Nimesikitishwa sana na hotuba na mchango wa mbunge wa Mbongwe bwana Nicodemas Henry Maganga wakati akichangia leo bungeni.
Sidhani kama amefanya utafiti wa kutosha kuhusu mchango wake. Kawaaudhi...
Wanabodi,
Nimesikitishwa sana na kitendo cha yule Mbunge juzi kutoa hoja ya wao wabunge waongezewe mishahara maana wana kazi nyingi sana.
Kama hilo halitoshi Mbunge yule ameenda mbali akisema...
Na Mwandishi Wetu,
Dodoma.
Chama Cha Mapinduzi kimesema kinaridhishwa na kutambua jitihada kubwa zinazochukuliwa na serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya uwekezaji ambapo mazingira...
.......kabla ya kupanda jukwaani mjini Ludewa wilayani Mbalali, Kikwete alikuwa akizungumza na simu na baada ya kumaliza aliwaambia wananchi kuwa alikuwa akizungumza na balozi wa Marekani nchini...
Lissu amesema hayo baada ya kuongea na mmoja wa viongozi waandamizi wa Wizara ya Fedha.
Hivyo taarifa za kulipwa stahiki zake si za kweli.
Maoni yangu ni kwamba taarifa hii haina ukweli wowote...
"Kwa Madaraka makubwa aliyonayo Rais kutokana na Katiba iliyopo akiwa ni Rais mzuri haina shida, ila akiwa ni Rais Katili au Chizi anaweza kuipeleka nchi kubaya sana "
Chanzo: BBC Dira ya Dunia...
Ni wazi kwa sasa Tanzania imeungana na nchi nyingine katika kufata taratibu zinazoitwa za kuzuia maambukizi ya mlipuko wa corona wimbi la tatu katika jamii.
Imekua ni week iliyoanza kwa tahadhari...
Jengo la Ofisi ndogo ya CCM iliyoko Mtaa wa Lumumba
Kati ya vyama vyote vya siasa vilivyopo Tanzania,CCM ndiyo chama kinachoongoza kwa kuwa na Utajiri Mkubwa sana wa Rasirimali vitu. CCM ndiyo...
Kwa kuwa binadamu huwa anapenda kuandika hidtoria yake iliyotukuka hasa kwa wasomi najiuliza hawa wasomi wakati wakuandika ukweli MTUPU kuhusu maisha yao ya hapa ulimwenguni kitaaluma na kijamii...
Huko tuendako ni kubaya...
Walioweka mfumo wa utawala wa sheria na mgawanyo wa madaraka na majukumu walifanya hivyo kutokana na uzoefu na shida zilizopata kutokea
Nasikitika kusema kuwa...
Kuna hizi mada zinatrend sana kuhusu kuongeza kikomo cha urais, yani raid wa sasa aongezewe vipindi vya uongozi hadi vine yaani miaka 20.... Mwenyewe amekuwa akipinga kila wakati lakini niseme tu...
Wananchi wamjia juu mbunge anayesema posho, mishahara yao haitoishi
Dar es Salaam. Siku mbili baada ya mbunge wa Mbogwe (CCM), Nicodamus Maganga kusema mshahara na posho za mbunge hazitoshi, watu...
WAKATI sakata la sifa za kielimu la Makamu wa Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), John Bayo likizidi kuchukua hatua tofauti, shirikisho limedai linatarajia kufanya mabadiliko ya katiba...
#Siku 100 za Samia: Rais Samia anavyotibu siasa za utapiamlo
Deogratias Mutungi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatimiza siku mia moja hapo Juni, 26 tangu kuapishwa...
MATOKEO YA CHAGUZI NDOGO NCHINI:SOMO KWA UPINZANI?
ubunge jimbo la Dimani CCM Imeshinda kwa kishindo kura 4408 na cuf 1204..
Kata ya Ng'hambi Wilaya Mpwapwa CCm1306 chadema 812
Matokeo Ya...
Nawasihi sana viongozi wetu kumtanguliza Mungu mbele katika vita dhidi ya corona. Msimwonee Mungu haya katika jambo hili. Usalama tulionao tofauti na mataifa mengine siri yake ni kwamba Rais wetu...
Chama cha Mapinduzi kimesema kinaridhishwa na kutambua jitihada kubwa zinazochukuliwa na serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya uwekezaji ambapo mazingira ya mazuri ya kuaminika...
Habari wakuu,
Napenda kumshauri mama yetu Samia Hassan, ikimpendeza anzishe tovuti maalumu ya kuweza kupokea malalamiko, maoni na ushauri kutoka kwa wananch wake.
Hii itasaidia kubaini...
Kwema wanajamvi, tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uzima na afya. Poleni na majukumu mbalimbali ya kulijenga taifa, Moja kwa moja naomba niende kwenye mada.
Wahenga walisema "Hakuna marefu...
Nimepata wazo ila sina connection kwa mikoa yote. Mtaka baada ya kuwaapisha (au kabla) wakuu wa wilaya akatoa speech fulani yenye shibe sana. Hawakukosea kumuweka pale Dodoma.
Sasa wazo langu ni...