Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Benson Kigaila afanya mkutano na waandishi wa habari leo jumamosi tarehe 7 August 2021 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni.
Nzagamba dumeNaibu Katibu Mkuu Bara kitu gani?
Umeshajipanga kwa Mashambulizi yao ya Matusi na Dhihaka Kwako?
Wanadola na mbeleko za kutosha,tena wanachagua/pendekeza wa kubambikia,hivyo wanajiamini.Umeshajipanga kwa Mashambulizi yao ya Matusi na Dhihaka Kwako?
Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Benson Kigaila afanya mkutano na waandishi wa habari leo jumamosi tarehe 7 August 2021 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni.
Hatutukani vichaa na wajingaUmeshajipanga kwa Mashambulizi yao ya Matusi na Dhihaka Kwako?