Msemaji wa jeshi la polisi nchini Tanzania David Misime amekanusha kuwepo kwa kontena la silaha na kusema kuwa ni taarifa za uongo. ameyasema hayo wakati wa Mkutano na waandishi wa habari...
Akizungumza kupita Global TV Naibu katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Amani Golugwa amesema wamemuandikia barua mkuu wa majeshi nchini kumkumbusha kauli ya ya baba wa taifa...
Wanabodi,
Hili jina la mtu anayeitwa Mafwele, sasa linatumika vibaya, kulitumia kuwatishia watu kwa kumsingizia kila kunapotokea tukio la utekaji au mtu kupotezwa, the most recent ni kauli za mtl...
Website ya epstein files hi hapa na unaweza kusechi chochote kilichomo kwenye mafaili
https://www.justice.gov/epstein
Nimesechi Tanzania na nimekutana na matokeo mengi sana, najiuliza hao...
Licha ya kwamba inafahamika wazi kwamba, tayari kipo chombo mahususi cha kisheria kilichoundwa na mtukufu rais ili kuondoa utata na sintofahamu juu ya jambo hilo, na kuipa tume hiyo jukumu la...
Haya ni maoni yangu.
Kwa yaliyotokea leo mahakamani ni kana kwamba mawakili wa serikali wanahisi ushahidi unaotolewa na mashahidi wa upande wao hauwezi kumtia hatiani Lissu, hivyo wameamua kutaka...
Wakuu,
Naona Jeshi la Polisi linatumia nguvu sana kukanusha uwepo wa kundi hili la Tanzania Freedom Fighters badala ya kutuoneyesha wamefanya nini kuwakamata/kuwadhibiti na kurejesha 'amani'...
Nakunywa zangu balimi huku nachanganya na Konyagi ndogo.
Mtuhumiwa wa kosa la uhaini anatoa shule kwa mawakili wa serikali.
Kwamba ushaidi mpya ni tofauti na ushahidi wa nyongeza.
Hawa mawakili...
Wakati kukiwa na sintofahamu ya ukweli wa alipo Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Kanda Maalumu ya Dar es Salaam (ZCO), Faustine Mafwele na kile kinachozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii...
Wakuu,
Nimesikia Bi Msumi katengwa na viongozi wenzake huko AU
Sasa mi naona hilo suala lingeendelezwa zaidi. Heads of state wote duniani ambao ni wanawake wanatakiwa kumtenga Samia
Wanawake ni...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Februari 24, 2026 anaweka jiwe la msingi ujenzi wa mradi wa Soko la Kilombero ambapo ametoa maelekezo kuwa wale wote waliokuwa katika soko la zamani wapewe...
TAHARUKI YAZUKA BAADA YA MIILI MINGI ILIYOHARIBIKA KUFUKIWA MSAE, KIBAHA Baba Askofu Mwamakula!Jana, 22 Februari 2026, tukio la ajabu liltokea Kibaha Mkoani katika Mtaa wa Uhuru. Ilikuwa hivi...
▪️Mkutano huo unafanyika katika hoteli ya Ngurudoto-Arusha, Februari 24, 2026
📌 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekwamua miradi iliyoshindwa kutekeleza kwa muda mrefu na ameibua miradi mipya...
Wanabodi,
Niko hapa ukumbi wa Aga Khan University, kuwaripotia live, kinachoendelea kwenye huu mkutano ambapo Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile, atawasilisha mada ya...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 24, 2026 amekagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani unaotekelezwa katika eneo la Bondeni City katika Halmashauri...
Mahakama ina kanuni, taratibu na miongozo katika kuendesha kesi. Na katika taratibu hizo, mawakili wote huhesabika kama ni maafisa wa mahakama wanaotakiwa kuwa mfano katika kuzingatia na kuheshimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.