Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kikwete aandamwa Marekani na Mwandishi Wetu Tanzania Daima USWAHIBA ambao Rais Jakaya Kikwete aliujenga na Watanzania wanaoshi nje ya nchi, sasa unaelekea kuanza kuyeyuka. Hali hii...
1 Reactions
28 Replies
8K Views
An objective and fair electoral commission, which is acceptable to all parties is an essential pillar in the evolving democratic culture on the African continent. The composition of the electoral...
0 Reactions
2 Replies
842 Views
Tumeambiwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga. Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo...
5 Reactions
93 Replies
8K Views
Ukiona chama cha siasa kimeishiwa wajenga hoja kwa muda mfupi lazima ujiulize sababu. CCM imejimaliza kwa sababu zifuatazo; 1. Imejiwekea utaratibu kwamba, Mwenye kusema Ni yule tu mwenye cheo...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Hii orodha nimepewa leo Msibani Manyoni,haya ni mauaji yame endelea mfulilizo Manyoni. Hili sio jambo dogo hata kidogo,nimemtaka IGP Sirro kuchukua hatua sahihi,ikiwa ni pamoja na RPC Singida na...
9 Reactions
136 Replies
19K Views
ORODHA YA VIONGOZI WA CHADEMA WILAYA YA TARIME WALIOKAMATWA NA POLISI MPAKA SASA. 1. M/Kiti wa Wilaya - Mwita Joseph (White) 2. M/Kiti wa Halmashauri ya Tarime Mji (Hamis Nyanswi) amepelekwa...
7 Reactions
44 Replies
6K Views
Kamanda Muliro na kamanda Sirro mmeonekana mkitoa vitisho kinyume cha sheria: Vitisho hivi ni vya nini? Kesho tunakuja kwa amani kusikiliza kesi ya mmoja wetu. Tuna amini kila mtu mkiwamo nyie...
10 Reactions
45 Replies
4K Views
Kufuatia hoja ya Prof. Muhongo bungeni, ripoti ifuatayo inaweza kutupa mwanga kidogo. ======= 12/04/2021 Hydropower remains the lowest-cost source of electricity globally | Hydro Review...
2 Reactions
6 Replies
982 Views
Kwa sasa ni rasimi Ikulu imerudi Dar, hilo sio shida, ila je nani anawajibika kwa hasara ya kujenga majumba Dodoma? Nani atakuja kulipa hizo hasara? Make sisi wananchi Wajinga sisi, ni kama...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Ukiona hakuna Uhuru wa kukutana Hadi vikao vya ndani ujue Hali unarudi kuwa ngumu soon as possible. Kuna unafuu ulianza kuonekana kwenye uchumi. Watu kuachiwa, kesi kufutwa, Wakulima kulipwa...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Kifo kimeonesha mwisho wa Elias Kwandikwa mbunge wa Ushetu CCM na Kama ilivyo kwa nafasi za kuteuliwa mh Rais atatakiwa kumteuwa Waziri mwingine kuziba nafasi yake. Sifa za mtu kuteuliwa kushika...
3 Reactions
176 Replies
63K Views
Nawasalimu kwa jina la jamhuri. Ama baada ya salam sasa niende kwenye mada husika. Kama ilivyozoeleka huko nyuma, swala la uzinduzi wa vitabu hasa kwa viongozi wetu lilikuwa ni la uwazi, ambapo...
2 Reactions
63 Replies
7K Views
Kwa wanasiasa wazuri kila kitu kinachomkumba mtu ni mtaji wa kisiasa kiwe cha heli au Shari. Mfano Zitto umaarufu wake ulikuwa Sana baada ya kufukuzwa bungeni. Tisheti zikachapwa, Kanga na...
11 Reactions
27 Replies
2K Views
The Nuremberg Code ina vipengele vifuatavyo:-1 The voluntary consent of the human subject is absolutely essential. This means that the person involved should have legal capacity to give consent...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Taarifa kutoka ofisi ya Rais-Tamisemi jioni hii ni kwamba watumishi wawili ambao ni afisa elimu(msingi) na muuguzi msaidizi hospitali ya mkoa wa Arusha wachukuliwa hatua za kinidhamu baada ya...
1 Reactions
81 Replies
13K Views
Hayati Magufuli naona kaangukia pua tena Somo la historia ya Tanzania lasitishwa Katibu mkuu wizara ya elimu amesema syllabus hiyo imesitishwa haraka na haitafundishwa kokote. Source ITV news...
62 Reactions
244 Replies
21K Views
Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Benson Kigaila afanya mkutano na waandishi wa habari leo jumamosi tarehe 7 August 2021 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni.
9 Reactions
14 Replies
3K Views
Another way to help the poor in a direct way was the National Health Insurance Fund which offered health insurance to families. I learnt about this scheme from Rostam Azziz, a member of parliament...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler! Mimi nilifikiri...
19 Reactions
683 Replies
61K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…