#ShuleKidogo
Kuna watu wanadhani ukimpongeza mtu anapofanya vizuri basi hutakiwi kumkosoa kabisa hata akifanya vibaya. Hii ni AKILI NDOGO. Kuna watu wanadhani ukimkosoa mtu anapofanya vibaya basi...
Mfano mzuri ni tabia ya Mwigulu ambayo ilivumiliwa na marafiki kama akina Kikwete kwa sababu zao za kiharibifu hadi kupewa nafasi kubwa ktk CCM. JPM akamuondoa ktk uwaziri. Sasa ameingia rais...
Waziri wa Katiba na Sheria amesema wanawafuatilia wote wanaozushia watu vifo. Na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa kuna baadhi wameanza kushughulikiwa.
Mh waziri hata watoto wa...
Nawasalimu kwa jina la Muungano wa Tanzania.kitu
Ninachoona kinaendelea nchini kwa sasa ni harakati za wapinzani Kutaka KATIBA mpya,ni harakati za kupaza sauti kufanya makongamano ya katiba na...
Askari Polisi waliojihami kwa silaha za moto na mabomu ya kutoa machozi wamezingira na kufunga njia za kuingia na kutoka Hoteli ya Tourist eneo la Kitangiri jijini Mwanza ambako Kongamano la...
Leo kuanzia asubuhi tumeona namna Jeshi la Polisi lilivyopambana kuzuia Kongamano la Katiba Mpya, lililokuwa limeandaliwa na Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA), wakati hali ya taharuki ikiwa...
Kuna tukio la tozo na lawama kwa rais wa jamuhuri ya Tanzania Samia Suluhu. Kiukweli asiraumiwe mama kuhusu tozo tunachotoa cha kwetu kwa ajiri ya maendeleo yetu.
Kama hakitufai basi tutumie njia...
Igweeeeeeee
Hakika waliosema fainali uzeeni hawakukosea kabisa pia matumizi mabaya ujanani malalamiko uzeeni ndio haya sasa ninayoyaona kwa Mbowe na hiyo chadema yake
Kwa sasa kinachomdrive...
Huu ni ukweli kulingana na uzoefu wangu.
Nchi wahisani wamekuwa na masharti magumu mno. Mengi ni kuhakikisha tunabaki tulivyo miaka nenda rudi.
Serikali ichukue jukumu la kuendeleza uchumi wetu...
Nchi yenye watu ambao wana vichwa vyenye uwezo wa ku-observe their nature, kufikiri na kubuni njia mbalimbali za kutatua matatizo yao yanayo wakabili practically, ndiyo nchi yenye maendeleo...
Ni Jumapili tulivu ambayo ni siku ya Wanawake duniani.Katika Taifa letu Wanawake wa Chadema wanafanya Kongamano lao kubwa katika Ukumbi wa Mlimani City DSM.
Idadi kubwa ya wawakilishi wa Wanawake...
Mimi nawashangaa sana wanachama CHADEMA na wafuasi wao kwa ujumla kulalamika mitandaoni kwa kukamatwa kwa sababu ya kudai katiba mpya, katiba mpya duniani kote hupatikana kwa maumivu makali sana...
Wasalaam.
Nawakumbusha jeshi la policcm kuwa kama mikutano ya vyama vya siasa ni haramu ni vema sasa na ccm wasikusanyike. Inashangaza jeshi la police kufanya kazi bila weledi kwa kukamata ovyo...
MHANDISI KUNDO AWATAKA WATAALAM WA TEHAMA HALMASHAURI WATOSHE KATIKA NAFASI ZAO
Na Mwandishi Wetu, TANGA
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kupitia taasisi yake ya Tume ya TEHAMA...
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba umeleta taharuki kubwa sana ndani na nje ya nchi, kufuatia kauli yako ya Jana kumsifu kinafiki Rais Mstaafu Jakaya Kikwete. Kwa kauli hii nathubutu kusema haina...
Dhana ya Utawala bora lazima iambatane na mipaka kwa wakosoaji wa Serikali katika kulifikia lengo lililo jema siku zote.
Ni muda Sasa tangu atutoke mwendazake kumekuwa na jitihada za kufifisha...
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh .Samia Suluhu Hassan anawatakia sikuu njema ya Eid El adhah watanzania wote .
Mh rais ametutaka tusheherekee kwa amani pia kule mwanza amatupatia zawadi...
Kama mwuungwana tokea pande za Pwani niliyeukataa ukanjanja katika nyanja zote, nina lazimika kutia neno juu ya maneno ya hekima yake Mwamba Aboubakar Laigwanan Mbowe (Mola amjalie maisha marefu)...