Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mchungaji Rose Masesa, ambaye ni Dada mkubwa wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia serikali anayoiongoza...
6 Reactions
11 Replies
395 Views
Usimamizi mmbaya wa rasilimali. Ipo wazi vile vitu vinavyotakiwa vituingizie faida katika nchi nakukuza uchumi wetu havisimamiwi vizuri!. Ni aibu soko la tanzanite kutawaliwa na nchi nyengine...
5 Reactions
21 Replies
694 Views
Mikopo ya wafanyakazi sasa inafanyika kupitia mfumo wa kuhifadhi taarifa za watumishi wa serikali ESS. CHA KUSHANGAZA MPAKA SASA HUDUMA ZA KUOMBA MKOPO NI ZILE ZILE LICHA YA KUCHUKUA MUDA MFUPI...
1 Reactions
0 Replies
217 Views
Balozi Waziri Rajab Salum ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda na Biashara. Balozi Salum anachukua nafasi ya Dkt. Hashil Twaib Abdallah ambaye atapangiwa majukumu mengine;
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Ndugu zangu kamwene, Katika ulimwengu wa madaraka, kuna wakati taasisi inabidi ijioshe ili ipate hewa ya kupumua. Nchi inapokwama kiuchumi kwa sababu ya doa la damu mfumo haulazimishi kila mtu...
12 Reactions
9 Replies
712 Views
https://www.youtube.com/watch?v=tx3B0RfO9-U wenzetu https://youtu.be/8p9riRjgazo?si=8faEViuKjxL8ndY2 Kenya wamepata $1.6B kwenye mkutano mmoja wakati biashara ya Tanzania na Urusi ni $400M tu...
2 Reactions
1 Replies
237 Views
Wanabodi, Tanzania tuna changamoto kubwa sana ya kutafsiri sheria, kuna tofauti kubwa kati ya uhalali wa kisheria na haki ni vitu viwili tofauti. Mimi japo ni mwandishi wa habari na mtangazaji...
7 Reactions
108 Replies
3K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amewataka Madiwani nchini kuwa wanyenyekevu kwa wananchi katika kuwatumikia na kuwaletea...
1 Reactions
2 Replies
182 Views
UZALENDO SI NINI? Leo 5/2 ni siku ya kukumbuka kuzaliwa kwa chama tawala cha CCM. Kina rekodi nchini na barani Afrika lakini kubwa, ndicho chama kilichoasisi na kuhubiri UZALENDO katika taifa...
3 Reactions
3 Replies
200 Views
Baada ya kutimiza siku 76 wakiwa mahabusu gerezani, viongozi wa CHADEMA mkoani Kigoma akiwemo Mwenyekiti wa Mkoa, Rajabu Mfaume Bujoro na Mwenyekiti wa Wilaya ya Kasulu, Phanuel Eliabi Kisabo...
10 Reactions
31 Replies
892 Views
Huo ndiyo ukweli ndiyo maana funga funga ya wakina Lissu inaendelea, utekaji usio na tija unaendelea, rushwa inaendelea, undugu kwenye uongozi unaendelea , upendeleaji wa vijana wa Kizanzibari...
7 Reactions
8 Replies
337 Views
Ni kiwango kikubwa sana Cha ujinga maboss kuanza kuwashukiru waajiri wao waliowajiri Cha ajabu hao maboss hawaambulii chochote Cha kwao binafsi ila wanawalipa waajiri wao Kwa wakati Kila mwisho...
1 Reactions
5 Replies
173 Views
Tundu Lissu: kesi ina siku zaidi ya 307 lakini imesikilizwa tu siku 14 kati ya siku hizo zote kuna kitu hakiko sawa.
11 Reactions
56 Replies
927 Views
YAH: MABADILIKO YA MUUNDO WA WIZARA MBILI NA UTEUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya muundo wa Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu, Kwa mujibu wa takwimu za Taasisi ya Transparency International, ambayo huandaa ripoti ya kila mwaka ya kuonesha takwimu na mwenendo wa rushwa duniani (Corruption Perception Index Report)...
3 Reactions
5 Replies
279 Views
Kwa kauli yake mwenyewe ya kumtoa ofisa wake wa karibu kabisa na kuamua kumfanya awe Katibu Mkuu wa Sekta ya Mawinga na Machinga kwa kigezo Kwamba anamuandaa mapema na kumpa Maisha mapema kwa...
8 Reactions
38 Replies
1K Views
Yupo Naibu waziri Mmoja anatembea sana KUKAGUA miradi ya Maendeleo anatokea tamisemi anakauli yake utasikia. Kwa niaba ya Mh Rais, na kwa niaba ya waziri wa tamisemi anamtaja kwa cheo kwanza hapo...
3 Reactions
7 Replies
239 Views
Wakuu, Msemaji wa Serikali na Katibu mkuu wizara ya Habari, Sanaa, Tamaduni na Michezo Gerson Msigwa afafanua ukweli kuhusu taarifa ambazo zinaeleza kuwa uwanja wa Arusha umekosa hela za...
3 Reactions
16 Replies
507 Views
Back
Top Bottom