Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hello guys Napenda kuwapa good news, kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika. Kesi iliyofunguliwa ICC na Intelwatch, Madrid Bar Association na Human right Institute Kwa Samia na viongozi...
50 Reactions
144 Replies
3K Views
Kwanza, tunajua kuwa watajwa hapo juu ni 'watu na mitume' wa kufikirika ambao, bila imani na vitisho, hawawezi kuwa walivyo. Je, sababu ni kutokuwapo na teknolojia ya picha jambo ambalo dini...
4 Reactions
18 Replies
376 Views
https://youtu.be/SF7xIDmUvSQ?si=j9ah5eb9048kNlgz
2 Reactions
37 Replies
926 Views
  • Redirect
AGNES MARWA ATOA TUZO KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOFANYA VIZURI MANISPAA YA MUSOMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa, leo tarehe 18 Februari, 2026 ametoa tuzo na zawadi maalum kwa...
1 Reactions
Replies
Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa, leo tarehe 18 Februari, 2026 ametoa tuzo na zawadi maalum kwa shule za sekondari zilizofanya vizuri katika Manispaa ya Musoma, ikiwa ni hatua ya...
1 Reactions
3 Replies
293 Views
Wakuu, Huyu Shahidi mwanzoni alisema kuwa anaishi Moshi Kiranyi. Lissu akamuuliza kuwa nani kampa nauli ya kuja kutoa ushahidi kwenye hiyo kesi, akasema kuwa hiyo nauli kapewa na mwanamke wake na...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amesifu utendaji kazi wa Mbunge wa Lushoto ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe kwa...
0 Reactions
1 Replies
248 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndg. Stephen Wasira, amemtembelea na kumjulia hali Mama Maria Nyerere, mke wa Hayati Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius...
6 Reactions
11 Replies
451 Views
Na Emily Mwakilembe Kwa Tundu Lissu, Prof. Mpoki Ulisubisya ni kama Musa aliyeshuhudia mkono wa Mungu ukiwakomboa Waisraeli kutoka utumwani Misri; kama alivyoshuhudia Bahari ya Shamu ikipasuka...
5 Reactions
2 Replies
238 Views
Hayati Magufuli alikuwa smart hasa kwa kusimamia pesa za umma tangu akiwa Waziri mpaka anakuwa rais. Taifa lenye utajiri na rasilimali nyingi kama Tanzania sio la kukosa pesa za kujenga viwanja...
4 Reactions
5 Replies
231 Views
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, inatarajiwa kuendelea leo Februari 16, 2025, katika Mahakama Kuu, Masijala Ndogo, Dar es Salaam. Shahidi wa saba anatarajiwa...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Utashinda tu. Treason Case Hearing – July 01, 2025: Tanzanian Opposition Leader Tundu Lissu Calls on the State to Drop Charges, Citing Abuse of Court Process The treason case against the...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Priscus Tarimo, ameibuka mshindi katika kura za maoni za chama hicho kwa kupata kura 1,539 kati ya kura halali 3,288...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Waswahel wanasema.. Nyota njema huonekana alfajri.. Na wazungu wanasema first impression last conclusion.. Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno.. Kwakuwa yeyote anaweza kuongea chochote...
45 Reactions
94 Replies
5K Views
Kwanza kabisa mnatakiwa kukubali kuwa hamkubaliki. Kwamba utawala huu wa CCM haukubaliki. Kuna Mwalimu mmoja leo amenifuata na kuniuliza wewe si mwanaCCM? Mbona kila mnachofanya mbona wananchi...
4 Reactions
2 Replies
230 Views
Middle East & Africa | An unlikely journey Don’t welcome Africa’s newest despot Samia Suluhu Hassan has caused Tanzania’s most dangerous crisis since independence Share Illustration: Fede...
13 Reactions
7 Replies
546 Views
  • Featured
Wakuu, Chama cha Madereva wa Malori kilitoa tamko ikiwa mwenzao hajapatikana ndani ya siku 2 kuanzia Jumapili wangefanya mgomo, hii ni baada ya mwenzao kudaiwa kuchukuliwa na watu...
13 Reactions
34 Replies
1K Views
Wakuu, Katika zunguka zangu nikitafuta video ya kinachodaiwa kunaswa na Tanzania Daima (Ref Lipumba akiri kumsaidia Kikwete Uchaguzi 2010), nimefanikiwa kuipata video hii katika YouTube...
56 Reactions
629 Replies
80K Views
Leo hii tumefikia hatua ya kufanya mkutano na wanahabari ili kuwaeleza jinsi mlivyoshiriki kwenye mkutano wa AU Eti tathmini ya ziara ya mkutano uliofanyika Ethiopia, kumbe alienda kufanya ziara...
12 Reactions
25 Replies
650 Views
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), limetoa wito kwa Jeshi la Polisi nchini kuchunguza kwa haraka na kwa makini taarifa za kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey polepole ‎...
2 Reactions
12 Replies
434 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…