzungumza na Waandishi wa Habari kesho September 22 2026 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam kuanzia saa tano kamili...
Nimefuatilia mjadala wa chief odemba na wale ambao waita waandishi wa habari nzuri,nakili baadhi yao ni nguli kweli kweli, ila wengine ni mamluki wa tabaka tawala.
Balile aliulizwa kuna waandishi...
Nimeoma mahala huko Arusha rais Samia akihutubia kuwa vijana wamepewa sumu ili wamchukie yeye na serikali yake.
Nani huyu anayewapa sumu vijana na kumchukia kiasi cha kusema kuwa sio rais...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amekemea vikali vitendo vya baadhi ya viongozi na wadau wa michezo kutumia vitisho vya kisheria dhidi ya wananchi na wanahabari...
Kufuatia mwana mziki wa Bongo fleva Dudubaya kuibuka na juhudi zake za kupinga ushogq nchini.
Juzi tulishuhudia Basara wakimfungia bwana Dudubaya kufanya shughuli zake Na kupiga faini ya sh...
MABADILIKO MAPYA YA MITAALA YA ELIMU SHULE ZA MSINGI, SEKONDARI NA VYUO 2025
MABORESHO YA MITAALA AMBAYO YANAENDA KUBADILISHA MFUMO WETU WA ELIMU:
1. Mtihani wa darasa la Saba utafutwa ifikapo...
Rev Peter Simon Msigwa
Mara kwa mara tunasikia Chama Cha Mapinduzi kikitangaza kwamba kimeendesha mafunzo ya itikadi na uenezi. Viongozi na vijana wake hupelekwa kwenye semina mbalimbali, wengine...
Napenda nitoe maoni yangu kuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Tundu Lissu. Kwangu namuona kama Kiongozi sahihi, lakini kwa nchi isiyo sahihi.
Nitafafanua kwanini nasema hivyo.
1. Lissu kama Kiongozi...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, akizungumza na wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo Septemba 25, 2026, amewataka wafanyabiashara kuzingatia usafi wa mazingira yao ya kazi huku...