Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Redirect
Tundu Lissu: Jeshi la magereza linaongozwa na amri kutoka juu na sio sheria huko juu ni wapi juu mbinguni au ?
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Tundu Lissu: Jeshi halina mamlaka yoyote ya kuzuia watu kukutana na ndugu, marafiki gerezani ni kinyume cha sheria.
0 Reactions
Replies
Views
Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa, amemwelekeza Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya...
0 Reactions
1 Replies
227 Views
“Taasisi yetu ya Kanisa Katoliki ni ya miaka mingi, taasisi ya Katoliki ndio mama wa taasisi zote, ndio mama wa serikali zote. Imekuwapo haijaanguka tangu Yesu zaidi ya miaka elfu mbili na hakuna...
9 Reactions
19 Replies
455 Views
Lissu akiachiliwa hiyo tarehe 9 sasa ndipo uchaguzi utarudiwa kwa nguvu zote za wananchi kwa sasa bado hatujafanya uchaguzi wowote. Je watamtoa chuma tarehe 9 au wataanza visingizio sijui shahidi...
5 Reactions
29 Replies
623 Views
Hapa chini ni makala moja lililounganishwa kikamilifu, likijumuisha uchambuzi wa awali pamoja na masahihisho yako, bila kutumia hyphens, na kwa mtazamo wa uwajibikaji wa kisera na kisheria...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
https://www.jamiiforums.com/threads/nchimbi-awaomba-viongozi-wa-dini-kumwombea-rais-samia-dhidi-ya-watu-wabaya.2418471/ Hiki ni kipande kidogo cha video clip cha hotuba ya VP Dr Emmanuel Nchimbi...
2 Reactions
11 Replies
758 Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Mhashamu Almachius Vincent Rweyongeza, Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga, ametoa onyo kali dhidi ya kile alichokiita "ujinga na maigizo" ya baadhi ya viongozi wanaojaribu kuingiza siasa ndani ya...
6 Reactions
8 Replies
273 Views
Hamjambo wote! 1. Kwenye mambo ya Intelligence(ujasusi, ushushushu, unjangu) kuna kitu inaitwa Missing System/s. 2. Kitu hii ukikosa hata MTU binafsi mambo yako yanakuwa hatarini, usalama wako...
9 Reactions
62 Replies
1K Views
Unauwa watanganyika, unateka Viongozi wa dini, unafungia makanisa, unawafunga wapinzani, unajipendelea kwenye uchaguzi na bado unajiibia kura ili uonekane umeshinda kwa kishindo, mwisho wa siku...
0 Reactions
0 Replies
91 Views
Tanzania to the World!!!!! Tunasonga mbele, Tanzania imepongezwa kwa kutuo Jumla ya Wanajeshi na Polisi 1,500 kwa ajili ya kuilinda amani katika mataifa mbalimbali Duniani.
4 Reactions
10 Replies
342 Views
Ambacho sina hakika ni karma anazitambua shughuli zao KILA la heri Mawinga
3 Reactions
27 Replies
522 Views
  • Redirect
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, leo inatarajiwa kuendelea kuunguruma, ambapo upande wa mashtaka utajibu hoja za kisheria za...
2 Reactions
Replies
Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Februari 9, 2026, anatarajiwa kuwaapisha viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni katika hafla itakayofanyika Ikulu...
0 Reactions
3 Replies
263 Views
  • Redirect
Kesi ya Uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 'CHADEMA' Tundu Antiphas Lissu inatarajiwa kuendelea leo Febriari 9, 2026 Mahakama Kuu, Masjala ndogo...
0 Reactions
Replies
Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania iko tayari kumuunga mkono Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, katika juhudi za kuimarisha amani na usalama katika ukanda wa nchi za Maziwa Makuu, kufuatia...
3 Reactions
20 Replies
618 Views
Watawala wa Tanzania walidhani kwa kuua roho ya ujasiri, uthubutu na ubunifu kwa vijana wa Kitanzania kupitia mifumo mibovu ya kielimu, kisiasa na ya kijamii kwamba athari zake zingebaki tu katika...
6 Reactions
3 Replies
201 Views
Kuna kila hali na kila namna bara la afrika kuanzia afrika magharibi,ukanda wa afrika mashariki,hadi ukingo wa afrika mashariki,tukiitoa ethiopia,afrika ya kati,na ukanda wa nchi zilizo kusini mwa...
4 Reactions
18 Replies
301 Views
Akichangia bungeni Februari 3, 2026, Mbunge wa Kigoma Mjini (CCM), Baba Levo, wakati wa mjadala wa Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/27...
5 Reactions
12 Replies
450 Views
Back
Top Bottom