Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndani ya wiki mbili vifaa viwe vimefungwa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ———————————- Amesema hayo leo Februari 13, 2026 alipokagua na kufungua jengo la wagonjwa mahututi (ICU) katika...
1 Reactions
2 Replies
232 Views
Jopo la Mawakili wa Makamu Mwenyekiti Mstaafu Wa Chadema- Zanzibar, Said Issa Mohamed na Wenzake ambao ni Mawakili Waandamizi Shabaan Marijani, Gido Semfukwe Na Alvan Fidelis Wamesema Chama cha...
2 Reactions
14 Replies
481 Views
Naona hata yeye ameshajua kuwa ana wakati mgumu. Juzi amesikiika akiongea kwa unyonge kuwa mimi nitaondoka na watakuja wengine. Hakuna haja ya kutumia nguvu na kumpeleka Icc kama Rodrigo Durtete...
6 Reactions
5 Replies
311 Views
Hawa ndio viongozi wa Afrika waliowahi kushtakiwa na International Criminal court bila la maana kutokea au kutokamatwa kabisa 🇰🇪 Kenya (Kesi za 2007–2008 Post-Election Violence) 1️⃣ William Ruto...
4 Reactions
34 Replies
613 Views
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa ina mpango wa kuuza sehemu ya hifadhi yake ya dhahabu kwa ajili ya kufadhili miradi ya kimkakati ya serikali...
15 Reactions
143 Replies
3K Views
Tanzania iko juu ya mstari wa rushwa chini ya jangwa la Sahara na ya pili kwa Afrika mashariki ikizibwagwa Kenya, Uganda, kwa kupambana na rushwa na uwazi. SOMA TAARIFA YA TRANSPARENCY...
1 Reactions
14 Replies
330 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Tumepata Rais Sasa. Kwa hakika Tumepata nahodha hodari ,kwa hakika tumepata Jemedari hodari. Kwa hakika watanzania tuna kiongozi mbele yetu tunayepaswa...
0 Reactions
2 Replies
204 Views
https://www.nbcnews.com/video/two-ice-agents-on-leave-after-appearing-to-make-untruthful-statements-about-shooting-257682501675 Compare and contrast with Serikali yetu ya majambazi.
1 Reactions
1 Replies
206 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, Samia tayari ameifikisha Tanzania kwenye nchi ya asali na maziwa kama alivyotamani John Magufuli
2 Reactions
2 Replies
248 Views
Alipochaguliwa kuwa Rais wa Tanzania, Marehemu Ally Hassan Mwinyi alikabidhiwa fagio la chuma na wazee wa Dar es salaam ili alitumie kusafishia uchafu serikalini. Jee lile fagio bado lipo Ikulu?
1 Reactions
7 Replies
214 Views
Waziri mkuu Mwigulu Nchemba ametoa shilingi laki moja kwa waathirika wa hifadhi ya Bondo iliyoko kijiji cha Mswaki wilaya ya Kilindi Tanga kama nauli ya kuendea Korogwe Tanga kusikiliza mgogoro...
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Weredi umepungua jeshi la polisi limejaa vilaza kibao na wamepewa vyeo vya juu sana vya kuchunguza kesi unachunguzaje kesi wakati hujui sheria ya hiyo kesi ?
4 Reactions
4 Replies
385 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amejibu kauli ya Nape Nnauye kuhusu chama hicho kuondoka madarakani akisema "Ndani ya CCM anaweza kuondoka yeye, lakini...
0 Reactions
6 Replies
339 Views
Barua ya wazi kwa mkuu wa Traffic Police Kuna zoezi limefanyika Jumamosi ya tarehe 14.02.2026 - Jangwani Road na ni zoezi la dhuluma na kuibia wananchi ambao tayari wanaumizwa na mifumo...
4 Reactions
3 Replies
331 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, ljumaa Februari 13, 2026 inatarajiwa kuendelea na Kesi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu katika...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Laiti watanzania wangetambua tusipopambana na hii regime Ovu iliyopo kwenye nchi yetu hakuna aliye salama Hakuna ubishi kwamba Enzi za Magufuli matendo haya ndipo yaliposhamiri Kwa wingi na Kwa...
8 Reactions
37 Replies
550 Views
Mimi siyo Mtabiri na Wala siyo Nabii. Ila kwa mwenendo huu wa hii kesi ya Tundu Lissu very soon tutaambiwa waandishi WA habari hawatakiwi kuitangazia kwa Umma, kwa kisingizio inaharibu mwenendo wa...
5 Reactions
9 Replies
351 Views
Tarehe na mwezi sivikumbuki. Lakini ninachokikumbuka ni mwaka. Mwaka huo ni 2006. Baada ya 'condor dragon' kufanya mambo yake kule bcstimes.com, baadhi yetu tulijikuta hatuna pa kwenda...
190 Reactions
814 Replies
103K Views
Nyuzi zote hizi ni wale chawa washamba washamba wa mama anaupiga mwingi, na ni kikundi maalumu kinachojaribu kutaka kuangalia upepo wa watanganyika, bahati mbaya kabisa hatujaona uzi wowote...
7 Reactions
15 Replies
331 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amesema chama hicho kitaendelea kubaki madarakani na hakitotoka kamwe. Akizungumza Februari 14, 2026 wakati akihojiwa...
2 Reactions
11 Replies
370 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…