Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii ni kwa wale vijana waliokuwa wadogo, nao ni vyema wangepata ABC za kuvunjika kwa mchakato wa katiba mpya mwaka 2014. Ieleweke pia, mswaada wa katiba mpya uliishandikwa na wajumbe wakiongozwa...
1 Reactions
2 Replies
772 Views
Wakati wa Mchakato wa KATIBA MPYA mwaka 2011, Bwana Humphrey Polepole na Bw. Kabudi Walikuwa Miongoni ya Wajumbe wa ile Tume ya Warioba. Watu hawa Walikuwa Mstari wa mbele sana kuhakikisha...
12 Reactions
35 Replies
3K Views
Jimbo la Konde, Zanzibar lilikuwa wazi kufuatia kifo cha Mbunge Khatib Haji. Hivyo Baraza la Uchaguzi lilitangaza uchaguzi mdogo Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amewalaumu wanachama na...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Sheikh Mselem Ali, mmoja kati ya Masheikh wa Uamsho ambao wametoka Gerezani amesema mihadhara yao ilikuwa na nia ya kuwaamsha watu kudai Katiba Mpya. Amesema kwa kipindi kile walifanya hivyo kwa...
5 Reactions
26 Replies
4K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Fatma Ayoub Mwinyimvua Simba kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu (FIU) kuanzia leo Julai 05, 2021 Awali, Fatma alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya...
5 Reactions
93 Replies
13K Views
Tangu ndugu yako wa damu atutoke umekuwa dhaifu sana umeishiwa confidence kabisa ndio maana ishu ya kukatika umeme imekuwa ngumu kwako kutumbua so sisi wanaubungo ndio tunaona machungu. Hii sio...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Watanzania kutoka maeneo mbalimbali wamefurahishwa na hatua ya Mhe. Rais wa Samia Suluhu Hassan, juu ya jitihada zake za kuhakikisha anainua uchumi wa Watanzania na akisisitiza suala la Katiba...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Nyerere aliongoza mapambano ya kudai Uhuru toka kwa wakoloni. Kama ingelikuwa ni ujenzi wa ghorofa nasi Uhuru ni sawa msingi (foundation) Alijenga umoja wa kitaifa. "Reli ya Tazara" "Mabwawa ya...
7 Reactions
60 Replies
6K Views
Kampgia simu jana kummweleza kuwa wapo pamoja, ====== Mhe. Rais Magufuli azungumza kwa simu na Kansela wa Ujerumani Mhe. Angela Merkel. Wazungumzia kukuza zaidi uhusiano na ushirikiano wa...
18 Reactions
321 Replies
36K Views
Corona ni ugonjwa hatari wa kuambukiza kwa njia ya hewa, Rais alitakiwa kufahamishwa kuwa sasa anaingia wodi ya wagonjwa wenye corona ili ajiandae kimwili na kiakili, pia ahiari mwenyewe kuingia...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimefanikiwa kuiona clip ya Mdude akitumia maneno ya kuudhi na yasiyo na staha kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Niseme wazi kama Rais Samia angeamua asitoke asingetoka ila kwa sababu...
4 Reactions
78 Replies
6K Views
Mimi nawashauri viongozi wa vyama vya CHADEMA,NCCR na CUF wasiwe na matumaini kwamba Raisi Kikwete atawasikiliza na kwamba hatasaini muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba. Raisi Kikwete...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Vijana ndani ya hili taifa tumemuangusha rais Magufuli katiba utekelezaji. Wengi waliopewa madaraka wamelewa na kuharibu. Mfano mzuri ni Makonda, January, Nape, Jerry Silaa, Kigwangalla na...
4 Reactions
104 Replies
9K Views
Wasalaam, Inashangaza na kusikitisha kuona kikundi cha vijana wa CCM wakihangaikia ujenzi wa legacy ya mwendazake huku wakisahau kuwa nao inatakiwa waweke legacy kabla ya kwendazao, yaani...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika siku za hivi karibuni Chama cha Demokrasia na maendeleo, kupitia viongozi, wanachama na washabiki wake kote nchini, waliutangazia umma kuwa hawatashiriki uchaguzi wowote kama hakutakuwa na...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kitashiriki Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Muhambwe, ambalo liko wazi baada ya kifo cha Astashasta Nditiye ambaye alikuwa mbunge mteule wa jimbo hilo Wamesema hauwezi...
5 Reactions
95 Replies
7K Views
Wakati tunaangaika na Reli wenzetu kwenye mwaka wa tatu huu SGR yao ishaanza kazi na inabeba mzigo kweli kweli kutoka Mombasa kwenda Nairobi. Wakati tunabishana na bandari ya Bagamoyo wenzetu...
30 Reactions
93 Replies
6K Views
Watanzania wanafanywa wajinga sana kwenye maswala ya mitandao kuna mambo mawili ambayo watu wengi hawakuyajua 1. Juzi wakati Raisi anafungua kiwanda cha polisi IGP alisema Polisi hawana...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Toka CHADEMA ianze ziara zake nchini, Hoja zake imekuwa zikijadikiwa zaidi kuliko za Bunge. Suala la kataiba Mpya ambalo lilichagizwa na BAVICHA pale Baracuda limepelekea kuzua mijadala mizito...
7 Reactions
6 Replies
1K Views
BBC wametangaza kuwa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani Papa Francis anaumwa na amefanyiwa upasuaji, sijasikia taharuki. Hapa nchini viongozi wetu huwa ni siri hasa awamu ya 5. Kisa...
9 Reactions
40 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…