Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

BALOZI MATINYI AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA SWEDEN, AELEZEA FURSA ZA UWEKEZAJI Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, ameongoza ujumbe wa ubalozi na taasisi...
0 Reactions
6 Replies
264 Views
Niseme yafuatayo 1-Kuna Watu Wema Ndani ya Jeshi la Polisi na JWTZ wanaosimama na Kiapo Cha Katiba ambao kwao Wananchi ndio Kipaumbele chao, watu Hawa Baadhi waliuliwa na genge la Samia, ila...
16 Reactions
53 Replies
2K Views
Mbunge machachari Msukuma ana upeo mkubwa wa kuongea na kuongea. Lakini wakati mwingine kinachomtoka mdomoni ni pumba zisizo ainisha mantiki ya usomi nyuma yake. Huwa anawa nanga sana wasomi...
7 Reactions
25 Replies
544 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Chama Kikuu cha siasa Nchini Tanzania, CHADEMA, kinawatangazia watu wote Duniani kuhudhuria kesi ya uongo ya Uhaini aliyobambikiwa Mwenyekiti wao Tundu Lissu...
12 Reactions
16 Replies
487 Views
Rais haramu ni yule anaye fanya wajibu usio muhusu na hata akifanya vizuri kwa mazingira kama haya hawezi kusifika kabisa ni haramu. Raisi samia asifiki ni haramu kwenye hiyo nafasi ameuwa...
3 Reactions
4 Replies
153 Views
Zamani nilidhania dikteta mpaka awe kama alivyokuwq Nduli Amini. Kumbe hata leo hii madikteta wapo hapa Afrika
1 Reactions
1 Replies
120 Views
Hawa jamaa tunaomba watoe kipaumbele kwenye mashitaka dhidi ya hawa waauji na ambao mpaka sasa wameshindwa kuwajibika wala kuwajibishana.. Hawatakiwa kukalia ofisi za umma hata kwa sekunde moja...
16 Reactions
36 Replies
754 Views
WAZIRI MKUU ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA Lengo ni kuunga mkono jitihada za Rais Dkt. Samia kuhamasisha utalii WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumamosi, Januari 31, 2026 ametembelea...
1 Reactions
5 Replies
259 Views
Rais asiye chaguliwa na wananchi anakuwa kama mtu anaye jipendekeza kwa wananchi na kufanya kazi zisizo muhusu ni kujipendekeza. Tusiwe na tabia za kujipendekeza kwa wananchi suala hili halina...
5 Reactions
7 Replies
263 Views
Licha ya porojo, uongo na uzushi dhidi ya Tanzania kama taifa, serikali sikivu ya CCM imesalia kua madhubuti zaidi katika kuhakikisha kwamba uongo, uzushi na porojo za chuki zinazozalishwa...
3 Reactions
30 Replies
304 Views
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara na wawekezaji wa Sweden kwenye ofisi za ubalozi...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (kushoto), akizungumza na Makamu wa Rais wa kampuni ya Dynamis Investment Partners, Bw. Bo Löfgren, mara baada ya kikao na wafanyabiashara na...
0 Reactions
0 Replies
180 Views
Jaji hajui tofauti ya session na seatings halafu useme tuna Jaji hapa! Isije kuwa nimenukuu vibaya, maana siamini! Jaji ni mtu mkubwa sana kisheria, anajua sana sheria kuzisoma, kuzitafsiri...
2 Reactions
0 Replies
220 Views
Wakuu, Bi mkubwa kashaona Watanganyika tumeishiwa pawa, ni mwendo wa kula tu na ndugu na marafiki na hajari rorote. Business parter wa Mchengerwa naye amepewa asante ya uteuzi. Sijui itakuwa...
5 Reactions
62 Replies
2K Views
Leo mama Samia na Rais wa JMT ametimiza miaka 4 tangu alipoapa kuiongoza Nchi ya 🇹🇿 19-03-2021 akiweka historia kama Rais wa kwanza Mwanamke. Katikati ya mashaka yaliyokuwepo Sasa yamegeuka kuwa...
4 Reactions
594 Replies
12K Views
BANDARI YA DSM NA CHANGAMOTO ZA MAFANIKIO Ni baada ya ukamilishaji wa mradi wa DMGP, uimarishaji wa mifumo na utekelezaji wa maelekezo na matamanio ya Rais Dkt. Samia katika mapinduzi ya Bandari...
11 Reactions
137 Replies
8K Views
She teach us one lesson. A real or legend warrior never quits, no matter what happens. Japo uongozi wake una dosari nyingi lakini misimamo yake. I will take it as a lesson to learning in life
3 Reactions
25 Replies
337 Views
Wapo watu wasijua historia ya Ukristo, mara kadhaa wamepotosha, na wengine hata kuthibutu Kueleza Kuwa Yesu Hakusulibiwa Msalabani kam biblia inavyoeleza. Na wengine hata kusema kuwa huenda...
4 Reactions
6 Replies
305 Views
JESHI LA POLISI LICHUNGUZWE KWA UHALIFU NA UVUNJAJI WA KATIBA. kwa barua hii sasa ni uthibitisho kwamba kuna hitajika uchunguzi maalum kwa Jeshi la Polisi. Huu ni Uharamia na Uvunjwaji wa...
0 Reactions
1 Replies
221 Views
Yoyote anayepinga uharamu na ushenzi na anaye simama na watanzania ndio mtu mwenye mchango chanya kwenye taifa. Tutapata wapi mtu mwengine kama huyu tukivuka hapa anastahili kuongoza JWTZ kama...
8 Reactions
18 Replies
643 Views
Back
Top Bottom