Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tanzania Bara Benson Kigaila amedai kuwa chama hicho kinaweza kushika nafasi ya pili kwa kuwa na idadi kubwa ya wanachama na wafuasi baada...
4 Reactions
14 Replies
382 Views
Halima Mdee tubu yaishe lakini eleza ukweli wote Covid 19. Amegoma kwenda CCM sasa atubu kwa uwazi kabisa kuhusu Covid 19 kabla hajakubaliwa kurudi kama mwanachama wa kawaida. Bila kutubu asiruhusiwe
7 Reactions
32 Replies
732 Views
Wanabodi Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa October, from time to time nitakuwa nafanya makala fupi za uelimishaji umma elimu kwa kujitolea kusaidia kuelimisha umma umuhimu wa kujiandikisha kupiga kura na...
9 Reactions
64 Replies
2K Views
  • Redirect
Jeshi la Polisi limetoa hati (certificate) ya kusafisha (clear) tuhuma za uhalifu kwa mmiliki wa IPTL, Seth Harbinder. Juni 2021 Seth aliachiwa chini ya utaratibu wa Plea Bargaining, na kutakiwa...
0 Reactions
Replies
Views
Imagine mahakama ya ICC wanatangaza kufungua uchunguzi rasmi wa makosa ya jinai dhidi ya Samia, mara anajiandaa kusimama kizimbani huko The Hague, halafu machawa mnazindua uwanja wa AFCON na kuupa...
5 Reactions
20 Replies
524 Views
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amesema kwamba baada ya Uchunguzi wa Mwili wa Marehemu ulioshuhudiwa na Ndugu wa Marehemu pamoja na viongozi wa Chadema, Imebainika kwamba Ally Kibao ameuawa...
28 Reactions
190 Replies
14K Views
Hii ni kwa sababu kufanya hivyo itakuwa ni kumkufuru Mungu na kujitafutia laana ya kujitakia ya Milele. Salamu zingine ambazo hazipaswi kupokelewa ni kutoka kwa viongozi wote Wastaafu wa Tanzania...
13 Reactions
27 Replies
2K Views
Mahakama ya Rufaa imemhukumu aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Kinondoni, Christopher Bageni kunyongwa hadi kufa katika kesi ya vifo vya wafanyabiashara wa madini iliyokuwa ikimkabili yeye...
4 Reactions
220 Replies
69K Views
Idd Amin akifa, siwezi kulia. Nitamtupa Kagera awe Chakula Cha Mamba. Miaka hiyo tunaimba hizo. Tuliamini mtu mbaya ni Nduli Idd Amin Dada tu. Kumbe Nduli Idd Amin Mama Kashata naye roho mbaya...
7 Reactions
8 Replies
249 Views
Hii ni baada ya Mahakama kuifutilia mbali kesi yake ya kuomba uamuzi wa Mahakama kuu iliyomhukumu kunyongwa upitiwe upya . Kwa faida ya wageni wa JF na wengine ni kwamba huyu Bageni ni mmoja wa...
18 Reactions
234 Replies
36K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Wilaya ya Iringa mjini, Frank Nyalusi amefariki Dunia Usiku wa kuamkia Leo Ijumaa Septemba 19, 2025 katika Hospitali ya rufaa ya Iringa alipokuwa...
5 Reactions
15 Replies
858 Views
"Wanaosema CCM Itaondoka, Ni lini, mwaka gani na kivipi..? haiwezekani leo wala kesho CCM kuondoka" - Rabia Abdallah Hamid, Katibu wa NEC Siasa na ubusiano wa kimataifa CCM
5 Reactions
18 Replies
299 Views
  • Redirect
Watu wanne wamehofiwa kufariki dunia baada ya kusombwa na maji wakiwa kwenye gari jana majira ya saa 1 usiku March 26 2026. Akizungumza kufuatia tukio hilo, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Thomas Apson...
0 Reactions
Replies
Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama Msomi Na mchambuzi Nguli wa Masuala ya Siasa ,Kada kindakindaki Wa CCM,mzalendo wa Taifa hili niliyetayari kulifia Taifa langu na Mfuasi Nambari Moja Wa Rais Samia...
0 Reactions
105 Replies
2K Views
  • Redirect
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amekemea wanachama walioanza harakati za kusaka urais mwaka 2030 akieleza kuwa muda wa kufanya hivyo bado haujawadia.
1 Reactions
Replies
Views
Tajiri na mfadhili wa Timu ya Singida United ambaye ni mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa CCM mkoa wa Singida Yusuf Mwandami anafanya kufuru ya kugawa Rushwa kubwa kubwa kuhakikisha anashinda...
4 Reactions
41 Replies
8K Views
Ninaziona kwake dalili njema za yeye kuwa Rais ajae. Sijui wewe kama huzioni. https://www.youtube.com/live/J_snXwqMPgU?si=9KenaV6X_GGepwnA
4 Reactions
138 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…