Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,654
- 6,594
Wakati wa awamu ya Kikwete nakumbuka kuna wazo lilikuwa linafanyiwa kazi la kuanzishwa kwa Tanzania's Sovereign Wealth Fund ili mapato mbalimbali ya serikali, hasa kutoka kwenye sekta za mafuta na gesi yangewekezwa kwenye vitega uchumi mbalimbali ndani na nje ya nchi.
Nchi nyingi, hasa zenye maliasili ya kutosha zimefungua na zinaendesha fund ya namna hii, mfano Qatar, UAE, China na Norway. Nadhani hata Ghadhafi alikuwa kwenye pilikapilika za kuanzisha kitu kama hiki kwa ajili ya Libya.
Kwa Tanzania hili wazo sijalisikia kwa muda, sijui lilifia wapi.