Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu, Katika kukabiliana na hali ngumu ya maisha kwa chama na wafuasi wake, CHADEMA wameanzisha utaratibu wa kuuza kadi zao mitaani huku wakiahidi kuwa kila kadi moja itakayouzwa wakala...
7 Reactions
70 Replies
4K Views
Tayari wameshapotezwa maboya wana deal na alichosema Diallo. Leo Diallo ni Shujaa sababu amemsema Magufuli vibaya. Wanasahau Diallo alishawahi kuwa katika watu wanaofanya ufisaidi nchini Tuachane...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Yuko wapi mbunge kijana, Machachari, Mpambanaji, Mwanasheri kitaaluma. Ambaye alikuwa mbunge wa Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA. Aliwahi kusema ni heri awe bodaboda kuliko kuendelea kutomuunga...
10 Reactions
141 Replies
17K Views
"Nchi isiyeheshimu HAKI za Msingi za Binadamu ni Nchi ya Kishenzi tu. Mnauwa watu, mnawapiga watu visu na risasi, mnateka wenzenu, mnawafunga wenzenu bila ya kufuata utaratibu halafu mnakereka...
33 Reactions
91 Replies
7K Views
Imani ni jambo ambalo hupaswi kuigiza au kuingiza siasa ndani yake. Zaidi ni ukweli wa kiimani unajengwa ndani ya roho kwakuamini bila kuwekwa ushahidi wa dhahiri juu ya Hilo. Ukienda kanisani...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Madereva wa vyombo vya moto mkoani Songwe wanakimbilia Zambia kununua diesel na petrol Madereva hao wamedai Zambia bei ya mafuta ni nafuu. Source: ITV habari!
6 Reactions
58 Replies
5K Views
Naam mnamo mwaka 2015 kwenye kampeni za uchaguzi mkuu Rais wa wakati Dr. Jakaya Mrisho Kikwete alimuombea nafasi ya upendeleo wa kibiashara Mh. Antony Dialo kwa mgombea wa urais wa wakati Hayati...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mbali na kutumia mitandao na makongamano au mikutano kudai Katiba Mpya, nashauri wanaharakati, wanasiasa na wadau wengine waandae vipeperushi vyenye kueleza umuhimu wa katiba mpya na kuvisambaza...
10 Reactions
22 Replies
2K Views
CCM haijawahipo kubadili mwenyekiti wa Chama zaidi ya anaekuwa Raisi ndie awe mwenyekiti wa Chama, hivi ni kweli ndivyo inavyotakiwa? Utaratibu huo mmeutoa wapi? Sasa kuna watu wanapiga makelele...
1 Reactions
6 Replies
916 Views
Baaada ya Serikali kusikiliza kilio cha Mbunge "Iddi zungu" [asiye na utu wala kujali wananchi] Wa Dar es Salaam kutaka wanyonge[maskini waliotengenezwa na serikali] Ukiitizama hii kwa jicho la...
25 Reactions
135 Replies
15K Views
Wadau nawasalimu kwa jina la JMT. Kazi iendelee...! Najikita moja kwa moja kwenye mada husika, juu ya yanayoendelea huko mashuleni (shule za msingi) Mimi nipo haoa mkoani (nausitiri), juzi...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu hii imekua ni mazoea kwa watu wengi. Mtu ukimgusia tu siasa na kuongelea matatizo yanayoikabili jamii. Anaanza kuleta masihara. Kwa wamarekani weusi nimejaribu kuchunguza wako serious sana...
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Kuna upotoshaji mkubwa dhidi ya hoja za wanaoitisha kurejelewa kwa mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya. Mama wamemfanya kuamini kuwa hizo ni chokochoko. Katiba ni haki ya raia. Kudai katiba...
8 Reactions
56 Replies
3K Views
Nilikuwa na maongezi ya simu na mpya wangu. Aliniuliza kwanini mtu akionekana ana mali, hasa kama ni mtumishi wa serikali huishia kuchunguzwa? Kwani serikali inataka watu wake waishie kuwa...
1 Reactions
2 Replies
791 Views
Dhana ya utumishi wa Uma inaanzia pale mtu anapewa dhamana kusimamia Jambo kwa masilahi mapana ya jamii au wananchi kwa ujumla wake. Dhamana hii huundiwa taratibu na kanuni kwa misingi ya...
1 Reactions
3 Replies
798 Views
Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi Mhe. Elibariki Kingu leo ameshiriki Kongamano kubwa la Jitimah lililofanyika Jimboni kwake. Amewachangia Waislamu wa Mtavira na Ihanja Mifuko 300 ya cement na...
1 Reactions
1 Replies
902 Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema fedha zilizochukuliwa kimakosa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), katika akaunti za benki, zitarejeshwa “anaweza mtu kodi yake...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Salamuni wanangu janvini. Japo Hayati John Pombe Magufuli hatarudi kujitetea tokana na madongo anayorushiwa na wasahaulifu wa nchi yetu, anao watetezi yaani legacy yake na Watanzania wenye...
8 Reactions
69 Replies
5K Views
Wakati wanatupa habari juu ya hotuba ya Mbowe kwa taifa kwenye uzi ule nilimpa tahadhari Mbowe awe smart tupo ambao tunasoma upepo. Nimesikitika hotuba ya Mbowe imekosa madhumuni imejaa ubinafsi...
11 Reactions
81 Replies
7K Views
Inawezekana kabisa tukafanikiwa kuwa na #KatibaMpya na bado maji safi na salama, barabara nzuri, huduma za afya nzuri na mengineyo visiwepo ila haihalalishi tusiwe nayo kwasababu Katiba imekaa...
3 Reactions
5 Replies
945 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…