Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya James Mbowe, Asenga Partrick naye ajiandaa kuondoka Chauma, inasemekana wamedhulumiana hela ya Mgao n.a. akina Salum Mwalim Usiondoke jf
20 Reactions
28 Replies
843 Views
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Februari 11-12, 2026. Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo...
1 Reactions
1 Replies
213 Views
Unadhani ni kwanini viongozi hao wa vyama vya siasa na wafuasi wao waliopoteza uelekeo wa kisiasa na kukosa hoja wamekua na mihemko na hasira kupindukia.? Yaani kwao hakuna jema kabisa, yote ni...
3 Reactions
17 Replies
295 Views
Mwanachama wa CHADEMA azimia ndani ya Mahakama baada ya kumsikia Mwenyekiti wake, Tundu Lissu akidai kunyimwa chakula Mahakamani leo Februari 12, 2026. Kuhusu mwenendo wa Kesi Kesi ya Lissu |...
1 Reactions
5 Replies
521 Views
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Yah: Changamoto ya Gharama Kubwa na Usumbufu wa Kuunganishiwa Huduma ya Maji – Makurunge, Kiluvya Madukani, Kisarawe...
4 Reactions
52 Replies
652 Views
Rais Samia akiwaapisha viongozi mbambali aliowateua, amesema Tanzania kila unalofanya linatafsiriwa, akirejelea Uteuzi wa Waziri Rajabu Salum ambapo amedai kuwa watu walisema katolewa. Rais Samia...
5 Reactions
132 Replies
3K Views
Hli naomba niliweke wazi kabisa kama Msimamo Rasmi wa Chama, Mambo ya Kijinga na Kitapeli hayatapewa tena nafasi. Mnaweza kuridhiana na hao hao mnaoshirikiana nao lakini Sahauni kuhusu Chadema...
20 Reactions
107 Replies
4K Views
  • Redirect
Kwanza nimeangalia hizo mbwembwe za hao maafisa wa magereza inasikitisha huo muda wangeenda kusimamia wahalifu walime mpunga na mahindi huko nchi ipate chakula, Muda unaotumika na gharama sidhani...
0 Reactions
Replies
Views
DKT. MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KITAIFA YA AFCON 2027 WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) kwa ajili...
2 Reactions
14 Replies
361 Views
  • Redirect
Magereza walikuwa wanajua kwamba Kesi itaendelea Hadi SAA 11 jioni na Lissu sio mfungwa Bali mahabusu. Wengine wanakuwa yeye Hali , akili utapata wapi nguvu za kujitetea vizuri, au ndio njia...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Baada ya session ya jioni kuanza Lissu ambaye anashitakiwa kwa uhaini amesema, hajala kwa kuwa magereza ndio wenye wajibu wa kumleta chakula hawajaleta. Lissu: Mhe. Jaji nipo tayari kuendelea...
6 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mheshimiwa Lisu, mtu aliyejawa hekima, upeo wa hali ya juu, na dhamira njema kwa Taifa lake, leo ameendelea kuidhalilisha Serikali haramu.na mawakili wake, na mashahidi wake fake. Baada ya hukumu...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Saa 8 mchana, tarehe 12 February 2026 Imepigwa High Courtttttt Majaji wameingia. Mhe. Lissu alivyoingia anauliza mmekula? Mimi mwenzenu sijala kabisa. Majaji wamewasha kipaza sauti pale na...
0 Reactions
Replies
Views
Kama wewe hufuatilii basi bila shaka huna akili timamu, ama umelogwa Au ulizaliwa na mtindio wa Ubongo Kesi hii ya Uongo imebeba hatima ya Nchi. Shukrani sana kwa Mzee Bwege kwa kufika...
12 Reactions
35 Replies
601 Views
  • Redirect
Lissu: Sipewi chakula gerezani kinyume cha sheria muacheni huyo bibi mchawi aendelee kujika kaangaa anakesi za kujibu tukivuka hapa. Lazima mkuu wa magereza na rais haramu watatueleza vizuri huu...
0 Reactions
Replies
Views
Wakuu, Natafakari tu. Juzi tulimsikia Msigwa akisema plain and open kuwa hakuna mtu atakayelazimishwa kuingia kwenye maridhiano. Hii kauli ya Msigwa haitofautiani sana na zile kauli walizokuwa...
4 Reactions
10 Replies
434 Views
Wakati wa kampeni Chama Cha Mapinduzi CCM walijinadi kwa ahadi rukuki walikuwa na mipango ya muda mrefu na mipango ya muda mfupi Kwa Leo tujikite katika kuchambua mipango ya muda mfupi (siku 100)...
2 Reactions
8 Replies
243 Views
11 February 2026 Dr. Mambosasa afunguka kuhusu askari wanaokengeuka https://m.youtube.com/watch?v=lUsH2nk4zVQ Aullizwa kwanini raia wanakimbia wakiona Defender ya Polisi ? DCP Mambosasa anasema...
0 Reactions
3 Replies
351 Views
Warumi 13 Neno: Bibilia Takatifu Kutii Mamlaka 13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2...
1 Reactions
15 Replies
741 Views
Back
Top Bottom