Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1. Polisi wamefika eneo la tukio kwa wakati na kupambana kiume. Hongereni Sana. 2. Wananchi kwa umoja wao wamezuia baadhi ya watu kutofika eneo la tukio yakiwemo magari, may be wasingewazuia...
32 Reactions
114 Replies
14K Views
Mapema leo Jumamosi Agosti 28, 2021 Msemaji wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa- amezungumza na Waandishi wa habarih katika Ofisi za Habari-Maelezo Jijini Dodoma. Haya ndiyo aliyoyazungumza Ndugu...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Najaribu kuwakumbusha tena mamlaka husika kwenye vitu vya msingi tuweke siasa kando Na tujalibu kuwaangalia hawa wananchi Kiukweli bei ya mbolea sio rafiki kwa mtanzania wa kipato cha chini...
3 Reactions
9 Replies
832 Views
Hakika Watanzania tumesikia kauli za mkuu wa Jeshi hivi karibuni, kauli tata sana kwa kiongozi wa juu wa serikalini. Kwanza tulisikia alipotoa kauli tata kuhusia na kesi ya Mbona ambayo tayari...
7 Reactions
44 Replies
4K Views
Nakumbuka kesi ya Zombe et al. Polisi walifanya dhulma,wakajribu kujificha lakini bado walishindwa. Naangalia Clip za Hamza,Naangalia askari polisi waliouwawa najiuliza nini maana ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtoto wa nyoka ni nyoka sio kauli inayoingia kila mahala. Maana baba wa mvuta bangi sio mvuta bangi labda mpaka nae awe mvutaji. Kitendo cha kulaumu wazazi wa marehemu Hamza kuwa walizaa balaa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Nchi hii ukifa kwa stress labda itakua ni kwa sababu ya TOZO ila sio kwa comedy za siasa za Tanzania. Anayejiita Msajili wa Vyama Vya siasa ameitaka Chadema kupeleka maelezo kwake kwa "Kosa" la...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Katika nchi hii,hasa kwa vile sasa hivi alikuwepo dikteta,na yule dikteta ameondoka,yule dikteta ndiye alikuwa analeta mshikamano,centrifugal force.d Sasa yule dikteta ameondoka,ipo centripetal...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Mategemeo ya wana Kawe kuwa wamepata mkombozi atakayewatetea juu ya kero za jimbo la Kawe zimeanza kuporomoka kwa kasi ya ajabu. Wengine wanasemma kawe tuna mkosi , katika kupata wabunge wa...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa cdm taifa Mh. Mbowe leo ameachiwa bila dhamana. Ktk hali isiyo ya kawaida Mbowe alitakiwa na mahakama kuwekewa dhamana lkn alikataa na mahakama ikanywea...
2 Reactions
70 Replies
9K Views
Hivi karibuni jeshi la polisi nchini Tanzania limekuwa na mazoea ya kutumia neno Gaidi na Ugaidi katika nchi yetu inayosemekana kuwa ni kisiwa cha amani! Kwa matukio ya hivi karibuni hususani lile...
10 Reactions
31 Replies
3K Views
Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena? Askofu Gwajima wakati akiwa anawadokeza waumini wa kanisa lake kuwa amefanikiwa kununua treni kwa Cash
64 Reactions
159 Replies
30K Views
Kwa vile ndugu Mtumishi umeamua mwenyewe kugombea Ubunge basi tuvumiliane, hizi ndio siasa zetu kaka yangu, kukumbushana ni wajibu.
38 Reactions
214 Replies
23K Views
Mkutano mkubwa wa hadhara unaendelea mkoani tabora muda huu.Mbowe ndani ya nyumba
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Duuh nimeona leo kwenye mahubir ya mzee wa upako kuwa yeyote anaekataa kuchanjwa chanjo ya corona huyo ni 'zombi'' tena amefika mbaali zaidi na kusema kuwa gwaji boy nae anapotosha watu kwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Video Katibu Mkuu ofisi ya Rais menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora Dr Laurean Ndumbaro amesema watumishi waliondolewa kimakosa katika mfumo wa mishahara na utumishi katika zoezi la...
2 Reactions
73 Replies
41K Views
Aliyekuwa mbunge wa vunjo mwaka 2000 - 2005 Meja Jesse Jeremiah Makundi (TLP) amefariki dunia leo alfajiri Kilema Hospital alipokuwa akipata matibabu. Pia alipata kuwa Diwani wa Mwika Kaskazini
3 Reactions
21 Replies
6K Views
Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Tawala CCM leo amekabidhi mifuko 100 kwa Kanisa la TAG Kata ya Olmot Arusha Hongera Gambo kwa kuwa mfano wa kuigwa na kuamua kujiwekea hazina mbinguni
1 Reactions
35 Replies
3K Views
WARAKA WA KWANZA KWA RAIS, MHE. SAMIA SULUHU Kwa Mkono wa, Robert Heriel Mwana wa Nyota ya Tibeli, nalikuandikia haya nikiwa Njombe, Kwa amri ya Mungu wetu aishiye sirini, mola wetu mlezi. Kwa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwema Wakuu!! Moja ya mambo ambayo yananikera, yananifanya nisiishi Kwa Amani, nisiishi Kwa furaha ni kuona kundi Fulani linanyanyaswa. Kwa kweli katika vitu navichukia kuliko vyote ni kuona...
2 Reactions
5 Replies
946 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…