Nani kuziba pengo la Elias Kwandikwa?

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,884
22,601
Kifo kimeonesha mwisho wa Elias Kwandikwa mbunge wa Ushetu CCM na Kama ilivyo kwa nafasi za kuteuliwa mh Rais atatakiwa kumteuwa Waziri mwingine kuziba nafasi yake.

Sifa za mtu kuteuliwa kushika nafasi ya Waziri wa Ulinzi na jeshi la Kujenga Taifa hupaswa kuwa zifuatazo.

1. Mtu mwenye hofu ya Mungu.

2. Mtu mwaminifu Sana kwa rais

3. Mzalendo wa ukweli

4. Mpore asiye na makeke na mdomo kasuku

5. Mwenye elimu isiyo ya kuungaunga

6. Anaeuona muungano kama Lulu ya kitaifa

7. Asiyekuwa na matabaka

8. Asiyekuwa na kibri

9. Anayejiamini kila anachofanya asiwe mwoga

10. Mwenye kuijua vema misingi ya amani ya taifa hili.

Wanaotajwa kuziba nafasi hii

1 . Shamsi Vuai Nahodha

2. January Makamba

3. Seleman Jafo

Je, wewe unadhani wanafaa?

USSR
 
Kifo kimeonesha mwisho wa Elias kwandikwa mbunge wa ushetu CCM na Kama ilivyo kwa nafasi za kuteuliwa mh rais atatakiwa kumteuwa waziri mwingine kuziba nafasi yake...
Ukiitwa Mchawi utachukia? Yaani Msiba hata hauna Masaa Matatu tokea Watanzania tutangaziwe ( tutaarifiwe ) Liswahili Limoja linaacha Kusikitika na Kuomboleza Kwanza lenyewe linakimbilia Kuhoji nani atachukua nafasi yake. Shame on You..!!!
 
Kazi iendelee, kazi za serikali haziwezi kusimama.
Ukiitwa Mchawi utachukia? Yaani Msiba hata hauna Masaa Matatu tokea Watanzania tutangaziwe ( tutaarifiwe ) Liswahili Limoja linaacha Kusikitika na Kuomboleza Kwanza lenyewe linakimbilia Kuhoji nani atachukua nafasi yake. Shame on You..!!!
 
Kifo kimeonesha mwisho wa Elias Kwandikwa mbunge wa Ushetu CCM na Kama ilivyo kwa nafasi za kuteuliwa mh Rais atatakiwa kumteuwa Waziri mwingine kuziba nafasi yake...

4. Ngongo
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom