Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huyu mbunge ni wa nyumbani kwetu kabisa hapa ikungi na tangu tumchague kuwa mbunge wetu tulitegemea mengi sana kutoka kwake. Kwa tathimini niliyoifanya nilipokuwa natembelea maeneo yenye fursa za...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Baada ya mheshimiwa kusema tuhamie Burundi nilijipanga vizuri ili nihamie Burundi ila nikakumbuka kuna watu wamekimbia Burundi na kuja Tz So naomba kuuliza kwa mlioko Burundi hali ya tozo ikoje...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Haya ni maoni yangu juu ya hii tozo ya uzalendo (Ingawaje hili jina limekaa fyongo sana, kwa nini unitoze kwa sababu mimi ni mzalendo?): Serikali hasa wizara husika inapaswa kuweka...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za asubuhi, Kwa heshima aliyotupa Tundu Lissu kuja humu kujibu maswali, naomba kupitia hii mada tumsaidie kupanga Baraza la Mawaziri endapo atashinda. 1. Waziri wa mambo ya ndani. EZEKIEL...
11 Reactions
45 Replies
4K Views
Mambo baadhi alikuwa anakatisha njia ya mkato bila ya kupitia Bungeni, hivi mnajiuliza kwa nini ? Bunge hili Msilitegemee kuwaletea maendeleo ndio maana Mheshimiwa Magufuli hakulipa umuhimu...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Msanii Kipanya ameamua kujikita kwenye kuwapigania kimawazo Watanzania. Leo hii ameibuka na mustakabali wa mapambano ya kuhitaji katiba mpya baada ya kiongozi wa mpambano huo kufunguliwa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Sweden grants 100bn/- for fund TASAF Phase II - IPP Media https://www.ippmedia.com › news › sweden-grants-100... Nimeona kama Nchi tumepokea Msaada kwa ajili ya Mpango wa kupunguza umasikini...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa kanuni za bunge ni marufuku kuzungumza kitu usichokuwa na uhakika nacho bungeni Ndugai amepotosha makusudi hata tusipozingatia hicho anachokisema yeye aliponyokwa lakini hata kwenye...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Ni takribani miezi miwili na nusu tangu Bunge letu tukufu la Jamhuri ya Muungano liliopotisha Bajeti kuu ya Serikali ya mwaka 2021/2022 ambapo na mambo mengine lilipisha watendaji wa kata...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
CUF na CHADEMA ni vyama viwili vya upinzani nchini vyenye uhai kias chake.. Kuondoka kwa Maalim Seif na Prof lipumba automatically CUF itakufa Natural Death.., But on the contrary kwa CHADEMA...
5 Reactions
66 Replies
5K Views
Umekuwa mtindo wa kudumu ukisikiliza Bunge unaishia kuambiwa Biblia inasema hivi, Kuruani inasema hivi. Hakuna maneno ya watu mashuhuri au hoja zenye mashiko kisiasa. Hii ni dalili ya kuwa na...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Thrd hizi tunajaribu kudadavua kwa nini Silaa alisema Wabunge hawalipi kodi. Ofisi ya Bunge inasema Wabunge wanalipa kodi, ikimaanisha PAYE. Upande wa pili, Spika akitumia nguvu nyingi sana kumtia...
26 Reactions
32 Replies
4K Views
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Rais Samia Suluhu Hassan amepunguza tozo za miamala ya simu ili zisiwaathiri vijana wengi waliojiajiri kwenye huduma za fedha kwa njia ya simu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi ndivyo ilivyojiri kikaoni (bungeni) tarehe 31 Agosti 2021 (sio rasmi) Mwenyekiti wa Kamati: (Baada ya kuwasilisha taarifa ya kamati) Mheshimiwa Spika, Natoa Hoja wabunge hao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu Wabunge Josephat Gwajima (CCM, Kawe) na Jerry Silaa (CCM, Ukonga) ambao ni wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge wameondolewa kwenye kamati hiyo hadi...
3 Reactions
59 Replies
9K Views
Kwa nchi za wengine tena hata nyingi tu za majirani😂 raia kukaa mtandaoni na kuanza kuinanga Serikali, kuisema na kuibagaza kwa jambo fulani basi angeshikwa au hata Serikali ingeleta jeuri na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
|MASWALI KUMI KWA POLEPOLE Na. Emmanuel Allute Jr, 1. Kwanza nakupa tano kwakuwa umekiri Corona ipo na inaua,Kwataarifa tu duniani,zaidi ya watu 217M wamepatwa na Corona na kati yao watu...
9 Reactions
59 Replies
7K Views
Mmefuga magaidi kwa miaka 4 mnajishauri tu bila kuchukua maamuzi ya kijeshi. Rwanda wamefanya uamuzi ndani ya wiki 3 wamekomboa miji kadhaa na msako unaendelea huko misituni. Tanzania tuliwafuga...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Uliwadharau Watanzania na ukatoa kauli za kebehi kuwa hii ni sheria ya bunge hivyo kila mtanzania anatakiwa kulipa tozo za kizalendo ili kujenga shule, zahanati na vituo vya afya. Watanzania...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuwa CCM Ni Kazi Ngumu Sana Ndugu Zangu, ila tunabadilika haraka kuliko mnavyotuchukulia, kwa mfano: Mwaka Juzi Tulishangilia Watumishi Walio Na Vyeti Feki Kufukuzwa, Leo Wamerudishwa Kazini...
14 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…