Kwa kauli yake mwenyewe ya kumtoa ofisa wake wa karibu kabisa na kuamua kumfanya awe Katibu Mkuu wa Sekta ya Mawinga na Machinga kwa kigezo Kwamba anamuandaa mapema na kumpa Maisha mapema kwa...
Yupo Naibu waziri Mmoja anatembea sana KUKAGUA miradi ya Maendeleo anatokea tamisemi anakauli yake utasikia.
Kwa niaba ya Mh Rais, na kwa niaba ya waziri wa tamisemi anamtaja kwa cheo kwanza hapo...
Wakuu,
Msemaji wa Serikali na Katibu mkuu wizara ya Habari, Sanaa, Tamaduni na Michezo Gerson Msigwa afafanua ukweli kuhusu taarifa ambazo zinaeleza kuwa uwanja wa Arusha umekosa hela za...
Mimi sifi Leo SI muumini wa majungu kamwe,
Mh Nanauka Joel ni mwanasiasa mzuri sana aliyetengenezwa na mfumo kinzani wa ccm ambao unasuffer sana katika TAIFA la Tanzania.
Yaani ni mfumo pekee...
Habari Tanzania !
Nimefurahi kuona Mtanzania ambaye ni Mwakilishi wa watu wa Kigoma Mjini - ndugu, Revocatus Chipando kwa namna anavyopambana na Uchumi Jamii ( Social - Economic Hub). Mimi kama...
Hakuna maumivu makubwa zaidi kuliko kumpoteza mpendwa baada ya wiki au miezi kadhaa hospitalini, ukiendelea kuishi kwa tumaini dhaifu, halafu kifo kinakuja mwishoni mwa kipindi hicho kirefu cha...
Ukiwasikia wabongo wamemkataa huyu Mama Kizimkazi ndio hii yani mtu yeyote atakayemuunga mkono basi raia watamvaaa vibaya kama haliyokutana nayo Tyrese.
Na wabongo wanatupa maneno ya kiswahili...
Tabia ya Jeshi la polisi kukana kumshikilia mtu hadi watu wapige kelele au watishie kugoma au kuandamana ni Utekaji.
Sheria inataka unapo mkamata mtu, moja ya haki yake ya msingi ni kuwasiliana...
Wakati wa awamu ya Kikwete nakumbuka kuna wazo lilikuwa linafanyiwa kazi la kuanzishwa kwa Tanzania's Sovereign Wealth Fund ili mapato mbalimbali ya serikali, hasa kutoka kwenye sekta za mafuta na...
Mwenyekiti wa Umoja wa Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Dr. Vernon Fernandes, akiwa Madhabahuni mbele ya Makamu wa Rais, Emmanuel Nchimbi, amesema mara kadhaa kuwa Kanisa la...
Rais Samia Suluhu, akizungumza katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam Februari 7, 2026, amesema katika mazungumzo yake na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ameiomba Serikali ya Uganda...
Hakuna hata kwa nchi za Kiafrica Serikali inayo promote Uchuuzi, ni Tanzania pekee ndio kuna hii Sera ya kupromote kwa nguvu sana uchuuzi/umachinga
Serikali zote Duniani zinatamani Raia wao...
Naendelea kushanga sana jinsi nchi ile ilivyoharibika na kuharibiwa Kwa maslahi ya kulinda mtu mmoja tu
Muhimili wa bunge wenyewe ulishakatiwa tamaa muda mrefu maana muda mwingi wenyewe ni...
Wakuu,
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti kasema kuwa amekamata watu 50 ambao wanaenda kununua viwanja Kisarawe kwa sababu hao watu wanafanya hayo kinyume cha sheria
Msikilizeni hapo
Nakumbuka Nipo na waandamanaji wenzangu pale ubungo tunaelekea ikulu jeshi likaja kutupiga block eti subirini mambo haya yanaenda taratibu mda huo wenzetu zaidi ya 15 wameuwawa na Kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.