Athari za uongozi dhaifu zilizoletwa na uchama kuanzia wenyeviti wa vitongoji hadi madiwani zinavyokinzana na maendeleo.
Tafiti ndogo niliyoifanya mikoa mbalimbali hasa mkoa wa Kagera nimegundua...
Mbunge wa Kahama Mjini kupitia CCM Jumanne Kishimba, ameiomba Serikali ifungue chuo cha wizi kwa kuwa matukio ya wizi katika sekta za umma na Halmashauri nyingi umeshamiri kwa kiasi kikubwa na...
Baada ya kelele za kuwakumbusha kuwa hatuko tena awamu ya tano, kwa aibu na fedheha kubwa kama kuku aliyenyeshewa mvua Polisi wamekubali mkutano wa ndani wa Chadema ufanyike.
Fedheha nyingine...
Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Alhaj Dr. Ally Hassan Mwinyi maarufu kama Mzee Ruksa anatarajiwa kuzindua kitabu cha Maisha na Nyakati zake mwezi huu Jijini Dar es Salaam.
Katika siku ya...
Salim Ahmed Salim anabakia katika vitabu vya kumbukumbu kama Mzanzibar wa kwanza na wa pekee kuwahi kushika wadhifa wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Alishika wadhifa huo tena kwa...
Wanabodi, hakuna mtaa au Kijiji au mji ambao waalifu hawajulikani. Hawa waalifu tunaishi nao na kushirikia katika shughuli mbalimbali za kijamii.
Lakini pia tunaona namna waalifu walivyo na...
Kuna clip inaonyesha mama akipiga chapuo kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo Kwa PP.
Naomba kuuliza wanajamvi yafuatayo:
1. Kwanini njia pekee ya kujenga bandari ya Bagamoyo iwe ni Kwa ubia pekee...
Watanzania wengi hasa hawa wanasiasa na wasomi wetu ni watu wa ajabu sana.. hivi ni nani aliewaambia ukiwa na phd ama degree basi ni lazima kila unachokifanya kiwe kwenye mstari automaticaly...
Nakumbuka mwaka 2016 bei ya sukari ilikuwa shilingi 1,800 kwa kilo. Bei ya mfuko wa cement ilikuwa 11,000 hadi 12,000. Bei ya mafuta ya kula nayo ilikuwa chini sana lakini baada ya kuwekwa zuio la...
Kwa mara nyingine Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limevamia msiba mwingine na kuwafurusha waombolezaji kwa silaha za moto kwa madai kuwa viongozi wa Chadema wanatumia misiba ya wafuasi wao kufanya...
Binafsi naamini watu wenye kipato nchi hii na wanaoweza kulipa kodi ni wengi tu ila kinacholosekana ni ubunifu wa vyanzo vya mapato pamoja na watumishi wa TRA kutotaka kukimbizana na watu...
Mbunge wa Monduli(CCM), Fredrick Lowassa amechangia jumla ya Sh11 milioni kwenye miradi ya maendeleo jimboni humo.
Miradi hiyo ni pamoja na ya ujenzi wa nyumba ya daktari wilayani Monduli,ikiwa...
Amani itawale.
Tangu kuingia madarakani kwa Rais Magufuli watu wengi wamekuwa wakihoji ni nani hasa anayenufaika na huu utawala..
Malalamiko mengi yamekuwa yakitolewa na watetea mafisadi wa ufipa...
Kama tulivyoshuhudia,ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania Nchini Kenya imefanyika ikiwa ni pamoja na kusainiwa kwa mkataba wa ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Gesi kutoka Tanzania kwenda...
Kama ilivyo kwa treni kichwa kikipoteza uelekeo basi mabehewa yote yanakuwa yamepoteza uelekeo.
Ndivyo ilivyosasa ile hali ya taifa kutengemaa kidogo sasa inakwenda kupotea kabisa. Nidhamu kwa...
Jana kwenye mkutano kati ya Rais na wazee wa Dar es Salaam aliwaomba msamaha kwa kuwalazimisha wavae masks/barakoa.
Swali: Huo msamaha ni wa nini? Maana dunia inapitia janga la Corona hivyo...
Heshima kwenu wakuu,
Nmesikia Wazee wa Dar Es Salaam wanataka kuomba Mwaliko wa kukutana na rais Magufuli pamoja na mengine kubwa likiwa ni kumpongeza.
Hawa wazee bado wana imani za kizamani eti...
Siasa za makaburu hazina nafasi Tanzania, Rais wa nchi yupo kwa ajili ya watanzania wote na anaposema ataongea na wazee wa Dar es Salaam kisha Mkuu wa Mkoa anawatambulisha wazee wa CCM kwa Rais...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili Ukumbi wa Mlimani City kuongea na Wazee wa Dar es Salaam
Tunakuletea updates hapa
Mwenyekiti wa Wazee wa Dar, Salum Matimbwa...
Wanajamvi Salaam,
Tangu mama Samia apokee Kijiti cha kuwa Rais wa JMT.
Binafsi sijawahi kuandika chochote humu ama kumpongeza ama kumkosoa Ila kwa yanayoendelea sasa,Sisi Wazalendo halisia...